Warioba ashitakiwe

Warioba ashitakiwe

Upuuzi kama huu ndiyo unaoifanya JF ionekane kijiwe cha wajinga !Mtu mzima anakurupuka kama vile mlevi.

MODS;uhuru wa mawazo usifike mahali ukakosa heshima.

Tabia hii chafu na ya kijinga ya kuwa dhalilisha watu waliopewa dhamana na wananchi na mbaya zaidi mtu moja kushambuliwa na wajinga wasiofikiri sawa haikubaliki kwenye jamii .Ni vizuri Jf ikalinda heshima na Ustaarabu kwenye Michango ya Members.
mkuu usiumize kichwa,huyu dogo atakua wa 96 huko,atakuchanganya bure!
 
Huyu mzee taifa lilimuamini matokeo yake ameisaliti nchi na kuamua kuvunja muungano kwa njia za panya, pale anaposema kwenye katiba eti serikali ya jamhuri (TANZANIA) itakuwa na mamlaka na vyombo vya usalama tu na itajiendesha kupitia michango ya wanachama yaani Tanganyika na Zanzibar. kuweka mawazo mfu eti itaruhusiwa kukopa kutoka mashirika mbalimbali wakati haina sifa zaidi ya kumiliki vifaru na ndege za kivita. wanadai ni mapendekezo ya wananchi wakati najua tukianzia hapa members wa jamiiforum kama sio unafiki waliohojiwa na tume ya Warioba hawazidi asilimia 10, leo hii anaongelea mawazo ya jamaa zake na kuwalisha watanzania uongo! tarafa yangu ya kimwani hukufika kabisa!!!!!:nod: Sasa huyu mzee na wapambe wake kwa nini wasishitakiwe kwa uhaini wa kutaka kupindua nchi na kuvunja muungano kupitia upotoshaji huu?
TANZANIA NCHI YANGU NAKUPENDA POPOTE NTAKUTETEA WAZIWAZI BILA KUPEPESA MACHO WALA KIJIFICHA.

kama sijakosea unaweza ukawa na tatizo moja kitaalam tunaita BRAIN ATROPHY(is a condition in which brain cells are lost or connections in the brain are damaged)
 
Nina mashaka na mleta uzi, Warioba katumwa kukusany maoni na wenzio unayaona siyo halisi sasa tuvunje bunge tukusanye upya. Tuite wakenya waganda wanyarwanda tupate wajumbe waje wakusanye upya maoni kama hutaumbuka. Ubaya wenu mwisho wake aibu
 
Rais kachochea sana haya mambo alaumiwe yeye
 
Attachments

  • IMG_5007661743851.jpeg
    IMG_5007661743851.jpeg
    18.6 KB · Views: 68
Huyu mzee taifa lilimuamini matokeo yake ameisaliti nchi na kuamua kuvunja muungano kwa njia za panya, pale anaposema kwenye katiba eti serikali ya jamhuri (TANZANIA) itakuwa na mamlaka na vyombo vya usalama tu na itajiendesha kupitia michango ya wanachama yaani Tanganyika na Zanzibar. kuweka mawazo mfu eti itaruhusiwa kukopa kutoka mashirika mbalimbali wakati haina sifa zaidi ya kumiliki vifaru na ndege za kivita. wanadai ni mapendekezo ya wananchi wakati najua tukianzia hapa members wa jamiiforum kama sio unafiki waliohojiwa na tume ya Warioba hawazidi asilimia 10, leo hii anaongelea mawazo ya jamaa zake na kuwalisha watanzania uongo! tarafa yangu ya kimwani hukufika kabisa!!!!!:nod: Sasa huyu mzee na wapambe wake kwa nini wasishitakiwe kwa uhaini wa kutaka kupindua nchi na kuvunja muungano kupitia upotoshaji huu?
TANZANIA NCHI YANGU NAKUPENDA POPOTE NTAKUTETEA WAZIWAZI BILA KUPEPESA MACHO WALA KIJIFICHA.

