Warning to all men

Warning to all men

4092364_orig.jpg

hahahaha!
 
Umeeleweka. Nadhani wake zangu Kongosho, BADILI TABIA na cacico watakuwa wamenielewa.

Na hivi vibinti Heaven on Earth, Munkari, Madame B, Paloma, miss chagga, lara 1 Husninyo, badiebey et el,
muyaache haya mabazazi Mentor, Nicas Mtei, Vin Diesel yajenge.

Habari hizi njema ziwafikie King'asti, Mtambuzi, Kaizer, Dark City KakaKiiza Kaunga na jumuiya nzima ya wazazi.

Jenga nyumba ndo uweke heshima bar!! Nunua gari upaki nyumbani kwako.

Hahahahhahaa inakuaje wewe umejitoa kwenye kundi la mabazaz halafu ukaniweka mimi nisiyestahili?
 
Last edited by a moderator:
fanyeni hayo yote, ila wakumbukeni wazazi wenu mliowatelekeza kule vijijini!

kijana unamiliki Iphone 5 ama galaxy s4 wakati huo huo mama yako anaishi kwenye nyumba ya nyasi tena mvua ikinyesha inabidi akeshe kwenye pembe ya mlango kama mchawi vile! asubuhi kukikucha huyo huyo hajui hata mlo wake aupangilie vipi!

nduguzo hata kuwakumbuka mara moja kwa mwaka inakuwa shida sana, unakalia tu watoto wa kike ambao ni luxuriousness ya muda tu.. pesa zikiisha, wanakusonta na kukudekisha!

jijengeeni msingi vijana, sio kesho na keshokutwa mnakuja kuzaa watoto wa mbwa mwitu..!
 
Tunza hela ikuzoee au tumia??

Unapotumia unaiondoa kwako
Unapotunza inakaa kwako

Ni kipi kinazoea kati ya kinachokaa na kuondoka??
swali zuri sana mkuu!!
 
Uzee dawa, si ndio maana nakwambia uje kwangu upate raha we unajishaua tu?

mzee mwenyewe unaonekana bahili unasapoti vitoto wasitupe hela..... kuwa na mzee kwa kuwa kazi haijui amechoka muhimu ni pesa yake tu..... anitunze anilishe npendeze aninunulie nacho taka wewe uaweza hata ukifa leo nisiwe na cha kujutia loh
 
hiyo ndo habari yamjini... sisi tulitoka kwenye ubavu wenu ni wasaidizi na nitegemezi vilevile..... hata mbishe kupenda kunaenda na kutoa ... kama ni mkristo neno la Mungu linasema wanaume pendeni wake zenu... na wanawake waheshimuni waume zenu,.... sasa kupenda kunaenda na kutoa kwa hiyo si jambo la ajabu kupewahela na mwananume... tena kwa miminapokea na ninahesabu umenipa ngapi kama hazitoshi nasema kuwa dear hazitoshi niongeze.. kama zinatosha nitakwambia thanks baby
 
Mtatumalizia ngozi zetu jamani jamani jamani.
 
hahahahaha
ukiombwa na wewe usiwe mgumu kutoa
 
Back
Top Bottom