Mbinu zilizotumika kutibu surua (measles) na zinaweza kutumika kutibu COVID19

Tajiri Mapesa

JF-Expert Member
Feb 26, 2020
707
699
Habarini wakuu mimi ni kijana mwenzenu sijasomea biology chuo. Lakini nimekua nikihangaika kutafuta dawa zinazo weza kuutokomeza ugonjwa wa COVID 19.

Katika utafiti nilio ufanya nimegundua kwamba ugonjwa wa COVID19 unafanana sana na ugonjwa wa Surua (Measles).

1. Katika utafiti wangu nilianza kulinganisha njia za kuenea; niligundua kwamba njia zinazo eneza ugonjwa wa Surua (Measles) zinafanana na njia zinazo eneza ugonjwa wa COVID 19.

2. Pia katika utafiti wangu nililinganisha dalili za COVID19 na dalili za Surua( measles); Katika utafiti huo niligundua dalili za ugonjwa wa COVID19 zinafanana na dalili za ugonjwa wa Surua (measles).

3. Mara baada ya kugundua huo ulinganifu; nilipata hamu ya kujua zaidi vimelea wanao eneza haya magonjwa mawili. Niligundua magonjwa yote mawili yanaenezwa kwa virusi (virus). Ijapo kuwa kirusi anaye eneza COVID19 ana jina tofauti na kirusi anaye eneza Surua (Measles).

4. Mara baada ya kujua hivyo sikuishia hapo, niliamua kufanya utafiti wa maumbo ya kikemikali (chemical structures) ya virusi wanao sababisha COVID19 na Virusi wanao sababisha Surua (measles). Niligundua maumbo yao ya kikemikali (chemicals structures) yanafanana sana.

AZP-large-1.png

Hiyo ndio chemical structure formula ya COVID19
Hitimisho: Ndipo nilipogundua kwamba mbinu zote zilizotumika kuitokomeza surua (measles)zinaweza kutumika kuitokomeza COVID19. Kwa hiyo kama kuna mtu yeyote anayo dawa inayoweza kutibu surua (measles) dawa hiyo inaweza kutibu COVID19. Pia kama kuna mtu ana dawa ya kinga (vaccine) ya surua, dawa hiyo inaweza kutumika kama kinga ya COVID19. Pia kama kuna mtu anaijua mbinu yoyote ya asili iliyo tumika kutibu surua kipindi ambacho kinga na dawa zilikuwa hazija gunduliwa basi mbinu hiyo inaweza kutumika kuitibu COVID19.

Wakuu tafadhari naombeni tulichunguze hili kwa undani, ili tupate kujua zaidi.

Ahsanteni : kama kuna mtu ana ushauri juu ya hili basi unakaribishwa kutoa ushauri.

References (marejeo)

Mbona kama SURUA anafanana na CORONA? Hebu soma hapa - JamiiForums ( Tajiri Mapesa March 25 2020)

Ugonjwa wa Surua (Measles): Chanzo, maambukizi, dalili, athari, matibabu na kinga - JamiiForums

Measles: Symptoms, Diagnosis, and Treatments

Could the MMR vaccine help protect against coronavirus complications?

Scientists Are Using The Measles Vaccine to Develop a 'Trojan Horse' Against COVID-19

https://www.businessinsider.com/french-scientists-using-measles-vaccine-against-covid-19-2020-4?amp

Scientists suggest MMR vaccine 'could protect against coronavirus - after BCG trials start'

29% Similarity Between Coronavirus and Rubella Virus Can Help MMR Vaccine Fight Off COVID-19: Study
 
Hii ndio Tanzania kila mtu anaweza kuongelea taaluma yeyote ile kwa undani bila hata kuielewa kikubwa nachoweza kukushauri tafiti yako hiyo bado haijakamilika mtafute mtu anayejua dawa na chanjo ya surua then mtafute mgonjwa wa corona mpe akipona njoo hapa na mrejesho,maana tumechoka sasa wengine tujifukize na majani yeyote hata kama ya bangi,wengine wanasema hili wengeni lile hebu unganeni mje na kitu kimoja mbadala
 
Acha wivu mkuu, kwanini usifuatilie kwanza nilicho kiandika,
 
A
Mtu unaejimwambafai kuwa msomi "Mtabe" wa kemia Mtaani kwenu a.k.a "Mkemia Mkuu" na kuponda profession za watu humu JF halafu unaleta Pumba "Heavy" eti Virus wana " Chemical Formula"

Umesikia ni kemikali hizo???

Unafwata footsteps za Mkemia mwenzio wa kujifukiza ...

