Warioba ashitakiwe

Warioba ashitakiwe

wewe mbona umelishwa maneno na JK na watu wamenyamaza. Acha kumnaga mwenzako mkuu, jadili hoja yako na siyo kumjadili mtu mwenye mtazamo tofauti na wako.

Jiulize kwa nini JK anapigiwa saluti siku ya maadhimisho ya uhuru wa Tanganyika (tarehe 9 mwezi wa 12)?

Jibu ni simple tu, Tanganyika ipo, ila kwa sasa ipo dormant, na njia mojawapo ya kuifanya active ni kupitia katiba
Mkuu huyo waziwazi ni hewa kabisa hawezi elewa kitu
 
napata shida sana na uelewa wako ebu wapigie simu ndugu zako 20 ukipata wawili ambao walibahatika kuhojiwa au kukutana na tume ya Warioba ndo urudi hapa janvini ntakwambia kitu ili upevuke naona upo gizani.
nasubiri kufahamu umri wako mkuu,kutohojiwa sio sababu,mlaumu raisi wako kwanza!tz tuko wangapi?mikoa mingapi?wilaya,tarafa,kata,vijiji??ulitaka aje nyumbani kwenu?ungempa ugali?...mchakato umeanza mwaka juzi halafu raisi wako anataka katiba ikamilike mwaka huu c wendawazimu huu?halaf badala ya kuzindua bunge anaenda kutoa mapendekezo!alikuwa wapi kipindi cha kutoa maoni?.....tui!
 
Huyu mzee taifa lilimuamini matokeo yake ameisaliti nchi na kuamua kuvunja muungano kwa njia za panya, pale anaposema kwenye katiba eti serikali ya jamhuri (TANZANIA) itakuwa na mamlaka na vyombo vya usalama tu na itajiendesha kupitia michango ya wanachama yaani Tanganyika na Zanzibar. kuweka mawazo mfu eti itaruhusiwa kukopa kutoka mashirika mbalimbali wakati haina sifa zaidi ya kumiliki vifaru na ndege za kivita. wanadai ni mapendekezo ya wananchi wakati najua tukianzia hapa members wa jamiiforum kama sio unafiki waliohojiwa na tume ya Warioba hawazidi asilimia 10, leo hii anaongelea mawazo ya jamaa zake na kuwalisha watanzania uongo! tarafa yangu ya kimwani hukufika kabisa!!!!!:nod: Sasa huyu mzee na wapambe wake kwa nini wasishitakiwe kwa uhaini wa kutaka kupindua nchi na kuvunja muungano kupitia upotoshaji huu?
TANZANIA NCHI YANGU NAKUPENDA POPOTE NTAKUTETEA WAZIWAZI BILA KUPEPESA MACHO WALA KIJIFICHA.

Asilimia 10 ya nini?Je mimi nikisema hata hao laki 3 na kitu waliohojiwa hawawakilishi watanzania wote milioni 45 na hivyo si kipimo kizuri utasemaje?Na hata hao wabunge 600 wana uhalali gani wa kutuwakilisha kama si propaganda za kisiasa tu?Kwa nini useme Mzee warioba alijitungia wakati hata ofisi ya Waziri mkuu walipendekeza serikali 3?Ama umesahau kuwa hata Baraza la wawakilishi waipendekeza serikali 3?Mkuu usifanye watu tuutilie shaka uwezo wako wa kufikiri!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
wewe mbona umelishwa maneno na JK na watu wamenyamaza. Acha kumnaga mwenzako mkuu, jadili hoja yako na siyo kumjadili mtu mwenye mtazamo tofauti na wako.

Jiulize kwa nini JK anapigiwa saluti siku ya maadhimisho ya uhuru wa Tanganyika (tarehe 9 mwezi wa 12)?

Jibu ni simple tu, Tanganyika ipo, ila kwa sasa ipo dormant, na njia mojawapo ya kuifanya active ni kupitia katiba
unaona ulivyoanza kupayuka kweli kuzaliwa Tanzania kuona mengi na JK ana kazi kama na wewe ni mtanzania urais unahitaji moyo kugombea maana unaongoza watu na makaburu ka huyu.
 
