Wasabato msituchangishe kama hamtaki bia

na ni wapi imekatazwa!?

Nimekuuliza kwanza unijibu Wewe! Km huns Jibu ndio uulize swali lako!

Nakuuliza Ni wapi ktk maandiko kumeruhusu kusuka? Km huna Jibu sema sina Jibu nikujibu swali lako! Sawa Remote?
 
ww unaesema imekatazwa ndio unatakiwa uoneshe hilo kanusho!!??
la sivyo utaniomba hadi andiko la wapj imeruhusiwa tutumie jf
 
teh teh teh ..dah ..inanikumbusha kisa kimoja hivi cha masabato lakini ntamezea kwa leo..
 
ww unaesema imekatazwa ndio unatakiwa uoneshe hilo kanusho!!??
la sivyo utaniomba hadi andiko la wapj imeruhusiwa tutumie jf

Oya usibadilishe maneno!

Wewe ndio ulikua unawakosoa wasabato ukisema eti visheria vya kutokusuka! Mimi nikakuuliza andiko gani linaruhusu kusuka? Umeshindwa kunipa majibu umebaki unapiga chenga tu! Sema huna Jibu Na Mara ingine ujifunze kutokukosoa wenzako bila Kua na chochote kinachokusapoti!

Ebu soma Wakorintho Wa kwanza 11:3-16. Soma vzr taratibu umuuelewe Paul anachokisema!
 
mi hapo sikubaliani nao wanaokataza kusuka nyele ,hakuna sehemu kwenye bible inapokataza kusukua nyele.bali hawajapaelewa vizuri pale paulo anapoeleza.pia paulo alikuwa anaongea na wana wa islael ambao walikuwa wananywele ndefu ,so alikuwa haongei na watu wenye nywele fupi kwahiyo asingeweza kukataza kwa upande wa kuweka wazi kichwa ni mira na desturi za islael tu ,usilazimishe ziwe world wide.kuna sheria kuu na nyingine ni specific ilimradi zote zinaendana na maadali tu.... anaekataa atoe ushahidi logically.
 
kila wazo na kila tendo litaletwa hukumun (beer & liquor drinking). ombi langu kwa Mungu wangu ni kuwa alie post hii post, ajue side effects za pombe, ili ajisalimishe miguun pa Yesu. kwa Neema ya Yesu @ the end of this year atakuwa shemas wa kanisa la SDA.. karibu kwenye shule ya 7to, karibu kusikiliza nyimbo za wa7to
 
Hakuna anayelazimisha umchangie...ukiona wewe na bia hamtaweza kuachana bora usichangie na wasabato waache wapate soda zao pekee
 
Tatizo ni pale mnapofanya harusi za wenzenu mahali pa kulewea na kushibia! Watu wanafunga pingu za maisha, wao ndio wenye maamuzi ya namna gani sherehe yao ifanyike. Kama unataka kulewa pombe si uende baani? Nina wasiwasi wewe ni miongoni mwa wale ambao hata mchango hawatoi lakini wanaenda tu harusini kwa sababu mjomba au mke alikuwa kwenye kamat ya maandalizi na hivyo nawe ukapewa kadi ya mwaliko. Andaa harusi yako na usiweke hata chakula, bali uweke makonyagi na viroba tu. Bado hakuna atakayekuuliza wewe unaabudu dini ya shetani au nini
 
mi hapo sikubaliani nao wanaokataza kusuka nyele ,hakuna sehemu kwenye bible inapokataza kusukua nyele.bali hawajapaelewa vizuri pale paulo anapoeleza.pia paulo alikuwa anaongea na wana wa islael ambao walikuwa wananywele ndefu ,so alikuwa haongei na watu wenye nywele fupi kwahiyo asingeweza kukataza kwa upande wa kuweka wazi kichwa ni mira na desturi za islael tu ,usilazimishe ziwe world wide.kuna sheria kuu na nyingine ni specific ilimradi zote zinaendana na maadali tu.... anaekataa atoe ushahidi logically.

Bado sijakufahamu Ebu rudia tena hizo fafanuzi zako tafadhali!
 
ole wake ampaye jiran yake mvinyo ( beer included) the Bible says.
question ya kusuka nywele is very subjective, but try kuuliza origin and interpretation ya kusuka.
but also if your seeking the truth, pray 4 the matter. and my heavenly father will light 4u
 
Bado sijakufahamu Ebu rudia tena hizo fafanuzi zako tafadhali!
nilikuwa nazungumzia upande wa kusuka nywele.kuna msabato alinihubiri mahubiri mengi,mojawapo lilikuwa ni miiko na akanitajia miiko ya kusuka nywele.sijamuelewa mpaka leo ndugu yangu.nkajiuliza je hii ni sabato mpya?
 
Sasa kutokana na Wakorintho Wa kwanza 11:3-16 unaona alikua sawa au alikua na makosa?
 
Ni wafuasi wa mwanamama mmoja anayeitwa Hellen G. White.......Aleyesababisha maelfu ya vifo kwa utabiri feki wa mwisho wa Dunia...

Ulitakiwa kujibu swali kwanza kama ni kabila ama siyo kabila ndo uanze kutapika na kuhara kama ulivyojitapikia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom