Wasabato msituchangishe kama hamtaki bia

Harusi za kisabato zimekuwa za kero kubwa, wanasema hawataki kuweka vinywaji vyenye alcohol kisa imani yao, hawajui kama hayo mambo yanzuiwa kanisani tu, mkitoka kanisani huku kwingine ukumbini ni kwa Kaisali lazima watuachie ya Kaisali na ya Mungu tunakuwa tushayamaliza kanisani, kinachoudhi zaidi wanachukua michango yetu halafu wanatuchagulia cha kutumia, ile michango siyo hela yao, nakuwa nimetoam mimi na wala hoja ya kusema wananua wao si sahihi.

Kama wanasimama kwenye imani yao basi wasichangishe pesa zetu bali watumie zao na sisi tutakuja kunywa soda na juice kama wanavyotaka na siyo mchango wangu wa pesa waupangie cha kuninunulia.

Uache ujinga, kwani ulichangia wasabato au marafiki zako???? Kama ulichangia wasabato mchango wako ulitoa kwa mchungaji, mzee wa kanisa au shemasi???? Usihusishe imani ya watu na ulafi wako. Pia kama unaona mahusiano na watu wenye kiasi huhitaji, fungamana na walafi wenzako.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
tedo Ebu google haya maneno uone jinsi Kanisa la kweli lilivyo kimbilia nyikani na jinsi lilivyo anza kurudi! Ufunuo 12:6.
Google haya maneno! How true church fled into wilderness.

Maana usifikiri sabato ilianza hivi karibuni! Ilianza kitambo sn!

Tatizo hufahamu unabii ndio Maana vitu hivi hauvifahamu!
 
Last edited by a moderator:
kwani uongo Hellen G White hauwahi waingiza watu chaka juu ya mwisho wa dunia!!!???

kama nakumbuka vizuri yule jamaa aliitwa William Miller ndio aliwaingiza watu chaka.Tena nasikia huyo mama White alibishana nae sana kuhusu suala la unabii wa tarehe lakini Miller hakumsikiliza.Nilisoma zamaani sana kitabu fulani sikikumbuki.Labda wasabato wataniweka sawa kama nimekosea.Nina wasiwasi mtoa mada kuna siku atadai awekewe kitimoto kwenye harusi za waislam.Ridhika na unachopata mkuu huo unaitwa mchango wa harusi,hakuna terms harusi iweje hata ukipewa biskuti huna grounds za kulalamika.
 
Full Maazaa yaani. Sisi wa maviroba tunarandukia kwenye glass za maji ya kunywa. Mwisho wa siku tunakuwa tupo tofauti katika kuyarudi mapambio.
 
kama nakumbuka vizuri yule jamaa aliitwa William Miller ndio aliwaingiza watu chaka.Tena nasikia huyo mama White alibishana nae sana kuhusu suala la unabii wa tarehe lakini Miller hakumsikiliza.Nilisoma zamaani sana kitabu fulani sikikumbuki.Labda wasabato wataniweka sawa kama nimekosea.Nina wasiwasi mtoa mada kuna siku atadai awekewe kitimoto kwenye harusi za waislam.Ridhika na unachopata mkuu huo unaitwa mchango wa harusi,hakuna terms harusi iweje hata ukipewa biskuti huna grounds za kulalamika.

Mkuu uko sawa kabisa! Yule jamaa alikua Ni William Miller lkn tedo na Remote wanataka kupotosha ukweli kwasababu Huyo mama White anawachoma sn ktk vitabu vyake! Ndio Maana hawampendi!
 
Last edited by a moderator:
Mi harusi ikiwa haina mziki halaf ni kwayaa tu hua naborekaa hata hamna rahaa,!!!!!!

Unaboreka kwasababu hujatulia umekulia kwenye anasa unapenda starehe na kujirusha Avatar yako inaonyesha ni muislamu je uislamu unaruhusu muziki? Au kasidwa ni bora kuliko kwaya kwenye harusi? Na kwenye muziki huwa ni pombe na ngono na kupapaswapapaswa unaonekan mmewe akiwa hayupo maaa ni muislam safi uaenda kugawa penzi kwenye muziki
 
Kwenye Biblia wapi imeamdikwa kuvaa suti na Tai, kuendesha gari, kunyoa nywele, kula na kijiko.....Mkuu ukitaka kuuliza maswali ya kishe.nzi kama haya hatutapata muafaka....

Hizo ni taratibu za kanisa lenu..
ndiyo maana hapo nyuma nikamwambia biblia ni mwongozo tu ,siyo kila kitu kimewekwa. vitu wingine ni utaratibu tu na kutumia utashi maana tumepewa akili tuzitumie kuanalyse mambo...
 
Harusi za kisabato zimekuwa za kero kubwa, wanasema hawataki kuweka vinywaji vyenye alcohol kisa imani yao, hawajui kama hayo mambo yanzuiwa kanisani tu, mkitoka kanisani huku kwingine ukumbini ni kwa Kaisali lazima watuachie ya Kaisali na ya Mungu tunakuwa tushayamaliza kanisani, kinachoudhi zaidi wanachukua michango yetu halafu wanatuchagulia cha kutumia, ile michango siyo hela yao, nakuwa nimetoam mimi na wala hoja ya kusema wananua wao si sahihi.

Kama wanasimama kwenye imani yao basi wasichangishe pesa zetu bali watumie zao na sisi tutakuja kunywa soda na juice kama wanavyotaka na siyo mchango wangu wa pesa waupangie cha kuninunulia.

Mungu anaeishi yuko kila mahali na si kanisani tu, unless kama unaongelea miungu
 
kwani pombe zipo kweny harus tu?kwan lazima ulewe kwenye harus tu? kama sio lazma acha kupga kelele na m2 akichangia ndoa ya kisabato anaelewa pombe marufuku BAS SASA IVI USICHANGE TENA MAANA UMEELEWA
 
Na walokole hivyo hivyo lakini mm hainisumbui nashiriki tu,na sherehe zao zinapendeza:majani7:
 
Wewe ulichangia ya Wasabato ipi,Matengenezo au Masalia?tuanza na hapo kwanza.
 
Harusi za kisabato zimekuwa za kero kubwa, wanasema hawataki kuweka vinywaji vyenye alcohol kisa imani yao, hawajui kama hayo mambo yanzuiwa kanisani tu, mkitoka kanisani huku kwingine ukumbini ni kwa Kaisali lazima watuachie ya Kaisali na ya Mungu tunakuwa tushayamaliza kanisani, kinachoudhi zaidi wanachukua michango yetu halafu wanatuchagulia cha kutumia, ile michango siyo hela yao, nakuwa nimetoam mimi na wala hoja ya kusema wananua wao si sahihi.

Kama wanasimama kwenye imani yao basi wasichangishe pesa zetu bali watumie zao na sisi tutakuja kunywa soda na juice kama wanavyotaka na siyo mchango wangu wa pesa waupangie cha kuninunulia.

Siyo lazima uchange mkuu wakatalie waambie hela yako imebaki ya kunywea bia tu
 
ni ukosefu tu wa upeo, kwa kuwa mchango ni kufanikisha tukio na sio kwa interest za mchangaji. Ukitaka bia so lazima uvizie ulikochanga na km hunywi soda bas kunywa maji. Pombe haikubaliki.
 
Cku nyngne kwnye haruc km hzo huwa unawek viroba zako mfukon.km hutak mzk wao unakuj n earphone ya cm yako unakul mzki
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom