Mzee na kamati yake wamegusa Ulaji wa watu sasa wanachachawa ! Maana palee kwenye wizara ya Muungano kuna Bajeti ya kutatua kero za Muungano ,hayo Mapesa yanamezwa na wajanja wachache Pia zile pesa za Mgao Fungu la Zanzibar kuna sehemu wajanja wanapenya na kumega . Mzee Warioba analijua Hilo Ndio Maana anataka Tanganyika ibaki na chake Maana imechoka kubembeleza muungano kwa mapesa kibao.