Warning: Jihadharini na Software Downloads (haswa) Kutoka Kwa Members Wageni!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Warning: Jihadharini na Software Downloads (haswa) Kutoka Kwa Members Wageni!!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Steve Dii, Sep 25, 2008.

 1. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #1
  Sep 25, 2008
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  WanaJF wenzangu naomba kuwatahadharisha tu kuhusiana na baadhi ya members wapya wenye majina ya ajabu ajabu (hata yale ya kawaida), wanaojiandikisha mara moja na kutuma posts zinazo offer software za bure au bei nafuu. Tujihadhari maana software zinaweza kuwa zimepandikizwa na virus (trojan horses).

  Software hizo zinaweza kabisa kufanyakazi kama kawaida, lakini ndani yake kutakuwa na kitu chenye lengo baya hususan lile la kukuibia personal details kwa ajili ya mambo ya fraud.

  Ni haya tu kwa sasa. Ahsanteni.

  SteveD.
   
 2. Freelancer

  Freelancer JF-Expert Member

  #2
  Sep 25, 2008
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 2,650
  Likes Received: 1,168
  Trophy Points: 280
  Are you referring to my advert. Mimi nilkuwa nimeweka tangazo la software na sikuweka hizo software hapa jambo forums. Mambo haya ndo yanayoturudisha nyuma wabongo kuharibina pasipo na mpango. Think twice the effect of your post before posting it. Iam just somebody who is starting in this business of software. Ni mzalendo na nimejitolea akili yangu kutoa solutions kwa ajili ya small businesses haza zinazohusiana na open source. Nimefanya hivyo baada ya ku reliaze kwamba watu wnapenda open source badala ya windows ila hakuna application nyingi za business ndogo ndogo. Kuna a lot of initiative zinakuja kuhusu open source kwa nchi zetu masikini. Iam sure utakuwa umesikia crackdown ya illegal software za microsoft. Many people want to move to open source. They cannot afford expensive microsoft products. iam sure umeshasikia projects kama za kilinux pale mlimani na nyinginezo. Nimejitolea kufanya hivyo lakini nimesikitishwa na post yako ukiwa kama mtanzania mwenzangu. Mtaendelea kutafuta mchawi ni nani katikati ya wahindi kumbe mchawi ni wewe mwenyewe mswahili. Niliweka post yangu sababu i cannot afford kuadvertise kwenye mahali pengine sababu ndo nianaanza hiyo biashara na sina mtaji mkubwa. Nimetumia hii site baada ya kuona inasomwa na watanzania wengi waliuoelimiaka na ambao hawajaelimika. Hii site na michuzi blog zinaweza kuwa ndo site za kitanzania ambazo zinaongoza kwa kutembelewa na watanzania wengi. Asante kwa kujaribu kuniharibia lakini huwezi kunisimamisha. Bado nipo spidi kubwa. na kuna a lot of solutions nzuri bado zipo underdevelopment. Lengo langu ni kutengeneza an industry ambayo nitawapa ajira vijana wenzangu wa kitanzania. Iam very dissapointed by your negative perception. Ungeuliza kwanza kabla ya kupost. Sio vizuri ndugu yangu. Iam a new member here. Huwa na visit kama guest. I'am not interested with politics. Na ukiangalia toka nimeingia hapa sijachangia kweingine zaidi ya hapa. I'am fascinated by technological solutions that can bring changes ot our lives in the way we do business, the way we do things, the way we exchange information and etc.
   
 3. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #3
  Sep 25, 2008
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 160
  Freelancer,

  Can you come down buddy?

  SteveD hawakilishi JF Administration, ni mwanachama kama wewe! Haina haja ya kuhamaki kiwango hicho.

  Kuna mtu kafuta topic yako uloanzisha ya warez? I hope none.

  Kuna mtu kakuzuia kuandika hapa JF bila sababu ya msingi? I guess none too.

  Hivyo basi; nakushauri iache yenyewe! Ila kama kuna warez na vitu related na mambo ya kunyavua basi peleka lile eneo la wanachama tu lina eneo husika kwa mambo hayo.

  Binafsi huwa na-risk pc moja hapa ofisini kwangu kujaribu links zote zinazowekwa humu. Nikikuta ni balaa huwa naziondoa haraka iwezekanavyo. Nikikuta ni matangazo huwa nazihamishia kwenye eneo la matangazo.

  Hivyo basi, nakushauri usihamaki, tahadhari ni nzuri kuliko kinga! Lakini, JF si blog, ni tovuti tofauti na Michuzi Blog... Think of it...
   
 4. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #4
  Sep 25, 2008
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Pole sana kwa kughafirika. La hasha, sikuku-refer wewe wakati naandika hiyo comment juu. Ni tahadhari niliyoweka kwa nia njema na nilishaiweka hapa mwaka jana baada ya watu wageni kuvamia na kutoa offers za software "mamluki."

  Katika hiyo comment yako ya 'think twice'; napenda kukuhakikishia tu kuwa nimefikiria may be zaidi ya mara mbili kabla ya kupost. Nina imani kuwa baada ya muda hapa jamvini na kama utakuwa umeweza kusoma post zangu, utanielewa madhumuni yangu.

  Kuhusu umakini wako katika IT, nimeuona ndugu yangu. Na nimefurahishwa sana na explanation yako ya "the grid" na TCP/IP kama ulivyoitoa kwenye ile thread, simply outstanding.

  Ahsante kwa maoni yako, natumaini umenielewa.

  Ni mimi mbongo nisiyependa kuharibia wenzangu, bali kuwatahadharisha. A.K.A. SteveD.
   
 5. giraffe

  giraffe JF-Expert Member

  #5
  Oct 16, 2010
  Joined: Jun 6, 2010
  Messages: 504
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  Hahaha conflict of interest
   
 6. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #6
  Oct 16, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,830
  Likes Received: 10,142
  Trophy Points: 280
  Usiwe mkali mpwa, amesema tu tujihadhari, kama uliweka na hukua na nia mbaya basi mambo yanaisha tunaendelea na kampeni ya kuwasakama mafisadi hadi waondoke
   
 7. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #7
  Oct 16, 2010
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,655
  Likes Received: 2,897
  Trophy Points: 280
  Afadhali umeweka wazi hilo. Tunaomba uchunguze pia kama ana password ya admin, kwani inawezekana hawakilishi JF Admin lakini akawa anapata privilege zote za admin akilogin. Kama anazo basi mnyang'anyeni. Ninaweka kauli hii katika kumbukumbu zangu ili siku nyingine akitoa tamko la kiadmin admin nimwambie wazi.
   
Loading...