Hii komenti ina harufu za uchumia tumbo!!
unayepaswa kushitakiwa ni wewe.Uccm wako usituletee na huyo Raisi wako.Anasema tulipaswa kujiunga na OIC ambapo sharti lake ni Nchi kuwa ya Kiislamu.upuuzi gani huuHuyu mzee taifa lilimuamini matokeo yake ameisaliti nchi na kuamua kuvunja muungano kwa njia za panya, pale anaposema kwenye katiba eti serikali ya jamhuri (TANZANIA) itakuwa na mamlaka na vyombo vya usalama tu na itajiendesha kupitia michango ya wanachama yaani Tanganyika na Zanzibar. kuweka mawazo mfu eti itaruhusiwa kukopa kutoka mashirika mbalimbali wakati haina sifa zaidi ya kumiliki vifaru na ndege za kivita. wanadai ni mapendekezo ya wananchi wakati najua tukianzia hapa members wa jamiiforum kama sio unafiki waliohojiwa na tume ya Warioba hawazidi asilimia 10, leo hii anaongelea mawazo ya jamaa zake na kuwalisha watanzania uongo! tarafa yangu ya kimwani hukufika kabisa!!!!!:nod: Sasa huyu mzee na wapambe wake kwa nini wasishitakiwe kwa uhaini wa kutaka kupindua nchi na kuvunja muungano kupitia upotoshaji huu?
TANZANIA NCHI YANGU NAKUPENDA POPOTE NTAKUTETEA WAZIWAZI BILA KUPEPESA MACHO WALA KIJIFICHA.
Huwezi elewa rasimu ya pili ya katiba iliyowasilishwa na mzee msomi Warioba kwa kuwa unaonyesha kuwa akili yako ni fupi shame on you
wewe utakuwa umelogwa au huenda si mtanzania mtu wa kigali wewe. sisi Watanzanyika tuko timamu na sio wajinga. ujinga upo nchini kwenu.
Hakuna sababu ya kubishana hapa mwenye akili utamjua tu huhitaji hata kukosoa mtu ukweli wote unajulikana.
Jiulize maswali haya machache
- Kwa nini watu wana hofu sana na serikali tatu wakati bado hatujaamua kuingia humo?
- kwa nini chama tawala wote wawe na msimamo mmoja?
- Kwa nini Rais amjibu Warioba badala ya kuzindua bunge na kuliachia liamue?
- Kulikuwa na sababu gani kuunda tume halafu muikatae?
Huyu mzee taifa lilimuamini matokeo yake ameisaliti nchi na kuamua kuvunja muungano kwa njia za panya, pale anaposema kwenye katiba eti serikali ya jamhuri (TANZANIA) itakuwa na mamlaka na vyombo vya usalama tu na itajiendesha kupitia michango ya wanachama yaani Tanganyika na Zanzibar. kuweka mawazo mfu eti itaruhusiwa kukopa kutoka mashirika mbalimbali wakati haina sifa zaidi ya kumiliki vifaru na ndege za kivita. wanadai ni mapendekezo ya wananchi wakati najua tukianzia hapa members wa jamiiforum kama sio unafiki waliohojiwa na tume ya Warioba hawazidi asilimia 10, leo hii anaongelea mawazo ya jamaa zake na kuwalisha watanzania uongo! tarafa yangu ya kimwani hukufika kabisa!!!!!:nod: Sasa huyu mzee na wapambe wake kwa nini wasishitakiwe kwa uhaini wa kutaka kupindua nchi na kuvunja muungano kupitia upotoshaji huu?
TANZANIA NCHI YANGU NAKUPENDA POPOTE NTAKUTETEA WAZIWAZI BILA KUPEPESA MACHO WALA KIJIFICHA.
some people think going arround throwing insult is a bigdeal.Huyu waziwazi bila nguo ameshawehuka apelekwe mirembe waziwazi Maana akili yake kukaa wazi imeingia kinyesi
kuelewa nini acha janjajanja sema kuelewa nini? nina wasiwasi hiyo rasimu huenda hujaisoma na ni miongoni mwa watu ambao hawakuojiwa na tume ya warioba ila umelishwa maneno na Warioba sasa anakuendesha kama roboti.:spider:
Halafu anaonekana kama amepanic.Anaonekana hajui anachokitetea!
Hakuna sababu ya kubishana hapa mwenye akili utamjua tu huhitaji hata kukosoa mtu ukweli wote unajulikana.
Jiulize maswali haya machache
- Kwa nini watu wana hofu sana na serikali tatu wakati bado hatujaamua kuingia humo?
- kwa nini chama tawala wote wawe na msimamo mmoja?
- Kwa nini Rais amjibu Warioba badala ya kuzindua bunge na kuliachia liamue?
- Kulikuwa na sababu gani kuunda tume halafu muikatae?
Huyu mzee taifa lilimuamini matokeo yake ameisaliti nchi na kuamua kuvunja muungano kwa njia za panya, pale anaposema kwenye katiba eti serikali ya jamhuri (TANZANIA) itakuwa na mamlaka na vyombo vya usalama tu na itajiendesha kupitia michango ya wanachama yaani Tanganyika na Zanzibar. kuweka mawazo mfu eti itaruhusiwa kukopa kutoka mashirika mbalimbali wakati haina sifa zaidi ya kumiliki vifaru na ndege za kivita. wanadai ni mapendekezo ya wananchi wakati najua tukianzia hapa members wa jamiiforum kama sio unafiki waliohojiwa na tume ya Warioba hawazidi asilimia 10, leo hii anaongelea mawazo ya jamaa zake na kuwalisha watanzania uongo! tarafa yangu ya kimwani hukufika kabisa!!!!!:nod: Sasa huyu mzee na wapambe wake kwa nini wasishitakiwe kwa uhaini wa kutaka kupindua nchi na kuvunja muungano kupitia upotoshaji huu?
TANZANIA NCHI YANGU NAKUPENDA POPOTE NTAKUTETEA WAZIWAZI BILA KUPEPESA MACHO WALA KIJIFICHA.
Huyu mzee taifa lilimuamini matokeo yake ameisaliti nchi na kuamua kuvunja muungano kwa njia za panya, pale anaposema kwenye katiba eti serikali ya jamhuri (TANZANIA) itakuwa na mamlaka na vyombo vya usalama tu na itajiendesha kupitia michango ya wanachama yaani Tanganyika na Zanzibar. kuweka mawazo mfu eti itaruhusiwa kukopa kutoka mashirika mbalimbali wakati haina sifa zaidi ya kumiliki vifaru na ndege za kivita. wanadai ni mapendekezo ya wananchi wakati najua tukianzia hapa members wa jamiiforum kama sio unafiki waliohojiwa na tume ya Warioba hawazidi asilimia 10, leo hii anaongelea mawazo ya jamaa zake na kuwalisha watanzania uongo! tarafa yangu ya kimwani hukufika kabisa!!!!!:nod: Sasa huyu mzee na wapambe wake kwa nini wasishitakiwe kwa uhaini wa kutaka kupindua nchi na kuvunja muungano kupitia upotoshaji huu?
TANZANIA NCHI YANGU NAKUPENDA POPOTE NTAKUTETEA WAZIWAZI BILA KUPEPESA MACHO WALA KIJIFICHA.
Inaisha wiki sasa hamna hata mtu mmoja ambae ameweza japo kwa 10% kujibu HOJA za Jaji Warioba!