Wasabato matengenezo

Status
Not open for further replies.
Kwahiyo hawa wasabato wanamfuata matendo ya mtume? mbona usemi yesu yeye alienda shule gani.

Rafiki yng Jaim Hilo ni swali nililomuuliza Huyo Mleta hoja!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Basluma Original kwanza nikushukuru sn kwa uwepo wako hapa na kwa kuileta Hiyo page hapa!

Nimeipitia Hiyo post sijaona hicho kitu!

Na km wako na maswali mengine juu ya wasabato Nami niko hapa muda mrefu!

Tutashirikiana, kuwapa majibu mjarabu juu ya usabato.
 
Last edited by a moderator:
MKU leta h page tusome wote hap.Christians exp and teaching of ELen G white page 111.device angu inanipa shda kulet hapa
 
Tutashirikiana, kuwapa majibu mjarabu juu ya usabato.

Usijali Mkuu! Huyu Rafiki Yangu Jaim Mara nyingi tunajadili nae neno!

Mkuu Uko na access ya jukwaa la dini?

Km hua unaingia kule ni vzr ukawa unapita pita Maana ndugu zetu Wengi wapo huko tunajifunza neno mara nyingi!
 
Last edited by a moderator:
Na pamoja na kutokwenda hospitali kutibiwa, eti wanakwambia kuwa ni dhambi.
 
Mimi nawakubali sana Wasabato Masalia walitaka kwenda Ulaya kuhubiri injili wakapiga kambia Mwl Nyerere Airport huku wakiwa hawana ticketi,pasport sembuse sent tano mfukoni.
 
Usijali Mkuu! Huyu Rafiki Yangu Jaim Mara nyingi tunajadili nae neno!

Mkuu Uko na access ya jukwaa la dini?

Km hua unaingia kule ni vzr ukawa unapita pita Maana ndugu zetu Wengi wapo huko tunajifunza neno mara nyingi!

Huko nina access, ila siku hizi mara nyingi nikiingia huwa naishia kusoma tu. Ngoja nitajitahidi nianze kuchangia hata huko.
 
Last edited by a moderator:
embu pitieni hapa Kwenye google alafu majibu haya yote..SDA APOSTASY.EMBU KILA MTU APITIE ASHUHUDIE MJE NAMAJIBU
 
Wasabato ukitoa sda wengne wote n majanga.sda n dhehebu inayofundish biblia vizur kuliko makanis yote duniani.ila kuna-

Nyie wote ni kundi moja la Hellen G White.....Wasabato wanamatatizo ya akili..
 
ningependa kufahamu kulingana na Imani yako ufufuo wa wafu na mauti zitatokea mara ngapi, na vipindi hivi tunavitambuaje?

Samahani Ebu Jaribu kufafanua swali lako kidogo na Mimi nijaribu kujibu km ntaweza!
 
Waje watoe ufafanuz kweny hiki kitabu alichoandika NABII Helen G White,.Coming of Jesus through orion belt.

Huyo Hellen G white ndo yule aliyesababisha vifo vya watu baada ya kutoa utabiri feki wa kuzimu kuww mwisho wa Dunia ungetokea...."Great Disappointment......
 
Nyie wote ni kundi moja la Hellen G White.....Wasabato wanamatatizo ya akili..

tedo Rafiki yng matatizo gani hayo ya Akili ambayo Tuko nayo Sisi wasabato?
 
Last edited by a moderator:
Huyo Hellen G white ndo yule aliyesababisha vifo vya watu baada ya kutoa utabiri feki wa kuzimu kuww mwisho wa Dunia ungetokea...."Great Disappointment......

Naona unakuja kasi Mkuu!

Tuanze kuuchambua uroma wako sasaivi?
 
ningependa kufahamu kulingana na Imani yako ufufuo wa wafu na mauti zitatokea mara ngapi, na vipindi hivi tunavitambuaje?

Ufufuo utatokea mara mbili, kwanza ufufuo wa wenye haki (soma 1 wakorintho 15 na 1 wathesalonike 4:16-). Pili ni ufufuo wa wasio haki rejea ufunuo sura ya 20. Mauti itatokea mara moja tu, na hii itakuwa baada ya ufufuo wa wasio haki. Na hiyo mauti haitawahusu kundi la.watakatifu(waliofufuliwa mara ya kwanza), itawahusu tu wale wa ufufuo wa mara ya pili.
 
Nataka kufahamu uhusiano wenu na mashahidi wa yehova. Na ni kwanini mliamua kujitenga. I mean ni kitu gani mliona hakiendi sawa ndani ya mashahidi hadi muamue kujitoa?

Majibu tafadhali!!
 
Nyie wote ni kundi moja la Hellen G White.....Wasabato wanamatatizo ya akili..
Hahahaha, naona wewe utakuwa mungu maana nadhani ni Mungu peke yake anayeijua akili ya mwanadamu. Au wewe ndio wa VICARIUS FILII DEI, maana si ndio wanajiita mwakilishi wa mungu duniani.
 
JAMANII..Leten h page kw weny uwezo wakulet biashar yote itakuwakwishney CHRISTIANS EXP AND TEACHING OF E G.WHITE pg111
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…