ni PM upate vocha ya BUKU
Umeeleweka. Nadhani wake zangu Kongosho, BADILI TABIA na cacico watakuwa wamenielewa.
Na hivi vibinti Heaven on Earth, Munkari, Madame B, Paloma, miss chagga, lara 1 Husninyo, badiebey et el,
muyaache haya mabazazi Mentor, Nicas Mtei, Vin Diesel yajenge.
Habari hizi njema ziwafikie King'asti, Mtambuzi, Kaizer, Dark City KakaKiiza Kaunga na jumuiya nzima ya wazazi.
Jenga nyumba ndo uweke heshima bar!! Nunua gari upaki nyumbani kwako.
Raha ya mke ni matumizi, hebu acheni kupotosha vijana.
Sasa wewe usinunue, halafu utajiju kumuona bibi anavaa! Jumamosi nilipita angle flani hivi, nikashuhudia Bakari mwapachu anaitwa baby, kidogo nizirai na kukata kauli
Na wewe ukubali zako ziliwe pia sio mle zao tuu ili muende sawa si mnataka haki sawa
haki sawa mammbo mengine na si pesa
Abeeee🙄