Warning kuhusu simu za Galaxy S4, S3, Note 2 za kichina

Warning kuhusu simu za Galaxy S4, S3, Note 2 za kichina

Vipi kuhusu blackberies? Kuna fake? Utazigunduaje?

mkuu blackberry, windows phone, simu za ios (iphone, ipod, ipad) ni rahisi kuzigundua kwa sababu operating system zao haruhusiwi kutumia mtu yoyote, so wachina wanakua na kazi mbili kuclone simu na kuclone os kitu ambacho ni kigumu.

just chukua bb original na fake utaona tofauti
 
Nashukuru sana wachina kuleta s4 feki angalau nasi 'wachambawima' tunaonekana....! Noma ni kuuziwa bei kubwa lakini mpaka sasa sijaiona tofauti kati ya mchina na mkorea

yah ni kweli mkuu hizi clone ni nzuri as long as wanaziuza bei rahisi.
 
dah na me nimekutana nazo mahala jamaa anazo za kuanzia laki na themanini mpaka mia tatu sabini.
 
asante mkuu kwa kunifungua, hapa nna hiyo s3 gdh...nilishikwa kaka!ila naona copy yake si mbaya sana.
 
Umeona wapi Galaxy S4 ikauzwa chini ya milioni 1? Nilishangaa sana nilipoona hizi galaxies zikiuzwa cheap sana mwanzo nilifikiri wanaiba ila sasa nimekuja kugundua kumbe ni za kichina ila mchina huu ni balaa kwa macho ya kawaida huwezi kugundua hadi ufikirishe kichwa sana.

sgs4-fake

hio picha hapo juu ni ya galaxy s4 fake ya kichina
hebu tuangalie specificatio za galaxy s4 ya kichina na original.

specification za galaxy s4 origial
Processor: Quadcore snapdragon 600 1.9 ghz
RAM: 2gb
Kioo: inch 5
OS version: Android jelly bean 4.22
na benchmark za antutu zipo hivi

Samsung-Galaxy-S4-AnTuTu-3.3.jpg

Specification za galaxy s4 ya kichina
Processor: mediatek 1ghz quadcore
RAM: 1gb
Kioo: 5inch
OS version: Android jellybean 4.22

Kwa macho ya kawaida huwezi tofautisha perfomance even nilirun antutu kwenye galaxy s4 ya kichina ilifika 22,000

So nawatahadharisha wabongo kuwa makini na simu za bei rahisi na kujiona wamepata simu kali kwa bei rahisi.vitu vifuatavyo ufanye kuitambua simu hizi za kichina.

1. Camera Quality: Hata ikija na camera 13mp simu ya kichina itatoa picha vibaya hakikisha unapiga picha mbili tatu kujua quality
2. Download application yoyote ya benchmark, antutu ni nzuri pima score za simu yako kwenye proccessor, gpu na jinsi inavyo-render graphic kujua kama itascore kama galaxy original. score original zipo kibao online.
3. Charger yake usb na earphone hazina quality ya flagship

Je, zinafaa kununa hizo za kichina?
Sio mbaya kununua hizi clone za kichina lakini hazi-deserve kuuzwa hela nyingi. Simu kama hii yenye quadcore 1ghz ina-deserve around 300,000 hadi 400,000!

So, muwe makini wana JMF!

mkuu sasa inakuwaje hao wachina wanapata os orignal ya jelly bean wakati inajulikana simu zao ni feki au wanazichukua kimagumashi
 
mkuu sasa inakuwaje hao wachina wanapata os orignal ya jelly bean wakati inajulikana simu zao ni feki au wanazichukua kimagumashi

kwan android si open? then ni bure ipo online kila mtu anaruhusiwa kutumia. so mtu akieka sehemu yoyote sio kosa.
 
Mimi mwenzenu nilikamatishwa samsung gallaxy3 GT-I8190 kwa laki mbili iko poa ila tatizo liko kwenye chaji yaani nikiwa ninaichaji inakuwa full ndani ya dk 20 au 30 na kwa matumizi inadumu ndani ya masaa 3 au 4 tatizo ni nini?
 
Umeona wapi Galaxy S4 ikauzwa chini ya milioni 1? Nilishangaa sana nilipoona hizi galaxies zikiuzwa cheap sana mwanzo nilifikiri wanaiba ila sasa nimekuja kugundua kumbe ni za kichina ila mchina huu ni balaa kwa macho ya kawaida huwezi kugundua hadi ufikirishe kichwa sana.

sgs4-fake

hio picha hapo juu ni ya galaxy s4 fake ya kichina
hebu tuangalie specificatio za galaxy s4 ya kichina na original.

specification za galaxy s4 origial
Processor: Quadcore snapdragon 600 1.9 ghz
RAM: 2gb
Kioo: inch 5
OS version: Android jelly bean 4.22
na benchmark za antutu zipo hivi

Samsung-Galaxy-S4-AnTuTu-3.3.jpg

Specification za galaxy s4 ya kichina
Processor: mediatek 1ghz quadcore
RAM: 1gb
Kioo: 5inch
OS version: Android jellybean 4.22

Kwa macho ya kawaida huwezi tofautisha perfomance even nilirun antutu kwenye galaxy s4 ya kichina ilifika 22,000

So nawatahadharisha wabongo kuwa makini na simu za bei rahisi na kujiona wamepata simu kali kwa bei rahisi.vitu vifuatavyo ufanye kuitambua simu hizi za kichina.

1. Camera Quality: Hata ikija na camera 13mp simu ya kichina itatoa picha vibaya hakikisha unapiga picha mbili tatu kujua quality
2. Download application yoyote ya benchmark, antutu ni nzuri pima score za simu yako kwenye proccessor, gpu na jinsi inavyo-render graphic kujua kama itascore kama galaxy original. score original zipo kibao online.
3. Charger yake usb na earphone hazina quality ya flagship

Je, zinafaa kununa hizo za kichina?
Sio mbaya kununua hizi clone za kichina lakini hazi-deserve kuuzwa hela nyingi. Simu kama hii yenye quadcore 1ghz ina-deserve around 300,000 hadi 400,000!

So, muwe makini wana JMF!

asante saaaaaana mkuu, balaa kwa macho ya kawaida huwezi kugundua hadi ufikirishe kichwa sana.
 
Chief-mkwawa, vipi kuhusu iphones
Huko ndo usipime, ki-layman tu, Chukuwa iphone original na uchukuwe iphone ya kichina, weka karibu karibu.
Angalia umbali kati ya kamera ya mbele na Light intensity sensor kwa simu zote mbili.
Utagunduwa umbali wa original ni mdogo na umbali wa ya kichina ni mkubwa.
Kingine mlio wa ya kichina hauna unyunyu kabisa.
 
Back
Top Bottom