Warning: Don't try to talk to me.........

NIlishindwa kutumia hiyo kitu nilipokua shuleni ndio nijifunze leo?

Hiyo criticality nanunua wapi? au ni paji la kuzaliwa tu?
kama ni ya kuzaliwa, kama ni vya kusoma, bora niache tu.
Mi siwezi kwenda mbali na chit chat au MMU jamani. :disapointed:
Mtaka cha uvunguni sharti ainame so itabidi ujifunze, pili nitakufundisha katika moja ya strategy za kukufanya u fall, tatu hata ukitaka chit chat au MMU darasa linaweza endelea tu
 
Mi natyaka ujaribu kwangu, make me fall in love
then dump me and break my heart. Nitakua nimesha jifunza
hapo nasimama, nakunguta vumbi, naenda sasa ku-apply
Yale yote nilio jifunza kwako, najaribu kwa muuza pet
tuone kama it will work. when do we start (wewe na mimi)?
 
I love where this is going..
Mwali darling i got ur back incase he manages to break ur heart..!
 
We start on three........One...........Two............and Threee here we go...........
Ila naomba usije ukanifanya na mi nikafall we unatakiwa upokee tu usirespond against
 
Mh we binti we her back how? Taking her place or find somebody else for her?
 
I love where this is going..
Mwali darling i got ur back incase he manages to break ur heart..!
Thank you Hun, asante kwa kunipa uhakika huo.
I will need somebody to help me stand up. lol
Ula naona na mwenzangu nae anaingia contract na wasiwasi:

We start on three........One...........Two............and Threee here we go...........
Ila naomba usije ukanifanya na mi nikafall we unatakiwa upokee tu usirespond against
Haya, ndio tumeanza hivi. nimekufungia PM
Najaribu kuweka mazingira magumu kama nilivo wekewa huko
Game yote ni hapa chit chat na MMU tuu, hadi nianguke. lolest
 
Thank you Hun, asante kwa kunipa uhakika huo.
I will need somebody to help me stand up. lol
Ula naona na mwenzangu nae anaingia contract na wasiwasi:

Haya, ndio tumeanza hivi. nimekufungia PM
Najaribu kuweka mazingira magumu kama nilivo wekewa huko
Game yote ni hapa chit chat na MMU tuu, hadi nianguke. lolest
Hapana bhana thats not fair we have to play on fair grounds no off sides no hand balls hiyo umefanya offside bhana
 
Offside gani tena? kwa kusema game ichezewe hapa hapa?
 
Hapana kwa kutumia njia mbadala ya wizi kufunga huku ukimchapa viatu mpinzani wako ili asifunge
 
Back
Top Bottom