Warioba: CCM ijiandae kuwa chama cha Upinzani

Ni kweli subira yavuta heri. Nina imani kama watu wakihamasishwa kujiandikisha, kupiga kura na kulinda kura na UKAWA ikabaki pamoja tutashinda kwa kishindo
 
Kwa hali ya watanzania hivi sasa ya uelewa juu ya Serikali au kiongozi gani tumtakaye ni vigumu sana kwa CCM kupata ushindi 2015.
Tahadhari kwa ccm mtaji wa ujinga mliokuwa mkiutumia kujipatia kura kwa wananchi umekwisha..ccm jiandaeni kukabidhi ikulu kwa UKAWA bila ubishi,
mkigoma tunafanya@ a.k.a Migombani.
 
kwa hali ya watanzania hivi sasa ya uelewa juu ya serikali au kiongozi gani tumtakaye ni vigumu sana kwa ccm kupata ushindi 2015.
Tahadhari kwa ccm mtaji wa ujinga mliokuwa mkiutumia kujipatia kura kwa wananchi umekwisha..ccm jiandaeni kukabidhi ikulu kwa ukawa bila ubishi,
mkigoma tunafanya@ a.k.a magogoni.

migombani
 
Wakati anaohijiwa na mwandishi wa TBC1 Asumpta Masoi, Jaji Joseph Warioba alisema kuwa kama CCM haitamaliza matatizo yake ya ndani basi ijiandae kukabiliana na hali ngumu huko mbele.

Amesema kuwa, kwa kuwa tumeukubali mfumo wa vyama vingi na pia kwa kuwa watu wengine wameanza kuichoka CCM na wapo pia wanaotaka mabadiliko, CCM itegemee kuwa mabadiliko yanatatokea tu na yataiweka kando. Na kwamba wasipoiangalia upya dira na itikadi za chama basi itakuwa vingumu kupona!

Kwa jinsi ninavyowajua CCM, watakurupuka kumtukana Warioba badala ya kuangalia kile alichokisema, ingawa hakusema jambo lolote jipya!

Ni kweli ila CCM ni lazima watoke kwa dua mbaya na kwa kura zetu pia.

Hata wakija mitume, tuta waomba pasiwe na mjadala wala huruma kwa hawa MABEDUI.
 
Does your contention still hold? This was sometime 2011, what about 2014/15. Upepo unavyovuma naomba tathimini yako
 
Mimi sio mfuasi wa CCM lakini nasema kuitoa CCM madarakani ni ngumu sana. Sisi wananchi bado tuko waoga,tunataka mabadiliko binafsi na sio kwa nchi nzima,hatujachoka bado na ukandamizaji wa ccm na viongozi wao nk.

Umaskini na hali ngumu ya maisha ni project ya hawa ccm kuwathohofisha watz na kuwafanya wasiwe na akili.

Kumbuka! Wakifanya kila kitu vyema hawatawez kudumu madarakani. Marekani imeendelea lakin bado hata republican or democratic wanatoana na sio wanataka ila Wananchi wanao uwezo wa kupembua mambo tofauti na sisi. Yote haya ni matokeo ya sera za wachache kututawala.
 
Warioba ni mtu mzima anajua achokiongea.
 
Kwa hali ya watanzania hivi sasa ya uelewa juu ya Serikali au kiongozi gani tumtakaye ni vigumu sana kwa CCM kupata ushindi 2015.
Tahadhari kwa ccm mtaji wa ujinga mliokuwa mkiutumia kujipatia kura kwa wananchi umekwisha..ccm jiandaeni kukabidhi ikulu kwa UKAWA bila ubishi,
mkigoma tunafanya@ a.k.a Migombani.

Usijidanganye na ya migombani. Nayo yana ngazi labda hadi udiwani tu. Mkiyaleta kwenye ngazi ya ubunge na uraisi hatasalia mtu mwenye kupumua na hayo hayatakuwa machafuko bali vita kamili. Labda kama mtakuwa na sapoti ya jeshi ingawa uwezekano huo siuoni na huenda hautakuja kuwepo. Mtafakariiiii.
 