Rudi kwenye Thread zako za mtoto wa kaskazini 821 KJ

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha umama mkuu, utaumbuka hebu tizama formula pale juu. Hivi kuna kiumbe kisicho na chemical formula hapa duniani? Wewe mwenye hapo umeundwa kwa water + proteans + fats + etc kila kiumbe ana formula na kiumbe yeyote akisha kufa anazi realise chemical zote ardhini zina be broken down kutengeneza product mbalimbali. Ukitaka nije nikufundishe vizuri chemistry. Uachage ukilaza unani haibisha hapa jamii forum. Nilidhani unaelewa kumbe zero
 
Punguza Povu Dozi ikuingie Vizuri
emoji23.png
emoji1787.png
emoji23.png
emoji1787.png
Dozi kidogo tu kilio hadi mtaa wa pili
emoji23.png
emoji1787.png
emoji23.png
emoji1787.png

Sasa sikiliza dogo,

By Definition,

A Chemical Formula " is a way of presenting information about the chemical proportions of atoms that constitute a particular chemical compound or molecule, using chemical elements symbols, numbers, and sometimes also other symbols, such as parentheses, dashes, brackets, commas and plus (+) and minus (−) signs."

Mifano ya Chemical Formula;

Maji- H2O
Hydrogen Peroxide H2O2

Sasa wewe Tangu lini ukaona Mtu au Virus au Kiumbe yoyote akawakilishwa na Chemical Formula????
emoji23.png
emoji1787.png
emoji23.png
emoji1787.png

Hizo unazosema sijui protini fatty acids sijui Nini ni Chemical composition za Kiumbe
emoji1787.png
emoji23.png
emoji1787.png
emoji23.png

Unaishi wapi kijana nije nikupige "Tuition" ya bure mkuuu????

Sent using Jamii Forums mobile
Yaani unanifundisha vi chemistry vya form one hivyo. Mimi huko nilisha hama hama muda mrefu sana.
Punguza Povu Dozi ikuingie Vizuri Dozi kidogo tu kilio hadi mtaa wa pili

Sasa sikiliza dogo,

By Definition,

A Chemical Formula " is a way of presenting information about the chemical proportions of atoms that constitute a particular chemical compound or molecule, using chemical elements symbols, numbers, and sometimes also other symbols, such as parentheses, dashes, brackets, commas and plus (+) and minus (−) signs."

Mifano ya Chemical Formula;

Maji- H2O
Hydrogen Peroxide H2O2

Sasa wewe Tangu lini ukaona Mtu au Virus au Kiumbe yoyote akawakilishwa na Chemical Formula????

Hizo unazosema sijui protini fatty acids sijui Nini ni Chemical composition za Kiumbe

Unaishi wapi kijana nije nikupige "Tuition" ya bure mkuuu????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Punguza Povu Dozi ikuingie Vizuri Dozi kidogo tu kilio hadi mtaa wa pili

Sasa sikiliza dogo,

By Definition,

A Chemical Formula " is a way of presenting information about the chemical proportions of atoms that constitute a particular chemical compound or molecule, using chemical elements symbols, numbers, and sometimes also other symbols, such as parentheses, dashes, brackets, commas and plus (+) and minus (−) signs."

Mifano ya Chemical Formula;

Maji- H2O
Hydrogen Peroxide H2O2

Sasa wewe Tangu lini ukaona Mtu au Virus au Kiumbe yoyote akawakilishwa na Chemical Formula????

Hizo unazosema sijui protini fatty acids sijui Nini ni Chemical composition za Kiumbe

Unaishi wapi kijana nije nikupige "Tuition" ya bure mkuuu????

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani unamfundisha mwenye chemistry chemistry, toa uchafu wako wa form one hapa. Mimi hivyo vi chemistry nilisha vihama muda sana. Na wala hilo halitazuia mimi kuitwa mkemia mkuu kwa kazi Nzuri niliyo fanya. Always prosperity is measured by results. Chemistry naijua na sio chemistry tu, pia physics naijua na sio physics tu pia hesabu naijua na sio hesabu tu na uchumi pia naujua. Sasa kuendelea kudiscuss vi formula vya form one hivyo ni kuendelea kujihaibisha.
 
Punguza Povu Dozi ikuingie Vizuri Dozi kidogo tu kilio hadi mtaa wa pili

Sasa sikiliza dogo,

By Definition,

A Chemical Formula " is a way of presenting information about the chemical proportions of atoms that constitute a particular chemical compound or molecule, using chemical elements symbols, numbers, and sometimes also other symbols, such as parentheses, dashes, brackets, commas and plus (+) and minus (−) signs."

Mifano ya Chemical Formula;

Maji- H2O
Hydrogen Peroxide H2O2

Sasa wewe Tangu lini ukaona Mtu au Virus au Kiumbe yoyote akawakilishwa na Chemical Formula????

