Was Jesus Black?

Was Jesus Black or White?


  • Total voters
    127
 
Dah mbona so what nyingi sana? Hahaaa
 
...tatizo mnaongelea mambo makubwa kwa wenye mioyo na akili zilizolala tangu na tangu,hawa waafrika hata hawaijui historia yao sembuse huyo mtu mweupe anayeitwa yesu?sana sana hapo wanaona nyie kuwa mmechanganyikiwa kusema yesu ni mweusi,akili ya mtu mweusi imekuwa mfu na inasikitisha kuona waafrika karibia wote wako kama zombie linapokuja suala la dini za kuletewa hata ukweli hawautaki,waacheni waendelee kumuabudu mzungu anayeitwa yesu......kwa nyinyi ambao ni consicious endeleeni kuongeza knowledge,dunia ya watu wenye fikra huru inawahitaji sana!
 
sio kubaka tuu.madai ni mengi tuu.nivema huyu angeendelea kusoma zaidi uislam kuliko kuingilia huku kwa Yesu
Mkuu punguza povu bac
 
Hallelujah,yaani ujinga haushi vituko na kutaka kuwatoa watu katika line ya kuutafuta ukweli

Haya huyo shetani anahusikaje hapa?
Faida ya kujua kuwa Yesu ni mweusi ni muhimu sana anawezesha kujua Yesu ni mweusi kwahiyo sisi waafrika ndio Waisrael .kwakuelewa hivyo tutamrudia Mungu kupatanishwa nae kupitia Yesu alietumwa kuwakomboa waisrael na laana ya Mungu .iliyopelekea watawanywe dunia nzima wakiwa watumwa .kwa watu Wa mataifa pasipo msaada Ila tuu mpaka watakapo mtambua Yesu kama mpatanishi wao .ndio watakapookelewa na adhabu ya Mungu.kwahiyo ni muhimu sana kujua kuwa Yesu ni Mweusi.
 

Tatizo sio rangi nyeusi ya
Yesu .Ila kama Yesu ni mweusi na sisi ni weusi basi sisi ndio waisrael .Na Kizazi kilichopendelewa na Mungu .mpaka tuu pale ilipo walaani nakuwatawanya kama watumwa duniani pote..na salaama yao nikumrudia Mungu kupitia mufundisho ya Yesu kristo kama mpatanishi Wa kweli na mkombozi Wa wana Wa Israel kwanza na watu Wa mataifa baadae. Zingatia hili sana
 

Kama ni kweli alikuwa ni mtu mweusi ina maana alikuwa ana asili ya kwetu Afrika, sasa iweje hatukumjua mpaka Mtu mweupe alivyokuja kututambulisha kwetu? Kama angekuwa kweli ni wetu si tungemjua tu tangia mwanzo tena kabla ya Mzungu?
Ethipia ni nchi za mwanzo kumjua huyu yesu........
 
Mkuu nakusifu kwa hoja concrete ila kuna vitu vingine ni stori tu kwa mfano huyo bargio hakuwa na uhusiano wowote na da Vinci kama una source inayoonesha kuwa watu hao walikuwa marafiki labda hebu ilete, ukishindwa nitatilia mashaka hoja zako zingine.... Though nakubali da Vinci kuhusishwa na ushoga
 
Wana JF mimi sina ugonvi na rangi za manabii kwani kati têtu hakuna alité kuwepo hivyo anayetaka kutafuta ukweli ndani ya unaosemekana kua ndo ukweli tusimzuie. Shida yangu kuu ni matatizo ya watu weusi kama umasikini ujinga vita ushirikina na hâta fikra hivi nyuma Yake kuna NN kisichoweza kuwaachia watu hawa?
 
Afrika tuna utawala mbovu kwa kweli,hicho ndiyo kinaweza kuwa chanzo cha umaskini wetu

Viongozi wetu wana uchu mkubwa wa madaraka.

Cha pili ni elimu,hatuwaandai vijana wetu kuwa viongozi bora wa baadae,madokta n.k

Pia sayansi tumeiweka nyuma sana,to the contrary imani za kishirikina ndiyo tumeziweka mbele

Tatu itakuwa ni laana tu tulizoachiwa sijui na nani.
 
Emimu tunandaa wenyewe kama tunaona haifai kwann tusibadirishe?
Kimsingi sioni mantiki ya kulalamikia kitu ambacho kilo ndani ya uwezo wetu.

Nachukia umasikini wa waafrika na yote yanayotuandermine waafrika
Waafrika tumekaa na tumeeidhika iv tunadhani kuna masihi atakayekuja kutuokoa kama wana wa israël?
 
I don't want to believe,I want to know

Your assertion depend entirely on definition of God and which kind of God you're actually talking about

Personal or impersonal God?

First,you have to give us exact definition of word God
kwani mkuu umebadili jina lako au una undugu na mh.kiranga..???
nauliza tu usinikate mapanga.
 
mabadiliko ni mimi na wewe, hebu tuanze na wewe kwanza, huu wenyewe ulioufanya si ndio utumwa unaoupiga vita,yaani unajitekenya mwenyewe halafu unacheka, amakweli penye wengi kuna mengi, hii tabia ya undumilakuwili ndio inayotuumiza mijitu meusi kila uchao, kwa nini usitumie Kiswahili, unaandika broken ili uonekane umeelimika, kumbe wajichoresha tu kwa watu.
 
Kama ni kweli usemalo kuwa Casera Borgia ni mtoto wa Pope Alexander VI aliyetumika kama Jesus. My question is Who is Brian Deacon?
 

hahahah Una maneno
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…