Warning kuhusu simu za Galaxy S4, S3, Note 2 za kichina

Hiyo ishu ya kununua simu mkononi kwa mtu sio nzuri! Simu inaweza kufanyiwa uhalifu alaf ukauziwa kesi itakuangukia wewe!

N kweli nmeskia hlo kutoka kwa mtu wangu wa karbu na sasa nmabadlka na kuachana na mawazo hayo..asante kwa ushaur
 
Yaap ngoja nami nicheki kimeo changu galaxy mini pocket hsaaa
 
Umeona wapi Galaxy S4 ikauzwa chini ya milioni 1? Nilishangaa sana nilipoona hizi galaxies zikiuzwa cheap sana mwanzo nilifikiri wanaiba ila sasa nimekuja kugundua kumbe ni za kichina ila mchina huu ni balaa kwa macho ya kawaida huwezi kugundua hadi ufikirishe kichwa sana.

sgs4-fake

hio picha hapo juu ni ya galaxy s4 fake ya kichina
hebu tuangalie specificatio za galaxy s4 ya kichina na original.

specification za galaxy s4 origial
Processor: Quadcore snapdragon 600 1.9 ghz
RAM: 2gb
Kioo: inch 5
OS version: Android jelly bean 4.22
na benchmark za antutu zipo hivi

Samsung-Galaxy-S4-AnTuTu-3.3.jpg

Specification za galaxy s4 ya kichina
Processor: mediatek 1ghz quadcore
RAM: 1gb
Kioo: 5inch
OS version: Android jellybean 4.22

Kwa macho ya kawaida huwezi tofautisha perfomance even nilirun antutu kwenye galaxy s4 ya kichina ilifika 22,000

So nawatahadharisha wabongo kuwa makini na simu za bei rahisi na kujiona wamepata simu kali kwa bei rahisi.vitu vifuatavyo ufanye kuitambua simu hizi za kichina.

1. Camera Quality: Hata ikija na camera 13mp simu ya kichina itatoa picha vibaya hakikisha unapiga picha mbili tatu kujua quality
2. Download application yoyote ya benchmark, antutu ni nzuri pima score za simu yako kwenye proccessor, gpu na jinsi inavyo-render graphic kujua kama itascore kama galaxy original. score original zipo kibao online.
3. Charger yake usb na earphone hazina quality ya flagship

Je, zinafaa kununa hizo za kichina?
Sio mbaya kununua hizi clone za kichina lakini hazi-deserve kuuzwa hela nyingi. Simu kama hii yenye quadcore 1ghz ina-deserve around 300,000 hadi 400,000!

So, muwe makini wana JMF!

Watu mmekuwa mkichukulia kila simu iliyo clone ni ya made in china, hii inajenga dhana kwamba vitu vyote vibovu na fake ni vya china kumbe sivyo.
Kama kitu fake kimetoka uingereza ipeni haki nchi hiyo kwa kuisema kuwa inazalisha bidhaa fake kwa kuigiza original. Hizo GALAXY clone unazozisema hapa zimetoka KOREA na sio china, acheni kuchafua mshirika wetu.
 
. Inaweza kuwa ni original ila ni version tofauti, zote zinaweza kuwa galaxy 4. ingia Link ya IMEI ujirizishe

acheni kujipa moyo mimi nina rafik yangu anaziuza hzo simu za samsung note 3 fake na huwa ananiambia watu wengi huwa wanakimbilia IMEI kucheki hiyo cyo suluhisho hata ukiingia IMEI itakwambia kuwa hyo ni original kama umekaa sana na simu hz kubwa ukishika fake utaijua tu hata ubora wa muonekano wa kioo ni tofauti hata touch yake inakuwa haipo active kama original ukija kwenye camera ndo simple sana
 
Hata haihitaji kufikirisha kichwa, apart from RAM, Processor, Resolution na vtu vngne like benchmark performance i think njia ya kutumia IMEI is the esiest way. Chukua hiyo simu unayotaka nunua angalia IMEI zake then ingia www.imei.info hiyo website kuna sehem watakwambia "Enter your IMEI here" then utaclick button iliyo mbele yake . ikiload itakuletea infomation za cm yako kila kitu, specifications zote. Kwa kawaida izo cm clone hazina IMEI ambayo ni valid. Mfano hiyo picha kuna dada flan alinambia kanunua galaxy note 3 kwa laki tatu tu. Nikashangaa sana so i told her to send me her phone's IMEI check izo namba tu zilivyo weird hakuna kitu hapo ukiingiza kwene ile site simu haitambuliki

hahaha acha kumtisha mwenzio wewe!
LENOVO ni kampuni ya kimarekani ambayo pia ni familia moja na IBM. Ila kuwa makini maana hata samsung original ni korea bt zipo made by china
Lenovo Group Ltd. /l ɛ nˈoʊ v oʊ/ is a Chinese
multinational computer technology company
with headquarters in Beijing, China, and
Morrisville, North Carolina , United States .It
designs, develops, manufactures and sells
personal computers, tablet computers,
smartphones , workstations, servers, electronic
storage devices, IT management software and
smart televisions . In 2013, Lenovo was the
world's largest personal computer vendor by
unit sales. It markets the ThinkPad line of
notebook computers and the ThinkCentre line
of desktops.
 
