Luno G
JF-Expert Member
- Sep 22, 2012
- 2,550
- 1,852
umechukua wapi? Ni pm name nikachukue mkuu.
kariakoo mtaa wa aggrey nenda pale s4 wanaanzia 200, s4 mini wanaanzia 180, s3 wanaanzia 150 na s3 mini waanzia 120
umechukua wapi? Ni pm name nikachukue mkuu.
kariakoo mtaa wa aggrey nenda pale s4 wanaanzia 200, s4 mini wanaanzia 180, s3 wanaanzia 150 na s3 mini waanzia 120
aisee sina mawasiliano nao ila maduka mengi sana kariakoo yanauza hizi cloneHembu naomba maelekezo Mazuri , mtaa wa agrey duka linaitwaje?? Hauna mawasiliano yao zaidi??
Umeona wapi Galaxy S4 ikauzwa chini ya milioni 1? Nilishangaa sana nilipoona hizi galaxies zikiuzwa cheap sana mwanzo nilifikiri wanaiba ila sasa nimekuja kugundua kumbe ni za kichina ila mchina huu ni balaa kwa macho ya kawaida huwezi kugundua hadi ufikirishe kichwa sana.
![]()
hio picha hapo juu ni ya galaxy s4 fake ya kichina
hebu tuangalie specificatio za galaxy s4 ya kichina na original.
specification za galaxy s4 origial
Processor: Quadcore snapdragon 600 1.9 ghz
RAM: 2gb
Kioo: inch 5
OS version: Android jelly bean 4.22
na benchmark za antutu zipo hivi
![]()
Specification za galaxy s4 ya kichina
Processor: mediatek 1ghz quadcore
RAM: 1gb
Kioo: 5inch
OS version: Android jellybean 4.22
Kwa macho ya kawaida huwezi tofautisha perfomance even nilirun antutu kwenye galaxy s4 ya kichina ilifika 22,000
So nawatahadharisha wabongo kuwa makini na simu za bei rahisi na kujiona wamepata simu kali kwa bei rahisi.vitu vifuatavyo ufanye kuitambua simu hizi za kichina.
1. Camera Quality: Hata ikija na camera 13mp simu ya kichina itatoa picha vibaya hakikisha unapiga picha mbili tatu kujua quality
2. Download application yoyote ya benchmark, antutu ni nzuri pima score za simu yako kwenye proccessor, gpu na jinsi inavyo-render graphic kujua kama itascore kama galaxy original. score original zipo kibao online.
3. Charger yake usb na earphone hazina quality ya flagship
Je, zinafaa kununa hizo za kichina?
Sio mbaya kununua hizi clone za kichina lakini hazi-deserve kuuzwa hela nyingi. Simu kama hii yenye quadcore 1ghz ina-deserve around 300,000 hadi 400,000!
So, muwe makini wana JMF!
mi natumia hii clone ya s4 mini kwasasa na ina 3G kiukweli kama sio mjuzi wa hizi simu kwa kasi fulani unaweza pigwa zaidiWe wala usiende mbali saaana, zote huwa hazina 3G wala LTE technology. Sasa kabla hujalipia we tia sim card isipoleta 3G ama 4G yaani LTE jua tu hapo hamna kitu kaa chonjo😛
huyu mchina wa hizi clone ni kiboko na hiyo testing code ya *#0*# inakubali kama kawaaisee hiyo imetokea leo kn mshkaji amenunua clone 300,000/- lakini baada ya kuii-test kumbe ni famba!
anyway samsung original yoyote inakuwa tested na code *#0*# ambayo inakupa optinion ya kutest chochote kwenye simu na kugundua kama ni fake auu lah! kuna fake ambazo hazikubali hiyo code!
Tuwe makini kwenye mchina!
