Warioba: Mimi na Salim urais basi

Warioba: Mimi na Salim urais basi

Huyu msomi kapost kule MMU eti demu wake ana uchi mkubwa na yeye ana kibamia! Anaomba ushauri! Hawa ndo wasomi wetu eti!

Hee kumbe ndo huyu -----!!!! kaulizwa maswali madogo tu lameshindwa kujibu hoja sasa anakuja kuchokonoa huku lazima aishie kutukana. kaniharinia siku sana huyu thebigbobo aisee
 
Last edited by a moderator:
Mimi ni msomi tena sana katika maswala ya science. Nimebahatika kupata Kazi nzuri kiasi kuniwezesha kuwa na DSTV. Vipindi ni vingi ila napenda habari za nje ya nchi. Nimefuatilia sana katiba ya kenya pia nchi mbalimbali, muungano wetu ni mzuri sana na unamaadui wengi ila serikali3 ni kuvunja muungano. Je waryoba ana hila gani na hii nchi?? Rasimu ya katiba ilapaswa kubadilishwa kuendana na mahitaji ya kisiasa ya sasa waryoba alitaka wabunge wafanyeje?

Najua CCM haijawahi kumpitisha waziri Mkuu yoyote Kugombea urais. Je atagombea upinzani??

Mkuu, hapa kwa maoni yangu naona kuna mambo 3 yanayoweza kuwa yanamsumbua Warioba.
1.Inawezekana kabisa anaweza kuwa anatumika na mataifa ya magharibi (inluding CIA) kufanya kile alichofanya aliyekuwa rais wa Urusi iliyosambaratishwa, (Mikael Gorbachouv) ambaye alilipwa hela nyingi kuvunga muungano wa Urusi, basi inawezekana naye kalipwa kufanya hivyo.
2.Hasira za kuachwa nje ya game kwa muda mrefu,bila kuwa ndani ya system.
3.Huenda Chadema wanataka kumtumia kama mgombea wao.
Hayo ni mawazo yangu tu.
 
Mimi simsomi kabisa huyu babu wangu
 
Hee kumbe ndo huyu -----!!!! kaulizwa maswali madogo tu lameshindwa kujibu hoja sasa anakuja kuchokonoa huku lazima aishie kutukana. kaniharinia siku sana huyu thebigbobo aisee

Ndo huyu anajiita msomi wa kiwango cha juu tena sayansi huku anashindwa kumridhisha demu wake... Yaani wasomi wa FISIEM hawa bure kabisa!
Cc tumboo
 
Last edited by a moderator:
Sina uhakika kama jaji warioba anataka kugombea irais but anachoendelea kukifanya kwa sasa nahisi anapotoka kwani sasa n kama anashindana na serikali iliyopo madarakan kwa kutumia media,

Washauri wake wamwambie atulie kwani kazi yake imeshaisha otherwise awe na ajenda nyingine ya siri inayotumia mgongo wa katiba....
 
Ndo huyu anajiita msomi wa kiwango cha juu tena sayansi huku anashindwa kumridhisha demu wake... Yaani wasomi wa FISIEM hawa bure kabisa!
Cc tumboo

Kuna watu wanajua naongea nini!!
 
Last edited by a moderator:
panya hata avae nguo ni panya tu ataendelea kuiba kwa kuwa kazi yake ni kuiba
wewe ni lumumba book 7 ndio maana umeanza kwa kujisifia hapa
 
Naona uzi wako wa MMU ambao umeshindwa kumridhisha demu kwa kibamia chako na kuchepukia kwa housegirl umefutwa!! Hebu kajipange upya mzee wa Dstv!
Cc tumboo

Nlishamwambia kua utafutwa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom