Warioba Anataka Nini Hasa?

Warioba Anataka Nini Hasa?

Mnahamngaika nini?

Itisheni kura ya Maoni -TANGANYIKA NA ZANZIBAR na msichague wapiga kura!
Kuanzia age 18yrs ilimradi ni mtanzania apige kura kusema YES AU NO KWA AINA YA MUUNGANO.

1.SERIKALI MOJA NCHI MOJA

2.SERIKALI MBILI NCHI MOJA

3.SERIKALI MBILI NCHI MBILI

3.SERIKALI TATU NCHI MOJA.

Vijembe vyenu kwa Jaji Warioba haitawasaidia zaidi ya kuwa mtaumbuka.

Ni wazi kuwa mmewanunua baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba na hasa wasiojitambua na mmejisahau na kudhani Nchi hii CCM ina hati nayo.

ufafanuzi apo kwenye serikali tatu chi moja inakuwaje? labda ungesema serikali tatu nchi mbili ningekuelea kwa sababu uwepo wa mipaka inayokubalika watu na hostoria inayofanana tayari ni nchi hiyo.
 
Tanganyika yetu lazma irudi, 2mechoshwa na huu muungano wa kibaguzi unaowafaidisha wapemba peke yao alafu wao ndio wakwanza kulalamika.
 
- Kuna swali moja linanitatanisha sana kwamba exactly Warioba anachokitaka hasa ni nini? Ameteuliwa kuongoza tume ya kukusanya maoni na sio siri badala ya kukusanya maoni ametengeza maoni na kuwa shujaa wa kutupasua Taifa, sasa ameshakabidhi maoni lakini kila siku kwenye vyombo vya habari kushindana na wasiotaka Serikali 3 WHY? Jana kuna mahali kwa maneno yake mwenyewe amesema kuna sehemu ambazo alijua kwamba Viongozi wa CCM wamepitia kwa hiyo maoni ya wananchi wake hakuyasikiliza kwa sababu aliamini wameambiwa cha kusema, sasa huo utaalamu Warioba ameutoa wapi na ni kweli Sheria ya Tume ilimruhusu kuamua achukue maoni ya nani na aache ya nani?

- Warioba nminataka kuamini ni msomi amewakilisha maoni yake kama alivyoombwa na Taifa, sasa vita ya nini hasa na wasiokubali maoni yake? Kwa kweli ninapata taabu sana kumuelewa sijawahi kusikia wala kuona something like this before, Warioba aliongoza Kamati kama hii ya Rushwa chini ya utawala wa Mkapa, kwanza hata ile ripoti sijui iliiishia wapi na sijawahi kumsikia Warioba akilalamika au akitetea ile ripoti, sasa kwenye hili la kulilia Serikali ya Tanganyika mbona ana vita vikubwa sana na Taifa kwamba ni lazima wote tukubali mawazo yake tu?

- AT SOME POINT SASA CCM TUKAE CHINI NA KUTAFAKARI EXCATLY HUYU MZEE ANATAKA NINI KWENYE CRIMINOLOGY TUNASEMA THERE IS SOMETHING BIGGER THAT WHAT WE ARE SEEING HERE WITH OUR EYES, HAIWEZEKANI NA NINASHINDWA KUAMINI KINACHOENDELEA, Warioba ameshawakilisha maoni ya supposedly tume yake na kwamba ndio maoni ya wananchi, mjumbe wa Bakwata amesimama bungeni na kusema wazi kwamba kilichosemwa kwenye Tume ya Warioba sicho walichomwambia, tunaambiwa kwamba kuna sekta nyingi sana za Serikali ambazo zilitaka Serikali 2 Warioba wala hakuweka maoni yao kwenye Rasimu, I mean why all these from one man?

- HIVI KWELI CCM MPAKA TUMEJIRIDHISHA KWAMBA WARIOBA NI ONE MAN DOING ALL THESE OPPOSITION? HAPANA MIMI SIAMINI KABISA KUNA SOMETHING BIGGER THAN WHAT WE ARE SEEEING WITH OUR EYES WHAT IS THAT? WHAT IS THAT? WHO IS INVOLVED? WHERE? WHY? WHAT?

- I MEAN CCM NA WALE WOTE TUNAOTAKA SERIKALI 2 NI LAZIMA TUKAE CHINI NA KUTAFAKARI ZAIDI YA TUNAVYOFANYA SASA, SOMETHING IS A MISS HERE LAZIMA KUNA A BIGGER PICTURE BEHIND ALL THESE!!

- SOMA GAZETI LA JAMBO LEO JUMAPILI I WILL BREAK DOWN THESE THINGS KAMA KAWAIDA WARIOBA ANATAKA NINI HASA?

Le Mutuz System

Sure! Something is a miss...and It starts with you Mr malecela na watu wako wenye mawazo mgando, na wasiotaka kwenda na wakati kwa kuhofia kuporwa mianya ya kunyonya waliyojiwekea miaka dahali, na kushindwa kwao kulinda na kutetea katiba, hata walipoona inavunjwa kweupee.

