Warning kwa Kenyans and Tanzanians mnaoingia Uganda

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
57,537
31,985
Hii nimeiona leo live kwa mkenya mmoja imetokea hapa uganda eneo la Chikesa nyuma ya stand ya mabasi ya Namaiba

Ndugu zangu iwapo utandesha gari maeneo hayo ukisimama kuna vijana hawa ni wahuni, matapeli wanaoshirikiana na jeshi la polisi la Uganda.. Naamini mkuu wa majeshi Uganda atafwatilia kama sio anajua huu uhuni...

Wakikuhisi una hela wanakufwata dk kadhaa mara tairi ina pancha ama ina shida fulani usisimame nenda na pancha kasimamie huko mbele

Hawajamaa ni mafundi magari.. Unapowapa warekebishe tairi kama pancha la kwanza wanafungua shockups zote na kila kitu badae wanakuita kukuonyesha uchafu uliopo ambaoo kiuhalisia haujatoka kwenyegari yako.. Pale ndipoo unashangaa wanakwambia nunua hiki mara kile kutoka kubadili tairi 3000mpaka laki saba za Uganda

Nimefurahii huyu mwanamke mkenya nakuita jembe alichofanya alimwita mumewe wakati anakuja akaja na polisi wale jamaa wakakimbia akabaki mmoja anakomaa... Mama akasema ataita breakdown na wahusika atawafuata kwa gharama zake... Gafla ikaja gari ya jeshi... Wakashuka na kumkamata yule mpuuzi ambae aliamua kubaki

Yule mpuuzi akamwambia polisi amwambie yule mama kusaidiwa wamfungie atoe laki tano za Uganda

Kiukwelu ile ni michezo yao ya wahuni na polisi wa Uganda.. Mwanzo nilidhani watawakamata matokeo yake polisi anaomba mama wa watu akubaliane na haoo wahuni.. Walipooona defender ya jeshi kazi ikaisha wakaondoka na polisi huku mama akisema na polisi wanahusika na hawa waunii

Kama sio wanajeshi kuja na kumuamuru yule mhuni afunge gari kama alivyoikuta kwakweli mama wa watu angeteseka sana


Naomba mjue mkienda Uganda mkipita Chiseka nyuma ya stand ya Namaiba mkiona mtu anakufwata ondoa gari kwa speed

Kama waganda wanalia sembuse we foreigner utazaa mapacha
 
Siyo Uganda tu, hata Tanzania ukipeleka gari garage na kuiacha, jua kazi yao ya kwanza ni kuanza kufungua vifaa vyako vipya na kukufungia chakavu.
 
Siyo Uganda tu, hata Tanzania ukipeleka gari garage na kuiacha, jua kazi yao ya kwanza ni kuanza kufungua vifaa vyako vipya na kukufungia chakavu.
Umeooonaaa eeeh.. Sana'a AFADHALI HAOO UNAWAACHIA.. HAWA WA UGANDA WANAKWAMBIA PANCHA UKIPAKI WAREKEBISHE UNASHANGAA WANAFUNGUA MACHUMA YOTE ALAFU WANAKWAMBIA TUNAITAJI KADHA TUKABADILISHE.. WANACHOFANYA WANAKUWA NAMAUCHAFU YAO SO WAKISHAFUNGUA WANAKUITA UNAENDA WANAKWAMBIA UNAONA HAYAYOTE YAKUBADILISHA.. UNASHANGA GARIILIKJWA NZIMA HOW.. NDIPO TUKAJA JUA N MICHONGO NA POLISI WA UGANDA... NAHATA POLISI WSIPOKUJA UNAJUA MWIZIHUYU ALAFU WE NDIE UNATUMIKA KWENDA KUSAPOTIWIZI USHENZI MTUPU

WALIPOKIMBIA WENGINE MMOJA AKABAKI NAHISI KIONGOZI WAO AKWAITA POLISI NAKUWAMBIA KAMWAMBIE ATOE LAKITANO ZA UG TUMFUNGIE FASTA N WALIVYOKUWA MANDONDO WAKAMFWATAYULE MAMA NDIO AKAWAMBIA SUBIRINI KUBE DEFENDER ISHATONYWA YAJESHI LOH.. AFRICA WILL NEVER CHANGE
 
Chisels market.... Hassan mabintiii muwemakini kamapancha ondoeni mbalikabisa endesha hivyohivyoo mapolisi hatauite ndioo dilizaoo poor them ndioomaana tufikewakati jeshi liingie mtaan Kama walivyouganda kama unanamba Zao mbili wamekuja
 
Back
Top Bottom