Kubadilisha picha ni sawa na kubadilisha historia.Hawa jamaa wamenishangaza kwa kweli..yaani walichofanya ni kupindua mambo na kutoka kivyao. Halafu wamekuja na hayo mapichapicha yao ambayo hayapo popotw pale.
Kila kitu wanakiweka watakavyo halafu wanashinikiza wengine waamini hivyo.
Jesus Christ is God. And God has no race.
Akili za kijinga kabisaWapi yesu kasema yy n mungu? Kwanza unaposema yesu ni mungu basi kutakuwa hakuna ya kuwa na mungu utaabudu vp mungu anaye enda chooni kama ww
Huyu anashanga kwann hatukumjua mbona hashangai kilimanjaro imegunduliwa na weupe ilhali kuna wachanga sorounding that mount,stukaStupid kabisa , hivi nani alikwambia ukiwa mweusi ni lazima uwe unaishi Afrika? unawajua aborigines Wa Australia? wale walikuwa weusi, kule nako ni Afrika?
Idadi kubwa ya wakiristo na wasiyo wakristo wamedanganywa kwa kuaminishwa kuwa yesu ni white[Mzungu]
Hata michoro mingi inayotumika kumwakilisha yesu imekuwa ikimsadifu kama whiteman
Jaribu kugoogle tu neno "Jesus",99.999% ya picha utakazoletewa ni za mzungu anayefananishwa na Yesu
Hizo zote si picha za Yesu,ni picha za mtoto wa Pope Alexander wa sita aitwaye Casera borgia
Sad-fact ni kwamba,si tu Yesu alikuwa ni Black au African Hebrew
Bali characters wote wa kwenye Biblia kuanzia Adam mpaka Paul walikuwa ni Blacks
Huo ndiyo ulikuwa ukweli kabla ya miaka ya 1400
Mambo yalianza kubadilika wakati wa Renaissance period,kuanzia karne ya 14 mpaka ya 17 chini ya Pope Alexander VI
Ndipo Europeans walipoanza kumsadifu[Depict] Yesu kama Whiteman
Casera Borgia
[Casera Borgia kushoto Yesu kulia]
Inaendelea page ya kwanza
Ukishajua why wamekudanganya kama Ni mweupe au sio ndio utajua umuhimu uko wapi!?Ni lipi Muhimu, Rangi na kabila la Yesu au mafundisho yake???
Kwani hata uki proove kuwa ni mweusi, italeta effect gani kwenye imani yako???Ukishajua why wamekudanganya kama Ni mweupe au sio ndio utajua umuhimu uko wapi!?
Swali why wakudanganye???
Kwani hata uki proove kuwa ni mweusi, italeta effect gani kwenye imani yako???
Labda hukunielewa swali langu. Sijauliza swali mtu kuiba identity likoje kisheria.MTU ANAPOIBA IDENTITY YAKO HUWA NI BIG ISSUE KISHERIA, AU SIO KWELI?
Labda hukunielewa swali langu. Sijauliza swali mtu kuiba identity likoje kisheria.
Nimeuliza Kwahiyo ukijua Jesus ni Black itabadilisha
Mkuu ebu eleza hii topic kwa mapana zaidi maana hizi story zinazofanana na yesu maria na joseph ziko kwenye madhehebu mengi ya kale wakiwemo wa hindu.Mkuu bado unaamini kuwa Mungu yupo?
Yesu mwenyewe ni masihi wa 16 kusurubiwa kwa ajiri ya mwanadam
Wa kwanza alikuwa ni horus na wote walizaliwa na Bikra na kufa wakiwa na miaka 33
Though both are Anecdotal tales lakini zinaweza kuwa na ukweli
Lakini mungu hayupo,kama utakuwa Intellectually honest kukubali ukweli utaelewa kwanini tunasema mungu hayupo