Steve Dii
JF-Expert Member
- Jun 25, 2007
- 6,402
- 1,254
WanaJF wenzangu naomba kuwatahadharisha tu kuhusiana na baadhi ya members wapya wenye majina ya ajabu ajabu (hata yale ya kawaida), wanaojiandikisha mara moja na kutuma posts zinazo offer software za bure au bei nafuu. Tujihadhari maana software zinaweza kuwa zimepandikizwa na virus (trojan horses).
Software hizo zinaweza kabisa kufanyakazi kama kawaida, lakini ndani yake kutakuwa na kitu chenye lengo baya hususan lile la kukuibia personal details kwa ajili ya mambo ya fraud.
Ni haya tu kwa sasa. Ahsanteni.
SteveD.