Warning kuhusu simu za Galaxy S4, S3, Note 2 za kichina

Warning kuhusu simu za Galaxy S4, S3, Note 2 za kichina

CHIEF MKWAWA kwa mfano unapoenda dukani nitajuaje all these sort of things sjui cera nipige picha manake zipo ktk boks unaziona tu had uwashe ndo ujue na wakat huo unakua ushanunua that means imekula kwako

dukani si unapewa warranty? ukifika nyumbani hakikisha kama ndio, ikiwa sio unarudisha
 
Last edited by a moderator:
Hizo simu feki zinajulikana mbona tena kwa password tuu ikiwa feki hazikubali ww jaribu kusearch google mtaona yaan samsung feki ukitia hizo key hazifanyi kazi ila ukiweka kwa samsung original zna respond mm huwa sipatagi tabu sana ziko km mia hivi ila waweza fanya sample ukajaribu 10 tuu ikikubal ujue yenyewe
 
Kiroho juu juu mimi hapa mpaka nimeweza kusearch na kuipata IMEI # kisha nimeingia www.imei.info na kupata taarifa za smu yangu nina amani nw. ..nmepata taarfa za smu yangu na kuanzia sasa ntakuwa najarbu hl tu na siach kununua smu mikononi mwa mtuuuuu
 
mkuu hizo simu hazifai kwa matumizi yoyote yale kwani simu hizo feki zina radiation kubwa kupita kiwango cha kimataifa,kingine mtu unachopaswa kufikiria iyo simu (clone) inauzwa laki 3, original laki 8 kuendelea,unadhani walitumia material gani kuitengenezae feki na gani original.

wauzaji wengi wa vifaa vya mawasiliano hawana uelewa a vifaa hivyo wala serikal haitoi elimu juu ya madhara,na TBS hawajitambui kwa kukalia kimya suala hili.

Chief mkwawa nimependa maelezo yako ningependa ufahamu hili
vifaa hivi ni digital you can modefy what you want to be. kivip hili linatimia, motherbody ya simu feki Clone ipo accessed na manufacture alitengeneza Blank Device ambayo user ataiprograming mwenyewe. Iwapo utataka oda labda ya HTC fake na hawana wanacho fanya ni contact na Plastic manufacture na kumpa vipimo vya Simu husika. kisha wao wanashift ile motherbody from samsung to htc,alafu wanaInstall HTC UI,na unapewa mzigo wako.

cheki data inavyo chakachuliwa
android.amination -- contail start up.
android.database.sqlite --- data zote benchmark anasoma hapa
android.hardware --- kamera inakuzwa,processor jina linaadilishwa,nk

www.bicmarkshop.wapka.mobi
 
Still haujitendei haki shemeji.
Unapaswa uangalie matumizi yako binafsi kwanza. Mfano mie napenda sana kupiga picha matukio (ukisimama na suruali yako ya kitenge kama mcheza ngoma sikuachii, lazma nikuwinde). Kwa hiyo naangalia camera nzuri na kuweka chaji na pia capacity ya storage. Zaidi ya hapo internet tu
Mi ni user tu shem. Kimachotakiwa kwangu ni simu iwe na uwezo wa kufanya nayoyataka. Kila mtu huwa anasema yake..wengine wanasema ios ndio best, wengine android, wengine windows, wengine rim na leo nasikia kuna OS za kichina. Nimeshatumia simu zote but sion tofaut. Nachofanya sasa ni kugoogle best smart phone, inayokuwa ya kwanza kwenye market ndio nainunua. Sihitaji kwenda into details cuz najua vile vitu basic navyohitaji lazima nitavipata.
 
s2 original 450,000 (s2plus)
s3 original 500,000
s4 korea version 850,000
s4 asia 755,000
s5 1,000,000
 
Mkwawa umesahau kuwa kuna watu wanaingiza simu kwa njia za magendo bila kulipiwa kodi.. Hivyo si lazima galaxy 5 ununue m. 1 unaweza oata ht kwa laki 6 bdo ni original
 
Umeona wapi Galaxy S4 ikauzwa chini ya milioni 1? Nilishangaa sana nilipoona hizi galaxies zikiuzwa cheap sana mwanzo nilifikiri wanaiba ila sasa nimekuja kugundua kumbe ni za kichina ila mchina huu ni balaa kwa macho ya kawaida huwezi kugundua hadi ufikirishe kichwa sana.

sgs4-fake

hio picha hapo juu ni ya galaxy s4 fake ya kichina
hebu tuangalie specificatio za galaxy s4 ya kichina na original.

specification za galaxy s4 origial
Processor: Quadcore snapdragon 600 1.9 ghz
RAM: 2gb
Kioo: inch 5
OS version: Android jelly bean 4.22
na benchmark za antutu zipo hivi

Samsung-Galaxy-S4-AnTuTu-3.3.jpg

Specification za galaxy s4 ya kichina
Processor: mediatek 1ghz quadcore
RAM: 1gb
Kioo: 5inch
OS version: Android jellybean 4.22

Kwa macho ya kawaida huwezi tofautisha perfomance even nilirun antutu kwenye galaxy s4 ya kichina ilifika 22,000

So nawatahadharisha wabongo kuwa makini na simu za bei rahisi na kujiona wamepata simu kali kwa bei rahisi.vitu vifuatavyo ufanye kuitambua simu hizi za kichina.

