Warning to all men

Warning to all men

Nimeipenda hii.bt inawork sana kama kwenye relationship kuna future inside.
 
Umeeleweka. Nadhani wake zangu Kongosho, BADILI TABIA na cacico watakuwa wamenielewa.

Na hivi vibinti Heaven on Earth, Munkari, Madame B, Paloma, miss chagga, lara 1 Husninyo, badiebey et el,
muyaache haya mabazazi Mentor, Nicas Mtei, Vin Diesel yajenge.

Habari hizi njema ziwafikie King'asti, Mtambuzi, Kaizer, Dark City KakaKiiza Kaunga na jumuiya nzima ya wazazi.

Jenga nyumba ndo uweke heshima bar!! Nunua gari upaki nyumbani kwako.
Post zingine zinachoma kama nini.
 
Last edited by a moderator:
WARNING TO ALL MEN!!...
1 Brazilian hair = 68 bags of cement
1 Handbag = 10 Tankers of water
1 Quality shoe = 1 Trailer of sand
1 iphone 5 = 6500 Blocks
Just these are enough to build a 2-
bedroom
flat. LADIES PLEEEEEEEEASE let your
boyfriends
be LANDLORDS this year!

nafikiri nimeeleweka....

he he he.......we endelea kula mpunga........wenzio twala ndege aliyekula huo mpunga.........tupishe huko.............
 
kweli pesa ni tamu sana ni tamu kwakila namna...
kijana akizipata madingi watamwita bwana...
na dingi akizipata ataonekana ni kijana...


money-quotes-if-you-have-a-gun-you-can-rob.pngmambo hayo
 
WARNING TO ALL MEN!!...
1 Brazilian hair = 68 bags of cement
1 Handbag = 10 Tankers of water
1 Quality shoe = 1 Trailer of sand
1 iphone 5 = 6500 Blocks
Just these are enough to build a 2-
bedroom
flat. LADIES PLEEEEEEEEASE let your
boyfriends
be LANDLORDS this year!

nafikiri nimeeleweka....

Mkuu umeongea ukweli mtupu. Hawa watu ukiwaendekeza kwa kila wanachotaka utaishia kuwa maskini tukakosa hata mahali pa kuweka matanga siku mtu anapofariki.
 
Ukwel mtupu bro ila tutakua hatutendi haki hawa wadau n muhimu sana kwe2, nasi bila wao life haisongiiii
 
Umeeleweka. Nadhani wake zangu Kongosho, BADILI TABIA na cacico watakuwa wamenielewa.

Na hivi vibinti Heaven on Earth, Munkari, Madame B, Paloma, miss chagga, lara 1 Husninyo, badiebey et el,
muyaache haya mabazazi Mentor, Nicas Mtei, Vin Diesel yajenge.

Habari hizi njema ziwafikie King'asti, Mtambuzi, Kaizer, Dark City KakaKiiza Kaunga na jumuiya nzima ya wazazi.

Jenga nyumba ndo uweke heshima bar!! Nunua gari upaki nyumbani kwako.

Hapo umemaliza kitu. Unakuta mtu bila aibu kabisa ana magari kama 3 hivi, thamani yake zaidi ya 50m ila bila aibu anayapaki nyumbani kwa mwanamume mwenzake....!

Babu DC!!
 
BabaMwanaasha alishasema "Akili ya kuambiwa................................................................"
Sasa nyie wengine fuateni mkumbo.
 
Back
Top Bottom