mi natumia hii clone ya s4 mini kwasasa na ina 3G kiukweli kama sio mjuzi wa hizi simu kwa kasi fulani unaweza pigwa zaidi
hizi simu utofauti wake upo kwenye ram, processer na baadhi ya features nyengine ambazo hazionekani kwa macho ya kikawaida
hizo si clone hizi camera zake ni round 5mega pixels, hozo ni zile mchina wenyewe ambazo kwanza hazitumii os ya android zenyewe ni javaKuna moja niliikuta kwa checkbob mmoja cameta ni 13MP ila ukipiga picha utagundua kila picha haizidi 500kb kitu ambacho ni ajabu kukikuta katika hd cameras
hizo si clone hizi camera zake ni round 5mega pixels, hozo ni zile mchina wenyewe ambazo kwanza hazitumii os ya android zenyewe ni java
SIO KWELI, HAKUNA SAMSUNG FAKE INAYOKUBALI TESTING CODE *#0*#. Ataiga vyote lakini hiyo hatajaribu kwakuwa ni agreements zinazombana kibiashara ili kulinda origin brand . Angalia hata kwa NOKIA- hakuna FAKE ITAKAYO RESPOND KWA TESTING CODE YA *#0000#. HAYO MADOIDO YOOOTE SEMENI KUWA ANA COPY. Nakama yupo mwenye fake inayo respond hiyo code basi sema na kama ni kweli Basi hiyo fake itakuwa imetengenezwa huko tz. Pia isije mtu kauziwa simu ambazo zilizejeshwa ndani ya terms of guarantee kama wanavyofanya wafanya biashara wengi wa kati hata kama ni original hasa kwakuona usumbufu kurejesha kwa manufactural.huyu mchina wa hizi clone ni kiboko na hiyo testing code ya *#0*# inakubali kama kawa
sijakuelewa kuna sehemu unasema hakuna simu za clone zenye kukubali hiyo code afu kuna sehemu unasema kama ipo basi ni sema wakati mwanzo hapo kwenye red umesema hatajaribuSIO KWELI, HAKUNA SAMSUNG FAKE INAYOKUBALI TESTING CODE *#0*#. Ataiga vyote lakini hiyo hatajaribu kwakuwa ni agreements zinazombana kibiashara ili kulinda origin brand . Angalia hata kwa NOKIA- hakuna FAKE ITAKAYO RESPOND KWA TESTING CODE YA *#0000#. HAYO MADOIDO YOOOTE SEMENI KUWA ANA COPY. Nakama yupo mwenye fake inayo respond hiyo code basi sema na kama ni kweli Basi hiyo fake itakuwa imetengenezwa huko tz. Pia isije mtu kauziwa simu ambazo zilizejeshwa ndani ya terms of guarantee kama wanavyofanya wafanya biashara wengi wa kati hata kama ni original hasa kwakuona usumbufu kurejesha kwa manufactural.
SIO KWELI, HAKUNA SAMSUNG FAKE INAYOKUBALI TESTING CODE *#0*#. Ataiga vyote lakini hiyo hatajaribu kwakuwa ni agreements zinazombana kibiashara ili kulinda origin brand . Angalia hata kwa NOKIA- hakuna FAKE ITAKAYO RESPOND KWA TESTING CODE YA *#0000#. HAYO MADOIDO YOOOTE SEMENI KUWA ANA COPY. Nakama yupo mwenye fake inayo respond hiyo code basi sema na kama ni kweli Basi hiyo fake itakuwa imetengenezwa huko tz. Pia isije mtu kauziwa simu ambazo zilizejeshwa ndani ya terms of guarantee kama wanavyofanya wafanya biashara wengi wa kati hata kama ni original hasa kwakuona usumbufu kurejesha kwa manufactural.
SIO KWELI, HAKUNA SAMSUNG FAKE INAYOKUBALI TESTING CODE *#0*#. Ataiga vyote lakini hiyo hatajaribu kwakuwa ni agreements zinazombana kibiashara ili kulinda origin brand . Angalia hata kwa NOKIA- hakuna FAKE ITAKAYO RESPOND KWA TESTING CODE YA *#0000#. HAYO MADOIDO YOOOTE SEMENI KUWA ANA COPY. Nakama yupo mwenye fake inayo respond hiyo code basi sema na kama ni kweli Basi hiyo fake itakuwa imetengenezwa huko tz. Pia isije mtu kauziwa simu ambazo zilizejeshwa ndani ya terms of guarantee kama wanavyofanya wafanya biashara wengi wa kati hata kama ni original hasa kwakuona usumbufu kurejesha kwa manufactural.
mkuu kuna simu ya kichina na clone ya kichina.
maybe hio imeandikwa tu s4 lakini hawajaclone kitu hebu niangalizie vitu hv kama vipo ntakupa hio laki na nusu na wewe nakutoa pia.
-kioo inch tano
- nenda setting then about iwe na android 4.2
- iwe na gesture features mfano ukipitisha mkono kwa juu inashake shake homescreen
. Basi kama ni kweli itakuwa ni ajabu sana, ila cha msingi kwanza uelewe kuwa simu zote original zimesajiliwa IMEI. Hivyo kwakuanzia hebu ingia kwenye Link ya IMEI then ingiza IMEI/REG No ya simu yako na kama ni original basi itakupa details zote zinazofanana na simu yako na ukiona tofauti basi sio. Inawezekana hiyo simu yako ni original ila wewe unaishitukia tu.MI NNAYO HAPA HIYO GALAXY S4(nadhani ni S4 maana nikiwasha inaandika ile LIFE COMPANION) SIO ORIGINAL MAANA SIJUI TOFAUTI YA CLONE NA FEKI, NA INAKUBALI HII CODE *#0*# NA NIMETEST KILA KITU.