1. Camera Quality: Hata ikija na camera 13mp simu ya kichina itatoa picha vibaya hakikisha unapiga picha mbili tatu kujua quality
2. Download application yoyote ya benchmark, antutu ni nzuri pima score za simu yako kwenye proccessor, gpu na jinsi inavyo-render graphic kujua kama itascore kama galaxy original. score original zipo kibao online.
3. Charger yake usb na earphone hazina quality ya flagship

Je, zinafaa kununa hizo za kichina?
Sio mbaya kununua hizi clone za kichina lakini hazi-deserve kuuzwa hela nyingi. Simu kama hii yenye quadcore 1ghz ina-deserve around 300,000 hadi 400,000!

So, muwe makini wana JMF!

Kuna galaxy note 3 nimeona wanauza laki tatu,ni kutoka korea(ni ya kichina tuseme) ila wenyew wamesema inafanya kazi vizur tu kama original, ila tofauti ni camera ukipiga usiku haineshi vzur, blurred vision. Je ni kweli? Kuna mtu nimemuuliza kuhusu chinese galaxy akasema net zinasumbuaga, is it true? Na je, zinafaa kwa matumiz ya kawaida
 
kwa sasa hivi sishauri kabisa mtu anunue clone. haziaminiki na ni risk kubwa kila kitu kinaweza haribika muda wowote. kwa budget kama hio ya laki 3 hadi 4 nenda posta katafute moto g ya 16gb utapata simu nzuri original na inayopata updates mara kwa mara
 
Jaman ninatatzo ... galaxy s4 min imevunjika screen natafuta sehemu ntakapo pata fundi wa ukweli ... nipo dar
 
mimi ningependa kufahamishwa ubora wa battery za hizo clone especially galaxy note na je hizo battery ni non removable au la
 
kwa sasa hivi sishauri kabisa mtu anunue clone. haziaminiki na ni risk kubwa kila kitu kinaweza haribika muda wowote. kwa budget kama hio ya laki 3 hadi 4 nenda posta katafute moto g ya 16gb utapata simu nzuri original na inayopata updates mara kwa mara

Chief-Mkwawa mimi nilinunua sumsung s2 kwa laki tatu octoba mwaka huu,kamera yake usiku haitoi pic nzuri na ukitumia flush ndio hovyo kabisa! Juzi imedondoka kny kapeti na haikuwa urefu mkubwa ni kama nusu mita kuinyanua screen ni giza ingawa iko on,na ilikuwa na cover! Ila nimegundua ni fake kutokana na maelezo yako,sasa nisaidie ni simu gani nzuri ya bei nafuu na yenye camera nzuri? Asante
 
Last edited by a moderator:
Mm na samsung duos but camera inazingua, so tatizo nn mkuu mkwawa
 
Umeona wapi Galaxy S4 ikauzwa chini ya milioni 1? Nilishangaa sana nilipoona hizi galaxies zikiuzwa cheap sana mwanzo nilifikiri wanaiba ila sasa nimekuja kugundua kumbe ni za kichina ila mchina huu ni balaa kwa macho ya kawaida huwezi kugundua hadi ufikirishe kichwa sana.

sgs4-fake

hio picha hapo juu ni ya galaxy s4 fake ya kichina
hebu tuangalie specificatio za galaxy s4 ya kichina na original.

specification za galaxy s4 origial
Processor: Quadcore snapdragon 600 1.9 ghz
RAM: 2gb
Kioo: inch 5
OS version: Android jelly bean 4.22
na benchmark za antutu zipo hivi

Samsung-Galaxy-S4-AnTuTu-3.3.jpg

Specification za galaxy s4 ya kichina
Processor: mediatek 1ghz quadcore
RAM: 1gb
Kioo: 5inch
OS version: Android jellybean 4.22

Kwa macho ya kawaida huwezi tofautisha perfomance even nilirun antutu kwenye galaxy s4 ya kichina ilifika 22,000

So nawatahadharisha wabongo kuwa makini na simu za bei rahisi na kujiona wamepata simu kali kwa bei rahisi.vitu vifuatavyo ufanye kuitambua simu hizi za kichina.

1. Camera Quality: Hata ikija na camera 13mp simu ya kichina itatoa picha vibaya hakikisha unapiga picha mbili tatu kujua quality
2. Download application yoyote ya benchmark, antutu ni nzuri pima score za simu yako kwenye proccessor, gpu na jinsi inavyo-render graphic kujua kama itascore kama galaxy original. score original zipo kibao online.
3. Charger yake usb na earphone hazina quality ya flagship

Je, zinafaa kununa hizo za kichina?
Sio mbaya kununua hizi clone za kichina lakini hazi-deserve kuuzwa hela nyingi. Simu kama hii yenye quadcore 1ghz ina-deserve around 300,000 hadi 400,000!

So, muwe makini wana JMF!

Chief ,, wachina wametengeneza hiyo simu ili angalau wenye vipato vya chini nasi tuonje radha ya S4 na kule kwao siyo siri inajulikana tu. tatizo wafanyabiashara wetu ndio wanaotupiga fake,,,

Wachina wanauza hizi simu kwa bei ya chini sana lakini wanaotuletea wanatupiga bei,, huku wakidai wametupunguzia.

Na kuigundua huhitaji kufanya mambo mengi sana,, angalia quality ya camera tu utagundua kuwa siyo original.
 
Kiroho juu juu mimi hapa mpaka nimeweza kusearch na kuipata IMEI # kisha nimeingia Check IMEI - IMEI.info na kupata taarifa za smu yangu nina amani nw. ..nmepata taarfa za smu yangu na kuanzia sasa ntakuwa najarbu hl tu na siach kununua smu mikononi mwa mtuuuuu

Hiyo ishu ya kununua simu mkononi kwa mtu sio nzuri! Simu inaweza kufanyiwa uhalifu alaf ukauziwa kesi itakuangukia wewe!
 
Back
Top Bottom