emilwayne
JF-Expert Member
- Nov 25, 2011
- 265
- 19
Ziko vzuri sana mkuu ukizipatia hzo
Umeona wapi Galaxy S4 ikauzwa chini ya milioni 1? Nilishangaa sana nilipoona hizi galaxies zikiuzwa cheap sana mwanzo nilifikiri wanaiba ila sasa nimekuja kugundua kumbe ni za kichina ila mchina huu ni balaa kwa macho ya kawaida huwezi kugundua hadi ufikirishe kichwa sana.
![]()
hio picha hapo juu ni ya galaxy s4 fake ya kichina
hebu tuangalie specificatio za galaxy s4 ya kichina na original.
specification za galaxy s4 origial
Processor: Quadcore snapdragon 600 1.9 ghz
RAM: 2gb
Kioo: inch 5
OS version: Android jelly bean 4.22
na benchmark za antutu zipo hivi
![]()
Specification za galaxy s4 ya kichina
Processor: mediatek 1ghz quadcore
RAM: 1gb
Kioo: 5inch
OS version: Android jellybean 4.22
Kwa macho ya kawaida huwezi tofautisha perfomance even nilirun antutu kwenye galaxy s4 ya kichina ilifika 22,000
So nawatahadharisha wabongo kuwa makini na simu za bei rahisi na kujiona wamepata simu kali kwa bei rahisi.vitu vifuatavyo ufanye kuitambua simu hizi za kichina.
1. Camera Quality: Hata ikija na camera 13mp simu ya kichina itatoa picha vibaya hakikisha unapiga picha mbili tatu kujua quality
2. Download application yoyote ya benchmark, antutu ni nzuri pima score za simu yako kwenye proccessor, gpu na jinsi inavyo-render graphic kujua kama itascore kama galaxy original. score original zipo kibao online.
3. Charger yake usb na earphone hazina quality ya flagship
Je, zinafaa kununa hizo za kichina?
Sio mbaya kununua hizi clone za kichina lakini hazi-deserve kuuzwa hela nyingi. Simu kama hii yenye quadcore 1ghz ina-deserve around 300,000 hadi 400,000!
So, muwe makini wana JMF!
Huko ndo usipime, ki-layman tu, Chukuwa iphone original na uchukuwe iphone ya kichina, weka karibu karibu.
Angalia umbali kati ya kamera ya mbele na Light intensity sensor kwa simu zote mbili.
Utagunduwa umbali wa original ni mdogo na umbali wa ya kichina ni mkubwa.
Kingine mlio wa ya kichina hauna unyunyu kabisa.
Gonga like ww.
Mkuu salute....
Vipi kujaribu kucheki imei ya simu?
Ukiingiza imei hapa Check IMEI - IMEI.info inakupa indication kama simu ni halisi....
Kuna Mtu mmoja humu jukwaani ni kweli tapeli anauza sim galaxy s iii fake na mimi mwenyewe ameshaniliza! Ukiiangalia kwa haraka huwezi itambua ukikaa nayo mda ndio picha halisi inaanza kuja taratibu.
Huyu Bwana ana mtandao atakuambia mimi nimeishiwa nenda kwa fulani atakuwa nazo!
Dogo aliyeniuzia ile baaada ya kum bana akaaniambia huu mzigo ni wa yule yule aliye ku -refer kwangu!!
Hawa jamaa lazima tuwa expose naanza na kupeleka jina kwa Mod, Mod akishindwa kuwa umbua nitawasema mmoja moja hapa!
Biashara ya kwenye mtandao sio kitu kigeni, wabongo tunataka kutumia jukwaaa hili kufanya utapeli! na kuuziana cheni bandia!!
Lets join to expose them
Mkwawa hizo simu ziko nyingi sana Dubai,na bei yake kama hizo s4 wanauza dirham 450 kama laki 2,ndugu yangu inataka uwe mzoefu wa simu tena sana ndio utazigundua lakini vinginevyo huwezi,nyuma zimeandikwa made in Korea,zipo s3 s4 na iPhone 5 jamaa kwa copy mara hii wmaefaulu,
Kama mtu akiwa hajawahi kutumia simu Kati ya hizo hawezi kujua kama feki,
Kuna rfk yng aliniagiza s3 tatu nashkuru maduka ya wenzetu hawakuzii kitu mpaka wakufahamishe kilivyo,ilibidi niende maduka ninayo yaamini ndio nikanunua s3 hizo,
Hizo zipo ila hMkuu zipo zinatengenezwa korea kila kitu nisawa na iphone,HTC,Samsung etc huwezi kujua kujua kwake ni katika play store yake kuna application za kichina na siyo nyingi!Nimeuza sana HTC na zinafanya kazi vizuri ila mchina wakorea!!zipo nyingi tu feki sema zinagundulika kirahisi
1. ukitype hairespond vizuri kila saa unakosea au ukitouch namba haifany kitu
2. zinatumia line kubwa badala ya ndogo
3. hazina playstore ya kudownload apps
4. zina java apps wakati iphone haina java
5. ukiclick browser ya safari inakuletea uc browser
6. nyengine zina memory card wakati iphone haitumii memory card
7. zina usb cable universal ya kawaida kama nokia, samsung wakati iphone cable yake ni unique
8. mandishi mandishi ya kichina unayakuta baadhi ya maeneo wakati kwengine ni kingereza
Hizo zipo ila hMkuu zipo zinatengenezwa korea kila kitu nisawa na iphone,HTC,Samsung etc huwezi kujua kujua kwake ni katika play store yake kuna application za kichina na siyo nyingi!Nimeuza sana HTC na zinafanya kazi vizuri ila mchina wakorea!!
Kumbe ndivyo ilivyo mi nilijua pia inatumia maana huku niliko mambo hayo bado sana na je,inakuwa na uwezo gani wa kuhifadhi muziki,picha na video?zipo nyingi tu feki sema zinagundulika kirahisi
1. ukitype hairespond vizuri kila saa unakosea au ukitouch namba haifany kitu
2. zinatumia line kubwa badala ya ndogo
3. hazina playstore ya kudownload apps
4. zina java apps wakati iphone haina java
5. ukiclick browser ya safari inakuletea uc browser
6. nyengine zina memory card wakati iphone haitumii memory card
7. zina usb cable universal ya kawaida kama nokia, samsung wakati iphone cable yake ni unique
8. mandishi mandishi ya kichina unayakuta baadhi ya maeneo wakati kwengine ni kingereza
Hahaha. Sasa OS hujui, simu yako unatumia kubip na kutuma sms ama? Usipotee sana shemeji.
s 4 mini nmechukua kwa 160 duh ahsante mchina