Warning: Utapeli wa kikundi wanajiita Mo Dewji Foundation

Warning: Utapeli wa kikundi wanajiita Mo Dewji Foundation

Nawapa tahadhari wadau wenzangu humu, kuhusu jamaa wanaodai wanaotoa mikopo kwa kutumia jina la MO FOUNDATION.
KWA KIFUPI. NI MATAPELI NA MTATAPELIWA KAMA MIMI.
Website zao.
USIDANGANYIKE, INAFUNGUKA MPAKA WAENDA KUJAZA FORM, KUINGIZA NIDA NA VITAMBULISHO VYOTE!
WATADAI ULIPE DHAMANA KWA MKOPO UTAKAO, HALAFU WATAKUJA KUDAI ULIPE BIMA YA MKOPO. HUTAPATA KITU, NARUDIA HUPATI MKOPO WALA NINI, ZAIDI YA WAO KUKU BLOCK, KUKUWEKA BUSY NK.
NAMBA ZAO ;
0616522982
0654129952
JiHADHARINI WADAU

OGOPA MATAPELI!

Karibu Mohamed Foundation
Tunakopesha online kuanzia 300,000 hadi 10,000,000 kwa watanzania wote Bara na Zanzibar.

NIKUHUDUMIE NINI TAFADHALI.?

Huduma ya mikopo inapatikana online kupitia website yetu, Hivyo ingia kwenye website yetu hapa chini uweze kusoma vigezo na masharti pamoja na kuomba mkopo.

WEBSITE 👇

akiba yako imepokelewa kikamilifu tafadhari subiri dakika 30 wakati tukikamilisha mkopo wako

HONGERA NDUGU KUPITIA AKIBA YAKO AKAUNT YAKO IMEWEZESHWA KIKAMILIFU KWA KUMBUKUMBU NAMBA MODF/(455TF)/TLRHFAQQSZX/576-2025

HATA HIVYO UNATAKIWA KULIPIA BIMA YA MKOPO , BIMA YA MKOPO NI SHARTI LA LAZIMA KWANI ENDAPO UTASHINDWA KULIPA BIMA ITAFIDIA NA ITAKUA NA JUKUMU LA KUKUTAFUTA PIA.

BIMA NI TSH 25,000/= LIPIA SASA ILI UWEZE KUINGIZIWA MKOPO WAKO NDANI YA DAKIKA 5 KWA USAJILI UMEKAMILIKA. LIPIA KUPITIA NAMBA ULIYOTUMIA KULIPIA AKIBA

Jamani nimeshapigwa 45,000/-..

Nanyi msiingie mkenge kwa hawa watu wanaotumia vibaya jina na picha ya MO DEWJI..
 
Pole mdau!
Siku yao ya 40 ipo na yaja.
Be strong, pambana na maisha, malipo yao ni hapa hapa duniani!
👍💪✊🙏
 
Back
Top Bottom