Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,453
- 29,867
Ndio nilichouliza, hicho kitu kama Msalaba uliokatwa kwa juu ukafanya herufi kama T ni kitu gani ..??Mkuu hakuna msalaba hapo rudia kutizama hiyo picha vizuri
Au labda umekurupuka
Mkuu nataka nifahamishwe hiyo ni alama ya nini...??? Ina maahisha nini..?Au labda umekurupuka
Mkuu ina maanisha nini....?Ni T iliyoandikwa...ila ngoja waje hahah
Mkuu , Gamba alikuwa mtu maarufu...ni wazi kifo chake kimefuatiliwa na watu wengi...mimi nikiwa mmoja wa shabiki wake, nimetatizwa na hiyo alams hapo..Pumbavu sana wewe...umepewa ruhusa na wafiwa..
!!?
Ellen G White sio mwanzilishi wa sabatoMkuu nataka nifahamishwe hiyo ni alama ya nini...??? Ina maahisha nini..?
Na kama ni alama inayo masnisha kitu fulani, mbona sasa Mtakuwa mnaenda kinyume na Mafundisho ya muanzilishi wa Usabato Ellen G White, ambaye alipiga marufuku alama yoyote kwenye Usabato...?
Wasabato wakianzisha mada kuhusu ukatoliki, wakatoliki huwa mnafanya kama hamfatiliagi madhehebu mengine lakini kumbe ni wale wale...
Dini hizi😃
Mkuu waanzilishi wa Usabato ni vikundi vitatu...ila Ellen G White anaoneka zaidi kama champion wa Usabato.....Ellen G White sio mwanzilishi wa sabato
Mkuu au Ndio wale maadui wa Msalaba biblia iliyowataja kuwa watajitokeza....?Duuh wasiwe wqnamaanisha Kristo alitundikwa kwenye msalaba kwenye umbo la T.
Lakini hiyo ni sanamu pia, wameanza lini tabia hiyo Na inamaanisha nini?
Mkuu kama una majibu hebu tupatieTuwe Watulivu
Ni ubao tu kama T au mnataka majibu gani?Ndio nilichouliza, hicho kitu kama Msalaba uliokatwa kwa juu ukafanya herufi kama T ni kitu gani ..??
hahaha mkuu naona unakomaa sio mchezo.Ndio nilichouliza, hicho kitu kama Msalaba uliokatwa kwa juu ukafanya herufi kama T ni kitu gani ..??
Ina maanisha nini...?Ni ubao tu kama T au mnataka majibu gani?