Ndugu waziwazi ... nadhani wasiwasi wako unaonyeshwa wazi kwenye hoja yako unayoitoa. Sidhani kama Tume ya Mabadiliko ya Katiba imefanya kosa lolote linalotambuliwa kisheria. Wao waliteuliwa kukusanya maoni ya wananchi juu ya swala la katiba na jinsi gani watanzania wanafikiri katiba yao mpya iweje. Lilotokea na ambalo nakuunga mkono, ni tafsiri Tume iliyokuja nayo juu ya, kwa mfano, muundo wa serikali. Kwanza hawakuhoji wananchi wa kutosha. Kisayansi data yao ni "highly questionable". The sample size (N) ni ndogo mno ambayo haitoshi kutoa tafsiri kwamba maoni hayo yanawakilisha maoni ya wananchi wote million 45 wa Tanzania. Pili, hamna sehemu yeyote katika report yao wanapotoa mitazamo tofauti ya ile ya muundo wa serikali tatu, au moja au mbili. Tume ilikuwa na mapungufu mengi, sijui sasa ni swala la "competency" au sijui nini :biggrin:
 
Anayepaswa kushitakiwa ni JK, siyo Warioba! JK anapaswa kushitakiwa kwa kufuja fedha za walalahoi kwa kuanzisha mchakato wa Katiba, huku akiwa hana nia ya kusikiliza maoni ya wananchi. Madaktari wakilalamikia mishahara, wanasema hakuna fedha, nchi ni maskini, na kupanga kumuua Ulimboka, lakini yapo matrilioni ya kuchezea katika mchakato huu wa kiini macho!!!!!!!!! JK ndiye aliyewapindua wananchi kwa kudharau maoni yao.
 
Naona mleta mada umetekwa na hutuba ya JK ya kuzindua bunge maalum la katiba. Uvunjwaji wa maksudi ulifanywa na mzee Sitta kwa maelekezo ya CCM ulikusudiwa kuwa na athari ambao sasa ni dhahiri kama uzi unavyojieleza. Uvunjwaji wa kanuni ulikuwa ni kwa mslahi ya kisiasa kwa CCM; Kuhafifisha umakini wa kazi tume ya jaji Warioba.

Mkuu wa nchi anapotakiwa kuzindua bunge maalum, badala yake akatumia muda mrefu zaidi kutoa maoni yake binafsi, maana yake ni kwamba alizindua bunge kama mwenyekiti wa CCM na si kama Raisi wa JMT.

CCM wameliteka bunge na hilo ndo lilikuwa lengo la uvunjwaji wa kanuni.

Mungu ibariki Tanzania
 
Upuuzi kama huu ndiyo unaoifanya JF ionekane kijiwe cha wajinga !Mtu mzima anakurupuka kama vile mlevi.

MODS;uhuru wa mawazo usifike mahali ukakosa heshima.

Tabia hii chafu na ya kijinga ya kuwa dhalilisha watu waliopewa dhamana na wananchi na mbaya zaidi mtu moja kushambuliwa na wajinga wasiofikiri sawa haikubaliki kwenye jamii .Ni vizuri Jf ikalinda heshima na Ustaarabu kwenye Michango ya Members.

ukiimanisha mambo aliyoyafanya warioba na kundi lake kisha kunadanganya eti maoni ya watanzania ndio ustaarabu na heshima.
 
Nani kakutuma kuleta ujinga huu hapa?..

Huyu mzee taifa lilimuamini matokeo yake ameisaliti nchi na kuamua kuvunja muungano kwa njia za panya, pale anaposema kwenye katiba eti serikali ya jamhuri (TANZANIA) itakuwa na mamlaka na vyombo vya usalama tu na itajiendesha kupitia michango ya wanachama yaani Tanganyika na Zanzibar. kuweka mawazo mfu eti itaruhusiwa kukopa kutoka mashirika mbalimbali wakati haina sifa zaidi ya kumiliki vifaru na ndege za kivita. wanadai ni mapendekezo ya wananchi wakati najua tukianzia hapa members wa jamiiforum kama sio unafiki waliohojiwa na tume ya Warioba hawazidi asilimia 10, leo hii anaongelea mawazo ya jamaa zake na kuwalisha watanzania uongo! tarafa yangu ya kimwani hukufika kabisa!!!!!:nod: Sasa huyu mzee na wapambe wake kwa nini wasishitakiwe kwa uhaini wa kutaka kupindua nchi na kuvunja muungano kupitia upotoshaji huu?
TANZANIA NCHI YANGU NAKUPENDA POPOTE NTAKUTETEA WAZIWAZI BILA KUPEPESA MACHO WALA KIJIFICHA.
 
