"was it a car or a cat i saw"

"was it a car or a cat i saw"

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,413
"WAS IT A CAR OR A CAT I SAW" is the only full English sentence that, when read in reverse, will be the same.

Hiyo sentensi ukiisoma kuanzia mwisho inasoma hivyo hivyo

Ama kweli kizungu ni kizungu zungu
 
Soma kwa umakini mkuu

Tangu nikuone humu JF, leo ndio naona umeongea kiustaarabu.
Sijui huwa unalipulizaga ....
.
:bange::bange::bange: kabla ya kushika Keyboard wewe C.T.U.
 
Last edited by a moderator:
Tangu nikuone humu JF, leo ndio naona umeongea kiustaarabu.
Sijui huwa unalipulizaga ....
.
:bange::bange::bange: kabla ya kushika Keyboard wewe C.T.U.

Teh teh teh... ana maeneo yake huyu, kuna wakati anatoa point utadhani kaazima kichwa, siku zingine sasa...... ndo majanga
 
Last edited by a moderator:
Teh teh teh... ana maeneo yake huyu, kuna wakati anatoa point utadhani kaazima kichwa, siku zingine sasa...... ndo majanga

Kumbeeeeeeeeeeeeeee...............
Basi Mkewe ana kibarua cha ziada.
 
mbona naona inasomeka tofauti kutoka mwisho kwenda mwanzo
 
Tangu nikuone humu JF, leo ndio naona umeongea kiustaarabu.
Sijui huwa unalipulizaga ....
.
:bange::bange::bange: kabla ya kushika Keyboard wewe C.T.U.

Double personality
anyway mkianza zile mada zenu zisizokuwa na kichwa wala miguu huwa ndio napataga emotional breakdown ...lol
 
Double personality
anyway mkianza zile mada zenu zisizokuwa na kichwa wala miguu huwa ndio napataga emotional breakdown ...lol

Sasa kama unapata Emotional Prison-Breakdown kwa nini huwa unaingilia mada zetu wewe C.T.U?
We nae sa ingine unakuwaga na hamu ya kushambuliwa.
Na ndio umetukuta wengine tumepinda tangu tupo tumboni kwa mama zetu, basi mambo Mswano.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom