Warning to sensitive Viewers - Unyama wa baadhi ya Wazazi

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,319
33,125
Haya tena Walimwengu ni Watu wabaya sana mimi ninamshukuru Mamam yangu kwa kunilea mpaka kufika hapa niliPO sina uwezo wa kumlipa angalieni nyinyi wenyewe huyu MaMa mzazi kumtupa mwanawe kichanga chooni ahhhhh

315096_139844429490850_60998095_n.jpg
NIAWASHUKURU WAZAZI WANGU SANA K
 
Siku nyingine toa angalizo mapema, sisi wengine tuko karibu sana na ulimwengu wa roho mwema tunahuzunika kupitiliza.
 
alilazimishwa kubeba hiyo mimba? Some people are out of sane
Namshukuru Mama kunilea pia baba
 
dry roots !tutake radhi my dear,mi nashindwa kulala hapa!dah hawa watoto tunawabeba wa nini jamani kama hatuwataki wazaliwe
 
munisamehe sana wakuu Wenzangu hii kitu imeniumiza sana moyo wangu ingawa nimeiweka hapa muone kuwa kuna baadhi ya watu wenye roho mbaya duniani hao watu ni kama Mashetani wakubwa wabaya sana. Samahanini wote mliyoiona hii picha mbaya.
 
Mzizi mapicha yako mengine yanatisha bana!!! uwe unatoa tahadhari wengine tusifungue...Duh!
 
sio madame x nilikuwa na hudumia kila kitu lakini mwenzangu hakunielewa.
Jaribu kupitia uzi wangu kule MMU wenye heading, "SHE WANT TO ABORT" utaona yaliyojiri.

You can't get me out of your head...huh
My take, wapendeni mama zenu kuna milions like you they have been flushed down the toilets. You should be thankful you're alive today.
 
Back
Top Bottom