Aisee, yani wewe huna akili kabisa.. Tafuta watu wakutafsirie vitu usikurupuke tuu.
 
Huyu mzee taifa lilimuamini matokeo yake ameisaliti nchi na kuamua kuvunja muungano kwa njia za panya, pale anaposema kwenye katiba eti serikali ya jamhuri (TANZANIA) itakuwa na mamlaka na vyombo vya usalama tu na itajiendesha kupitia michango ya wanachama yaani Tanganyika na Zanzibar. kuweka mawazo mfu eti itaruhusiwa kukopa kutoka mashirika mbalimbali wakati haina sifa zaidi ya kumiliki vifaru na ndege za kivita. wanadai ni mapendekezo ya wananchi wakati najua tukianzia hapa members wa jamiiforum kama sio unafiki waliohojiwa na tume ya Warioba hawazidi asilimia 10, leo hii anaongelea mawazo ya jamaa zake na kuwalisha watanzania uongo! tarafa yangu ya kimwani hukufika kabisa!!!!!:nod: Sasa huyu mzee na wapambe wake kwa nini wasishitakiwe kwa uhaini wa kutaka kupindua nchi na kuvunja muungano kupitia upotoshaji huu?
TANZANIA NCHI YANGU NAKUPENDA POPOTE NTAKUTETEA WAZIWAZI BILA KUPEPESA MACHO WALA KIJIFICHA.
Akili yako ni Kama mavi wewe ni bonge la ----
 
nasubiri kufahamu umri wako mkuu,kutohojiwa sio sababu,mlaumu raisi wako kwanza!tz tuko wangapi?mikoa mingapi?wilaya,tarafa,kata,vijiji??ulitaka aje nyumbani kwenu?ungempa ugali?...mchakato umeanza mwaka juzi halafu raisi wako anataka katiba ikamilike mwaka huu c wendawazimu huu?halaf badala ya kuzindua bunge anaenda kutoa mapendekezo!alikuwa wapi kipindi cha kutoa maoni?.....tui!
bora ya huyu siyo babu yako Dr.slaa aliyetaka kutengeneza katiba ndani ya siku 100, ila nashukuru umekubaliana kwamba yale si maoni yetu watanzania niya Warioba na ndugu zake wa mara ambako amani inasuasua sababu mawazo yao siku zote yako hivi.
 
huwezi elewa rasimu ya pili ya katiba iliyowasilishwa na mzee msomi warioba kwa kuwa unaonyesha kuwa akili yako ni fupi shame on you

vijana wa lumumba wamelewa sembe la riz1 aliloshindwa kulipeleka beijing.
Huwezi kurupuka na kuropoka kiasi hiki, juu ya shujaa wa karne mzee j.s.warioba.
 
Huyu waziwazi bila nguo ameshawehuka apelekwe mirembe waziwazi Maana akili yake kukaa wazi imeingia kinyesi
 
unaona ulivyoanza kupayuka kweli kuzaliwa Tanzania kuona mengi na JK ana kazi kama na wewe ni mtanzania urais unahitaji moyo kugombea maana unaongoza watu na makaburu ka huyu.
ushauri tu....acha viroba,umri haukurusu
 
huyu mzee taifa lilimuamini matokeo yake ameisaliti nchi na kuamua kuvunja muungano kwa njia za panya, pale anaposema kwenye katiba eti serikali ya jamhuri (tanzania) itakuwa na mamlaka na vyombo vya usalama tu na itajiendesha kupitia michango ya wanachama yaani tanganyika na zanzibar. Kuweka mawazo mfu eti itaruhusiwa kukopa kutoka mashirika mbalimbali wakati haina sifa zaidi ya kumiliki vifaru na ndege za kivita. Wanadai ni mapendekezo ya wananchi wakati najua tukianzia hapa members wa jamiiforum kama sio unafiki waliohojiwa na tume ya warioba hawazidi asilimia 10, leo hii anaongelea mawazo ya jamaa zake na kuwalisha watanzania uongo! Tarafa yangu ya kimwani hukufika kabisa!!!!!:nod: Sasa huyu mzee na wapambe wake kwa nini wasishitakiwe kwa uhaini wa kutaka kupindua nchi na kuvunja muungano kupitia upotoshaji huu?
Tanzania nchi yangu nakupenda popote ntakutetea waziwazi bila kupepesa macho wala kijificha.
yaani taratibu za kufikiri kichwani mwako hapo ndio mwisho?
 
