Warning!!!!funga vioo ukiwa kwenye mataa ya tazara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Warning!!!!funga vioo ukiwa kwenye mataa ya tazara

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Jul 1, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jul 1, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,439
  Likes Received: 5,691
  Trophy Points: 280
  Wapendwa
  polen na mihangaiko ya kila siku...kwa kweli nimeona tuabarishne kidogo\kuna haya mataa ya tazara kwa kweli yamegeuka balaa la wauwaj...mabwana hawa wanafanya wanavyotaka na wakikamatwa
  wanaachiwa pale kituoni buguruni kwa hali isiojulikana\
  Majuzi saa nne nanusu nilikuwa nimesimama kwenye mataa mbele kuna pikipiki,..nikamwona kijana kapita mbele yangu gafla akamvaa mwenye pikipiki akampiga na panga kwenye mgongo///atukuvumilia bahati tulikuwa 5 tukashuka...kweli kifo akina adabu uweizi amini kijana yule wa kizungu ambae alikuwa na pikipiki aliachia begi akarusha pikipiki huku akikimbia kama amepigwa bomu la afghanistan..ndipo tukamfwata kwa nyuma akaenda kusimama mbele kabisa..tukamsaidia akaenda hospital kutibiwa alikuwa ni mmoja wa marubani wa ndege....mkuu wa kituo huu uchafu ukwa nini inakuwa kimya na wanalindwa na nani hawa madogo???ukiwa kwenye gari jitahd funga vioo hawa wanaharamu wanakujaga na kila dizaini uwe kwenye gari,pikipiki
  AFANDE KOVA TUNAOMBA UDLI NAO KITUO CHA BUGURUNI WAMESHINDWA KAZI
   
 2. vivian

  vivian JF-Expert Member

  #2
  Jul 1, 2010
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 1,704
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  So sad kwakweli. Mkuu ilikua ni saa nne ya asubuhi au usiku?

  kama ni mchana we are done!!

  Kama ni usiku naomba wanajamii mjiepushe na safari za piki piki usiku, Sio tu majambazi but tuktuk is very Dangerous at night as you will be very

  valnurable to accidents too

  Otherwise nashukuru sana Samson kwa tahadhari hii!!
   
 3. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #3
  Jul 1, 2010
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Mkuu, tunashukuru kwa tahadhari. Lakini next time please tumia muda wako kidogo tu kuandaa kitu kitakachosomeka na kueleweka kirahisi kwa wasomaji. Watanzania ni jambo endelevu kujizoesha kutumia muda wetu maridhawa katika kuandaa kile ambacho tunataka jamii ikione au kukisikia, haswa katika kutoa taarifa za matukio.
   
 4. AK-47

  AK-47 JF-Expert Member

  #4
  Jul 1, 2010
  Joined: Nov 12, 2009
  Messages: 1,381
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Unafikiri Kova atakusikia yupo busy na uchunguzi wa wimbo wa Mr II wa I Wanna Kill Right Now....nyie pigweni tu mapanga kwani nani anawajua ndani ya CCM ?.
   
 5. M

  MJM JF-Expert Member

  #5
  Jul 1, 2010
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 461
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Mbona sioni link na suala la watuhumiwa kuachiwa huru katika kituo cha Buguruni?

  Hivi sasa unapofika makutano ya barabara au katika foleni ni muhimu sana kuangalia vioo na milango ya magari yetu.

  Pia kuna jamaa juzi alikuwa kaegesha gari sehemu fulani kuna kitu kilipakwa kwenye kioo kikaachia kimya kimya bila hata watu kusikia japo walikuwa jirani na gari hilo wezi wakafanikiwa kupora vitu ndani.

  Kuna suala la jamaa wanaojirusha barabarani ukichuna brake tu kuepusha ajali unaporwa nk. nk.
   
 6. RRONDO

  RRONDO JF-Expert Member

  #6
  Jul 1, 2010
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 25,823
  Likes Received: 20,813
  Trophy Points: 280
  duh hii balaa sasa......hii ilikuwa asubuhi au usiku??hao vibaka wanajua watu wanatoka/wanaenda airport
   
Loading...