Hizo unazosema sijui protini fatty acids sijui Nini ni Chemical composition za Kiumbe

Unaishi wapi kijana nije nikupige "Tuition" ya bure mkuuu????

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabla huja discuss na mimi chochote hakikisha unaelewa hii,
The structural formula of a chemical compound is a graphic representation of the molecular structure (determined by structural chemistry methods), showing how the atoms are possibly arranged in the real three-dimensional space. The chemical bonding within the molecule is also shown, either explicitly or implicitly.
 
anahoja asikilizwe, tusimpuuze....hata kama amekosea wataalamu tuanzie pale alipokosea....huenda tukapata kitu....tatizo la jf limejaa watoto wa st.mary imekuwa shida Sana....Max hebu tuwe tunaweka interview kwa memba anayetaka kujiunga na hi platform ya jf.
 
Punguza Povu Dozi ikuingie Vizuri Dozi kidogo tu kilio hadi mtaa wa pili

Sasa sikiliza dogo,

By Definition,

A Chemical Formula " is a way of presenting information about the chemical proportions of atoms that constitute a particular chemical compound or molecule, using chemical elements symbols, numbers, and sometimes also other symbols, such as parentheses, dashes, brackets, commas and plus (+) and minus (−) signs."

Mifano ya Chemical Formula;

Maji- H2O
Hydrogen Peroxide H2O2

Sasa wewe Tangu lini ukaona Mtu au Virus au Kiumbe yoyote akawakilishwa na Chemical Formula????

Hizo unazosema sijui protini fatty acids sijui Nini ni Chemical composition za Kiumbe

Unaishi wapi kijana nije nikupige "Tuition" ya bure mkuuu????

Sent using Jamii Forums mobile app
Mfano hii hapa ni chemical structure formula ya coal
Molecular-model-of-bituminous-coal-C-203-H-183-N-3-O-18-S-a-molecular-structural.png
 
Usikimbilie kwenye Coal ambayo ni Chemical compound, leta Chemical Formula za Viumbe kama ulivyonimwamvafai huko juu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unani haibisha sana, COVID19 chemical structure formula. Nadhani unaona Sasa wee kilaza wa chuo cha kataa. Unaziona single na double bond sasa pamoja na hizo molecules zilivyo jipanga. Hizo herufi zinamaanisha makundi makubwa ya molecules.
AZP-large-1.png
 
A

Acha umama mkuu, utaumbuka hebu tizama formula pale juu. Hivi kuna kiumbe kisicho na chemical formula hapa duniani? Wewe mwenye hapo umeundwa kwa water + proteans + fats + etc kila kiumbe ana formula na kiumbe yeyote akisha kufa anazi realise chemical zote ardhini zina be broken down kutengeneza product mbalimbali. Ukitaka nije nikufundishe vizuri chemistry. Uachage ukilaza unani haibisha hapa jamii forum. Nilidhani unaelewa kumbe zero
Kemia ilinipitia mbali kabisa. Naomba kuelimishwa kama ifuatavyo;
Je kwa kutumia chemical formula hizo hapo juu unaweza ukamtengeneza binadamu? Unaweza pia kumtengeneza huyo COVID19?
 
Sasa mmeacha mada ya msingi mnajadili mipasho ya tarabu ebu turudi kwenye mada kwanza hawa watt wa 4m1 A tuwaache
 
Kemia ilinipitia mbali kabisa. Naomba kuelimishwa kama ifuatavyo;
Je kwa kutumia chemical formula hizo hapo juu unaweza ukamtengeneza binadamu? Unaweza pia kumtengeneza huyo COVID19?
Kwa upande wa kutengeneza binadamu hapana sina uhakika. Ila nacho elewa mbegu za kiume na yai la kike ni kemikali ambazo zikiunganishwa kwenye favourable conditions kama zilizopo kwenye utirus zinaweza kutupa mwanadamu lakini pia nacho fahamu mwanasanyi anaye ielewa chemistry na biology vizuri anaweza kuformulate kemikali zinazo fanana na mbegu za kiume na yai la kike.

Kwa upande wa COVID19 anaweza kutengenezwa maabara vizuri kabisa.
 
N

Nimepata mwanga kidogo. Kwahiyo huyu COVID 19 inaweza kua ni kazi chafu ya wenye nia ovu na ulimwengu na walimwengu?!!!! Inaumiza kichwa sana kuelewa akili ya binadamu
 
Hapo kuna mawili either alitengenezwa maabara au alitokea kwa popo. Kama alitengenezwa maabara basi yawezekana alivuja bahati mbaya na kumwingia mwanadamu aliyekuwa karibu na maabara au kama alitokea kwa popo basi yawezekana kuna waliokula popo mwenye covid19
 
Back
Top Bottom