Warning kuhusu simu za Galaxy S4, S3, Note 2 za kichina

Warning kuhusu simu za Galaxy S4, S3, Note 2 za kichina

maisha yako yote hutakaa upatate galaxy 5 kwa laki 5 hata ungekua unafanya kazi kiwandani.bei zinapangwa na before product manufactured wacha bangi.na wale wanaosema simu ulaya ni rahisi zaidi ya huku wamepigwa fix,kawaida simu zipo kulingana na ukanda fulani simu zinazouzwa nchi za baridi ni best kwa kule tu kuanzia processor,ram,network nk.
pia waranty..............

asia version bei ikiwa 500000
korea version bei 800,000
chunguza model za simu kwani kila model ina sifa zake.
 
Chief, samsung s4 imepasua lcd digitizer inapokea ila display imekufa,, wapi dar naweza change hii display? shukran
 
Chief Mkwawa kimya nipe ushauri hapo afu kwanini hawa iPhone smartphone zao ni gharama pia hawajaweka ktk bei mbalimbali ka Samsung?!!

hio ni modal ya biashara yao, hata matajiri wanapenda kutumia vitu ambavyo maskini hawana hawapendi kushare
 
Chief, samsung s4 imepasua lcd digitizer inapokea ila display imekufa,, wapi dar naweza change hii display? shukran

nenda ofisi za samsung zipo msimbazi stand ya mbagala, mtaa wa uhuru kama unaenda mnazi mmoja na mjini pembeni yA freedom communication. ila kabla hujaenda icheki kama ina warranty ili utengenezewe bure.

angalia imei yako then copy halafu tuma message hii

REG*IMEI NUMBER#

kwenda 15685
 
Tutajuaje kama original tupe namna yakuangalia

Unaweza ukatambua mwenyewe original na feki. Ebu check hapa https://www.numberingplans.com/?page=analysis&sub=imeinr

Muda mwingine usikose japo mara moja kwa wiki kusoma mada zinazotoa elimu ya manunuzi nchi za nje na mbinu mbali mbali kama hizi za kutambua bidhaa orijino kwa kutembelea hapa>>>http://www.kalumbilo.co.tz/fahamu
 
Unaeza knsaidia kugundua sim ya Samsung S3 orijino ata kwa kutest ?, pia bei yake halisi kwa sasa inaeza kua kias gan mana nmeona ktk page flan ya Instagram inauzwa 350000 mpaka nkashangaa
Umeona wapi Galaxy S4 ikauzwa chini ya milioni 1? Nilishangaa sana nilipoona hizi galaxies zikiuzwa cheap sana mwanzo nilifikiri wanaiba ila sasa nimekuja kugundua kumbe ni za kichina ila mchina huu ni balaa kwa macho ya kawaida huwezi kugundua hadi ufikirishe kichwa sana.

sgs4-fake


hio picha hapo juu ni ya galaxy s4 fake ya kichina
hebu tuangalie specificatio za galaxy s4 ya kichina na original.

specification za galaxy s4 origial
Processor: Quadcore snapdragon 600 1.9 ghz
RAM: 2gb
Kioo: inch 5
OS version: Android jelly bean 4.22
na benchmark za antutu zipo hivi

Samsung-Galaxy-S4-AnTuTu-3.3.jpg


Specification za galaxy s4 ya kichina
Processor: mediatek 1ghz quadcore
RAM: 1gb
Kioo: 5inch
OS version: Android jellybean 4.22

Kwa macho ya kawaida huwezi tofautisha perfomance even nilirun antutu kwenye galaxy s4 ya kichina ilifika 22,000

So nawatahadharisha wabongo kuwa makini na simu za bei rahisi na kujiona wamepata simu kali kwa bei rahisi.vitu vifuatavyo ufanye kuitambua simu hizi za kichina.

1. Camera Quality: Hata ikija na camera 13mp simu ya kichina itatoa picha vibaya hakikisha unapiga picha mbili tatu kujua quality
2. Download application yoyote ya benchmark, antutu ni nzuri pima score za simu yako kwenye proccessor, gpu na jinsi inavyo-render graphic kujua kama itascore kama galaxy original. score original zipo kibao online.
3. Charger yake usb na earphone hazina quality ya flagship

Je, zinafaa kununa hizo za kichina?
Sio mbaya kununua hizi clone za kichina lakini hazi-deserve kuuzwa hela nyingi. Simu kama hii yenye quadcore 1ghz ina-deserve around 300,000 hadi 400,000!

So, muwe makini wana JMF!
 
Unaeza knsaidia kugundua sim ya Samsung S3 orijino ata kwa kutest ?, pia bei yake halisi kwa sasa inaeza kua kias gan mana nmeona ktk page flan ya Instagram inauzwa 350000 mpaka nkashangaa

Simu zinashuka bei kwa Kasi usishangae, s3 zinapatikana kwa wingi range ya 200,000 hadi 300,000 sass hivi.

Cha muhimu hakikisha Ni original, kuijua install CPU z toka play store ikionesha Ina mediatek basi Ni mchina na kama Ina exynos basi Ni original
 
Simu zinashuka bei kwa Kasi usishangae, s3 zinapatikana kwa wingi range ya 200,000 hadi 300,000 sass hivi.

Cha muhimu hakikisha Ni original, kuijua install CPU z toka play store ikionesha Ina mediatek basi Ni mchina na kama Ina exynos basi Ni original
Najiuliza huyo muuzaji atakubal u install hizo app
 
Najiuliza huyo muuzaji atakubal u install hizo app

kama ni used atakubali tu kwanini akatae?

kama ni mpya atakupa warranty ukiinunua unaenda nyumbani unaieka hio app then kama ni mchina unairudisha hawezi kukufanya kitu sababu ni kosa la jinai kukuuzia clone akijifanya ni original hana tofauti na matapeli wengine.
 
kama ni used atakubali tu kwanini akatae?kama ni mpya atakupa warranty ukiinunua unaenda nyumbani unaieka hio app then kama ni mchina unairudisha hawezi kukufanya kitu sababu ni kosa la jinai kukuuzia clone akijifanya ni original hana tofauti na matapeli wengine.
nimekupata mkuu
 
Vipi hapa nipo salama?
 

Attachments

  • 1435274441435.jpg
    1435274441435.jpg
    48.3 KB · Views: 371
  • 1435274501172.jpg
    1435274501172.jpg
    38.8 KB · Views: 340
Mkwawa umesahau kuwa kuna watu wanaingiza simu kwa njia za magendo bila kulipiwa kodi.. Hivyo si lazima galaxy 5 ununue m. 1 unaweza oata ht kwa laki 6 bdo ni original

Yeah,me naingiza galaxy kwa magendo bei mtelemko sana,niko Soweto,mbeya ukiihitaj nicheck, Nina galaxy s4,s5,note3,note4 pia tuna Sony Xperia Z1,Z2,na Z3.Smart television zipo pia,hizi ni flat LED TV nchi40,46,50
 
Back
Top Bottom