Mimi sio mfuasi wa CCM lakini nasema kuitoa CCM madarakani ni ngumu sana. Sisi wananchi bado tuko waoga,tunataka mabadiliko binafsi na sio kwa nchi nzima,hatujachoka bado na ukandamizaji wa ccm na viongozi wao nk.

Umaskini na hali ngumu ya maisha ni project ya hawa ccm kuwathohofisha watz na kuwafanya wasiwe na akili.

Kumbuka! Wakifanya kila kitu vyema hawatawez kudumu madarakani. Marekani imeendelea lakin bado hata republican or democratic wanatoana na sio wanataka ila Wananchi wanao uwezo wa kupembua mambo tofauti na sisi. Yote haya ni matokeo ya sera za wachache kututawala.

kwahiyooo???????
ndo unatudhihirishia uoga wako etiee???!!! mfyuuuuuuuuuuu!!!
 
Usijidanganye na ya migombani. Nayo yana ngazi labda hadi udiwani tu. Mkiyaleta kwenye ngazi ya ubunge na uraisi hatasalia mtu mwenye kupumua na hayo hayatakuwa machafuko bali vita kamili. Labda kama mtakuwa na sapoti ya jeshi ingawa uwezekano huo siuoni na huenda hautakuja kuwepo. Mtafakariiiii.

wala hueleweki... uanenda mbelee unasukumwaaa!!! au unarudi nyuma!!!
 
Does your contention still hold? This was sometime 2011, what about 2014/15. Upepo unavyovuma naomba tathimini yako

Please read my signature. Its older than the thread but it tells it all....!!

Ni kweli ila CCM ni lazima watoke kwa dua mbaya na kwa kura zetu pia.

Hata wakija mitume, tuta waomba pasiwe na mjadala wala huruma kwa hawa MABEDUI.

Ila siyo kazi rahisi....CCM wataanchia nchi endapo wananchi waamua kuwaweka kando kwa kutumia kila aina ya nyenzo. Kura tu haziwezi kutosha....!

Warioba ni mtu mzima anajua achokiongea.

Siyo suala la utu uzima wa Warioba. Kila mtu anayeweza kuiruhusu akili yake kuangalia hali ya mambo bila makengeza au nguvu za maslahi mgongoni mwake basi ataona kila kitu ambacho tumekuwa tukikisema!
 
Hivi ni nani ndani ya ccm anaweza kusimama na kusema yeye ni "vanguard" wa mapinduzi? nani yuko tayari kufa kwa ajili ya ccm? wako wapi wanamapinduzi ndani ya ccm? wengi wamejawa na uroho, ulafi na maslahi binafsi na hii ndiyo sababu ya kuanguka kwa ccm.
 
Ni kweli ila CCM ni lazima watoke kwa dua mbaya na kwa kura zetu pia.

Hata wakija mitume, tuta waomba pasiwe na mjadala wala huruma kwa hawa MABEDUI.

bedui kampuni ya mabasi iko kahama,,!!kumbe bedui ina maana mbaya..!!kumbe ndio maana yale mabasi yachoka sana mkuu..!!
 
Naomba kutoa mawazo yangu hapa ktk jukwaa hili!,Mimi binafsi hakuna siku nitakayokuwa na raha ka siku CCM Kitakuwa chama cha upinzani nchini!
Kitakacho nifurahisha ni kuitwa jina hambalo hawajalizoea!
Pili watakavyokuwa wanyonge na kutoisha mahakamani!
Tatu watakapo pokonywa viwanja walivyovichukua kwajimilikisha wakati ilikuwa ni mali yaumma wakati wa chama kimoja!
Nne viongozi wake watakapo ambiwa warudishe nyumba za serikali!
Tano ni ukata utaokikabili chama hicho!
Sita wabunge wake waliopo kwa ajili ya matumbo yao watakavyo kihama nakubaki kikiwa kama yatima..

Mii nina hamu ya kumuona SAMWELI 6 atakavokuwa!
 
Back
Top Bottom