Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,987
- 24,226
ha ha ha , bora kusema ukweli hasa kama hauumizi.
Ndo maana nlikupendaga zamani, u r so honest...
Ndo maana nlikupendaga zamani, u r so honest...
Yesu wangu! Akiona hapa akikukamata anakunyonyoa nywele asee
Huyo hatuhusiani zaidi ya kuchangia nyumba tu.Si yule room mate aka bed mate....
I was actually referring to muuza Pet.mmh, kuna wengine waweza kuwa nazo hata 5 lol
huyu ana jeuri ya kufunga PM kweli? Sidhani labda pet, jeuri hiyo anayo.
Tena kama sio personal kihivyo ndo namwita kwa raha zangu.
Mi nina siku nyingi kweli sija-fall in love.
Nahisi kama bet fulani hivi, I want to try. :A S 39:
Ingia kwenye profile ya mdau mamaTulli kisha soma signature yake.Refer to the heading above,
I would like to wrn you that if you try to talk to me you will surely fall in love with me and when you fall i will definitely break your heart into pieces.............
Imetolewa na utawala
Teh Teh Teh Kongosho kasema ni "Toothless cant even kill a fly" Mi nikasema sitii neno hapo maana nsijeingizwa mkumboni miyeHuyo hatuhusiani zaidi ya kuchangia nyumba tu.
Ni housemate, but tunaitana roommate (sijui why)
I was actually referring to muuza Pet.
Niliandipa PM ndefuuuu, nikianza:
Dear muuza Pet, nilitaka tu kukwambia kua
nilifurahi sana na mchango wako
katika ile thread ya XXX uliposema XXX etc.
Nilipotuma nikaona ina bounce:
Sorry, Muuza Pet cannot receive your PM at the moment
Please get smarter and try again later. :lol: :lol: :lol:
Teh Teh Teh Kongosho kasema ni "Toothless cant even kill a fly" Mi nikasema sitii neno hapo maana nsijeingizwa mkumboni miye
Halafu hiyo PM uliyotuma haikuwa ya kucongratulate ndio maana ilidunda............. just nanihiiiii.......tu
I was actually referring to muuza Pet.
Niliandipa PM ndefuuuu, nikianza:
Dear muuza Pet, nilitaka tu kukwambia kua
nilifurahi sana na mchango wako
katika ile thread ya XXX uliposema XXX etc.
Nilipotuma nikaona ina bounce:
Sorry, Muuza Pet cannot receive your PM at the moment
Please get smarter and try again later. :lol: :lol: :lol:
Hahahahaaa sa unataka kuwa kama yule mheshimiwa fulani leo ukimwambia ulisema maneno yale atakataa kabisa atakwambia ulete ushahidi, i was just "Nanukuu"Unaniwekea maneno mdomoni jamani, bora hata uniwekee mikononi.
Huyo hata kuandoka pongezi lazima uwe unajua kalkulas, si unaona kule si hasa anayoandikaga ma kalkulas ya kisiasa?
Afu anataka u-hit point straight
Mie siku hizi tunachekeana weeee
Kongosho Maidia nifundishe hizo hesabu za kalkulas,Huyo hata kuandoka pongezi lazima uwe unajua kalkulas, si unaona kule si hasa anayoandikaga ma kalkulas ya kisiasa?
Afu anataka u-hit point straight
Mie siku hizi tunachekeana weeee
Tafuta kalikuleta ya sayantifiki sijui ndo wanaiita hivyo au kitabu cha four figure kitakusaidiaKongosho Maidia nifundishe hizo hesabu za kalkulas,
Na mimi nikiongea ni hit herufi-spot la kijana yule.
Anti yangu alinifunza maarifa mengi ila kalkulas bado
Please, please, please... we ulifanyaje mchekeane? lol
Kongosho Maidia nifundishe hizo hesabu za kalkulas,
Na mimi nikiongea ni hit herufi-spot la kijana yule.
Anti yangu alinifunza maarifa mengi ila kalkulas bado
Please, please, please... we ulifanyaje mchekeane? lol
vampire!
refer to the heading above,
i would like to wrn you that if you try to talk to me you will surely fall in love with me and when you fall i will definitely break your heart into pieces.............
imetolewa na utawala
NIlishindwa kutumia hiyo kitu nilipokua shuleni ndio nijifunze leo?Tafuta kalikuleta ya sayantifiki sijui ndo wanaiita hivyo au kitabu cha four figure kitakusaidia
Hiyo criticality nanunua wapi? au ni paji la kuzaliwa tu?He he he, nenda si hasa afu uwe critical kwenye analysis lol.
Mie huoni siku hizi niko huko napita pita.