Kwani ulienda wakati wanakusanya maoni ya watu hukwenda ndio maana imeonekana watu wachache wametoa maoni
 
------ wazi akili imehamia kwenye makalio wazi wazi huyu wazi wazi alaaniwe wazi wazi Maana Ujinga wake umedhihilika wazi wazi
 
Asilimia 10 ya nini?Je mimi nikisema hata hao laki 3 na kitu waliohojiwa hawawakilishi watanzania wote milioni 45 na hivyo si kipimo kizuri utasemaje?Na hata hao wabunge 600 wana uhalali gani wa kutuwakilisha kama si propaganda za kisiasa tu?Kwa nini useme Mzee warioba alijitungia wakati hata ofisi ya Waziri mkuu walipendekeza serikali 3?Ama umesahau kuwa hata Baraza la wawakilishi waipendekeza serikali 3?Mkuu usifanye watu tuutilie shaka uwezo wako wa kufikiri!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
nafurahi unapokubaliana na mimi kuwa maoni yale si ya watanzania ila ni yake Warioba na na baadhi ya watu aliokutana nao kwa hiyo asitake haramu iwe harali aseme tu kuwa haya ni mawazo ya watu fulani. Kificho (spika) Baraza la wawakilishi kasema kwamba wao hawakupendekeza serikali 3 warioba kawalisha maneno ili kuupa mashiko ulaghai wake, kama umesoma hapa sasa pima mimi na wewe nani ana IQ kubwa.
 
Huyu mzee taifa lilimuamini matokeo yake ameisaliti nchi na kuamua kuvunja muungano kwa njia za panya, pale anaposema kwenye katiba eti serikali ya jamhuri (TANZANIA) itakuwa na mamlaka na vyombo vya usalama tu na itajiendesha kupitia michango ya wanachama yaani Tanganyika na Zanzibar. kuweka mawazo mfu eti itaruhusiwa kukopa kutoka mashirika mbalimbali wakati haina sifa zaidi ya kumiliki vifaru na ndege za kivita. wanadai ni mapendekezo ya wananchi wakati najua tukianzia hapa members wa jamiiforum kama sio unafiki waliohojiwa na tume ya Warioba hawazidi asilimia 10, leo hii anaongelea mawazo ya jamaa zake na kuwalisha watanzania uongo! tarafa yangu ya kimwani hukufika kabisa!!!!!:nod: Sasa huyu mzee na wapambe wake kwa nini wasishitakiwe kwa uhaini wa kutaka kupindua nchi na kuvunja muungano kupitia upotoshaji huu?
TANZANIA NCHI YANGU NAKUPENDA POPOTE NTAKUTETEA WAZIWAZI BILA KUPEPESA MACHO WALA KIJIFICHA.

Unarudia aliyosema ------. Sasa sijui uwezo wako wa kufikiri ni mfu? Ulikuwa wapi kuyasema kabla hajajibu ya mzee mzalendo?
 
bora ya huyu siyo babu yako Dr.slaa aliyetaka kutengeneza katiba ndani ya siku 100, ila nashukuru umekubaliana kwamba yale si maoni yetu watanzania niya Warioba na ndugu zake wa mara ambako amani inasuasua sababu mawazo yao siku zote yako hivi.

Ndugu zake wa Mara unamaanisha nini? ina Maana watu wa Mara pekee Ndio walitoa maoni?wewe ni Punguani Mkubwa unafikiri kwa kutumia Makalio na hapo ulipo pengine Umepakatwa . Mzee na kamati yake wamafanya kazi nzuri sana , ambayo ingeisaidia Tanganyika kuepuka kubembeleza muungano kwa mamilioni Kama ilivyo sasa. Wewe unambeza ? Ulaaniwe wewe mtoto uliyezaliwa Guest huna lolote akili yako ipo wazi wazi Kama makalio ya tumbiri
 
Back
Top Bottom