Was Jesus Black?

Was Jesus Black or White?


  • Total voters
    127
Types of black people in the world. Note that Outside of Africa, India has the largest Black population:
San woman, Southern Africa


Indian Man, India


Australian native with blonde hair


Papua New Guinea


Blue eyed kids



Native Mexicans
 
Nakubaliana nawe kwa asilimia zote hili la Mzungu.

Isipokuwa tufahamu kuwa hakufa kwenye Msalaba. Walimnyonga kwenye Mti. Dunia imehadaika na ubunifu wa warumi na wagiriki.

Ushahidi: Soma Kitabu cha Matendo ya Mitume 10: 34-35


 
hoja nyepesi sana hizi, unamtrace yesu kwa kutumia maandiko ya Mungu ambayo wewe humuamini.
Kama yesu alikuwa mweusi basi na waarabu ni weusi
Hawa jamaa wamenishangaza kwa kweli..yaani walichofanya ni kupindua mambo na kutoka kivyao. Halafu wamekuja na hayo mapichapicha yao ambayo hayapo popotw pale.
Kila kitu wanakiweka watakavyo halafu wanashinikiza wengine waamini hivyo.
 

You are right...black is the superior race...the giant will rise up one day...
 

Mmmmmmmmmmmmmmmmmmhhhhhhhhhhhhhh....interesting comments from a dejected black man
 
Mmmmmmhhh...mbona waafrika tunaonekana ni dhaifu katika vitu vingi...hata kucheza mpira tu tunababaisha, hatujawahi kuchukua kombe la dunia...kwenye
athletics ni hivyo hivyo labda mbio fupi...

bro mfalme wa mpira duniani ni black pure unajua hilo
 
Kwa watu waliogundua hii kitu ndio walitaka Africa Tuungane as one Nation tungekuwa na Power no one has ever seen but while sneaky people will not let this happen ndio maana wanafanya kila hila kuzuia
 
 
Nadhani swala la msingi hapo sio rangi kama unavyosema, ila najaribu kujiuliza swali moja tu, kama wameweza kubadikisha rangi kutoka kwenye weusi na kufanya aonekane mzungu, je unadhani hayo mafundisho yake hawakuyabadilisha na kuyaweka vike wanavyotaka wao?
 
Waliyabadilisha kuwadhulimu watu weusi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…