Huyu mzee taifa lilimuamini matokeo yake ameisaliti nchi na kuamua kuvunja muungano kwa njia za panya, pale anaposema kwenye katiba eti serikali ya jamhuri (TANZANIA) itakuwa na mamlaka na vyombo vya usalama tu na itajiendesha kupitia michango ya wanachama yaani Tanganyika na Zanzibar. kuweka mawazo mfu eti itaruhusiwa kukopa kutoka mashirika mbalimbali wakati haina sifa zaidi ya kumiliki vifaru na ndege za kivita. wanadai ni mapendekezo ya wananchi wakati najua tukianzia hapa members wa jamiiforum kama sio unafiki waliohojiwa na tume ya Warioba hawazidi asilimia 10, leo hii anaongelea mawazo ya jamaa zake na kuwalisha watanzania uongo! tarafa yangu ya kimwani hukufika kabisa!!!!!:nod: Sasa huyu mzee na wapambe wake kwa nini wasishitakiwe kwa uhaini wa kutaka kupindua nchi na kuvunja muungano kupitia upotoshaji huu?
TANZANIA NCHI YANGU NAKUPENDA POPOTE NTAKUTETEA WAZIWAZI BILA KUPEPESA MACHO WALA KIJIFICHA.
uelewa wako ni mdogo sana.
 
Ni vizuri kuheshimu maoni ya wananchi. CCM ni vyema kuelewa kuwa katiba ni zaidi ya chama chao.
 
wewe utakuwa umelogwa au huenda si mtanzania mtu wa kigali wewe. sisi Watanzanyika tuko timamu na sio wajinga. ujinga upo nchini kwenu.

Ukija Mkutano au mtihani wa Wapumbavu Tanzania hii Wewe Waziwazi utakuwa namba moja ! Wewe ni Mjinga wa wajinga tena Rofa usiye na Mfano Fikra Mfirisi huna upeo wewe Hii Mifano yako yote uliyoandika ni ya Kijuha tu . Tambua Yale ni maoni ya watanzani ni maoni ya Mtu mmoja Kama ni kushitakiwa Washitakiwe Wazazi wako kwa Kuzaa kilazaa ....
 
Huyu mzee taifa lilimuamini matokeo yake ameisaliti nchi na kuamua kuvunja muungano kwa njia za panya, pale anaposema kwenye katiba eti serikali ya jamhuri (TANZANIA) itakuwa na mamlaka na vyombo vya usalama tu na itajiendesha kupitia michango ya wanachama yaani Tanganyika na Zanzibar. kuweka mawazo mfu eti itaruhusiwa kukopa kutoka mashirika mbalimbali wakati haina sifa zaidi ya kumiliki vifaru na ndege za kivita. wanadai ni mapendekezo ya wananchi wakati najua tukianzia hapa members wa jamiiforum kama sio unafiki waliohojiwa na tume ya Warioba hawazidi asilimia 10, leo hii anaongelea mawazo ya jamaa zake na kuwalisha watanzania uongo! tarafa yangu ya kimwani hukufika kabisa!!!!!:nod: Sasa huyu mzee na wapambe wake kwa nini wasishitakiwe kwa uhaini wa kutaka kupindua nchi na kuvunja muungano kupitia upotoshaji huu?
TANZANIA NCHI YANGU NAKUPENDA POPOTE NTAKUTETEA WAZIWAZI BILA KUPEPESA MACHO WALA KIJIFICHA.

"Kuna tofauti kati ya mtu ujinga na upumbavu, kwani ujinga huweza kutolewa kwa kupatiwa elimu, lakini upumbavu hauna tiba kwani ni maumbile kama ufupi, urefu, nk" - Mwalimu Nyerere.

View attachment 146457
View attachment 146458
 
Back
Top Bottom