Watu mmekuwa mkichukulia kila simu iliyo clone ni ya made in china, hii inajenga dhana kwamba vitu vyote vibovu na fake ni vya china kumbe sivyo.
Kama kitu fake kimetoka uingereza ipeni haki nchi hiyo kwa kuisema kuwa inazalisha bidhaa fake kwa kuigiza original. Hizo GALAXY clone unazozisema hapa zimetoka KOREA na sio china, acheni kuchafua mshirika wetu.

hapana hakuna clone ya korea kaka zinatoka china na sababu ni cost ya kutengeneza na upatikanaji wa vifaa. utengenezwaji wa simu si kama upishi wa wali na maharage au chips bali ni muunganiko wa maelfu ya vifaa ambavyo vyote vinapatikana china kwa urahisi.

unafikiri nani mjinga aeke kiwanda cha clone korea?
-processor za clone ni mediatek zinatengenezwa china
-kampuni zote zinatengeneza battery china
-almost charger zote zinatengenezwa china
-foxconn ipo china

ili mtu aweze tengeneza clone korea inabidi afanye import ya vifaa toka china na avilipie ushuru, huoni kama utakua ni ujinga huu uache kutengeneza simu mahala vitu vinapotokea utengenezee korea? hasa kwa kampuni ndogo?

even kampuni kama apple/htc/nokia/acer/lenovo na nyengine zisizotoka korea hawana viwanda korea ijekuwa watengeneza clone?
 
acheni kujipa moyo mimi nina rafik yangu anaziuza hzo simu za samsung note 3 fake na huwa ananiambia watu wengi huwa wanakimbilia IMEI kucheki hiyo cyo suluhisho hata ukiingia IMEI itakwambia kuwa hyo ni original kama umekaa sana na simu hz kubwa ukishika fake utaijua tu hata ubora wa muonekano wa kioo ni tofauti hata touch yake inakuwa haipo active kama original ukija kwenye camera ndo simple sana

yap huwezi kuangalia imei sababu simu za android zinauwezo wa kuchange imei. naweza hata chukua imei ya iphone nikaeka kwenye mchina wangu kirahisi tu.
 
Lenovo Group Ltd. /l ɛ nˈoʊ v oʊ/ is a Chinese
multinational computer technology company
with headquarters in Beijing, China, and
Morrisville, North Carolina , United States .It
designs, develops, manufactures and sells
personal computers, tablet computers,
smartphones , workstations, servers, electronic
storage devices, IT management software and
smart televisions . In 2013, Lenovo was the
world's largest personal computer vendor by
unit sales. It markets the ThinkPad line of
notebook computers and the ThinkCentre line
of desktops.

Thanks man for coming to my aid. I told so lenovo is a Chinese make company
 
Chief Mkwawa nisaidie hapo kuna kahela nilikuwa naweka ni muda sasa kametimia nataka kununua smartphone nzuri sasa napata utata kati ya Samsung galaxy not4 na Iphone 6 ni lipi chaguo bora?
 
Wadau nisaidieni hapo kuna kahela nilikuwa naweka ni muda sasa kametimia nataka kununua smartphone nzuri sasa napata utata kati ya Samsung galaxy not4 na Iphone 6 ni lipi chaguo bora?
 
kaka kama ni hela ya mawazo why ununue simu ya bei ghali?

unapenda nini kwenye simu?
 
Sio yamawazo kiongozi ila nilijipanga kwa muda mrefu, napenda simu imara na yenye uwezo mkubwa, pia ninayoweza kukaa nayo kwa muda mrefu pasipo kuichoka.
 
zipo nyingi tu feki sema zinagundulika kirahisi
1. ukitype hairespond vizuri kila saa unakosea au ukitouch namba haifany kitu
2. zinatumia line kubwa badala ya ndogo
3. hazina playstore ya kudownload apps
4. zina java apps wakati iphone haina java
5. ukiclick browser ya safari inakuletea uc browser
6. nyengine zina memory card wakati iphone haitumii memory card
7. zina usb cable universal ya kawaida kama nokia, samsung wakati iphone cable yake ni unique
8. mandishi mandishi ya kichina unayakuta baadhi ya maeneo wakati kwengine ni kingereza

Nyongeza mkuu..pia hazshei bLuetooth na cm nyngne
tofaut!!
 
Chief Mkwawa kimya nipe ushauri hapo afu kwanini hawa iPhone smartphone zao ni gharama pia hawajaweka ktk bei mbalimbali ka Samsung?!!
 
Back
Top Bottom