Sasa baada ya kuona wananchi wameamka na kudai haki zao za kijamii wanakuja na visingizio vya kijinga eti wanataka kumuenzi baba wa taifa, huku wakifahamu fika ufisadi wao, ukiukwaji wao wa miiko ya viongozi, sera yao ya utajirisho binafsi ni kinyume na fikra na itikadi za mwalimu Nyerere.

Kwa kuona hawana kwa kukwepea sasa wanamkabili Jaji warioba kwa matusi na kejeli kana kwamba yeye ndiye aliyejiteua kuwa mwenyekiti wa tume, na ndiye binafsi aliyejipinda na kutunga rasmi ya katiba mpya, wakati ni wazi kuwa Rasimu ya katiba mpya ni matokeo ya kazi ya tume kukusanya maoni ya wananchi nchi nzima, tume ilijumuisha watu wenye sifa zilizotukuka na heshma katika jamii, kuliko wasanii wetu wa mipasho km capt komba na Lukuvi, na ilipita nchi nzima kukusanya maoni ya wananchi.

Sasa inapofikia mahala wajumbe wa bunge la katiba wanaacha kujadili kilichowapeleka bungeni na kuanza kumtukana matusi ya nguoni jaji warioba, na kupotosha ukweli uliobainishwa katika rasimu hiyo, si jambo la ajabu warioba kama raia huru kujibu mapigo na kutoa ufafanuzi ili wananchi waelewe.

Kwa hilo chama tawala kinajipalia makaa na ndio dibaji la kung'atuliwa madarakani. ( kama vyama mbadala vitakuwa makini kutumia mwanya huo). Wanasiasa ni adui namba moja wa maendeleo ya nchi hii.
 
- Kuna swali moja linanitatanisha sana kwamba exactly Warioba anachokitaka hasa ni nini? Ameteuliwa kuongoza tume ya kukusanya maoni na sio siri badala ya kukusanya maoni ametengeza maoni na kuwa shujaa wa kutupasua Taifa, sasa ameshakabidhi maoni lakini kila siku kwenye vyombo vya habari kushindana na wasiotaka Serikali 3 WHY? Jana kuna mahali kwa maneno yake mwenyewe amesema kuna sehemu ambazo alijua kwamba Viongozi wa CCM wamepitia kwa hiyo maoni ya wananchi wake hakuyasikiliza kwa sababu aliamini wameambiwa cha kusema, sasa huo utaalamu Warioba ameutoa wapi na ni kweli Sheria ya Tume ilimruhusu kuamua achukue maoni ya nani na aache ya nani?

- Warioba nminataka kuamini ni msomi amewakilisha maoni yake kama alivyoombwa na Taifa, sasa vita ya nini hasa na wasiokubali maoni yake? Kwa kweli ninapata taabu sana kumuelewa sijawahi kusikia wala kuona something like this before, Warioba aliongoza Kamati kama hii ya Rushwa chini ya utawala wa Mkapa, kwanza hata ile ripoti sijui iliiishia wapi na sijawahi kumsikia Warioba akilalamika au akitetea ile ripoti, sasa kwenye hili la kulilia Serikali ya Tanganyika mbona ana vita vikubwa sana na Taifa kwamba ni lazima wote tukubali mawazo yake tu?

- AT SOME POINT SASA CCM TUKAE CHINI NA KUTAFAKARI EXCATLY HUYU MZEE ANATAKA NINI KWENYE CRIMINOLOGY TUNASEMA THERE IS SOMETHING BIGGER THAT WHAT WE ARE SEEING HERE WITH OUR EYES, HAIWEZEKANI NA NINASHINDWA KUAMINI KINACHOENDELEA, Warioba ameshawakilisha maoni ya supposedly tume yake na kwamba ndio maoni ya wananchi, mjumbe wa Bakwata amesimama bungeni na kusema wazi kwamba kilichosemwa kwenye Tume ya Warioba sicho walichomwambia, tunaambiwa kwamba kuna sekta nyingi sana za Serikali ambazo zilitaka Serikali 2 Warioba wala hakuweka maoni yao kwenye Rasimu, I mean why all these from one man?

- HIVI KWELI CCM MPAKA TUMEJIRIDHISHA KWAMBA WARIOBA NI ONE MAN DOING ALL THESE OPPOSITION? HAPANA MIMI SIAMINI KABISA KUNA SOMETHING BIGGER THAN WHAT WE ARE SEEEING WITH OUR EYES WHAT IS THAT? WHAT IS THAT? WHO IS INVOLVED? WHERE? WHY? WHAT?

- I MEAN CCM NA WALE WOTE TUNAOTAKA SERIKALI 2 NI LAZIMA TUKAE CHINI NA KUTAFAKARI ZAIDI YA TUNAVYOFANYA SASA, SOMETHING IS A MISS HERE LAZIMA KUNA A BIGGER PICTURE BEHIND ALL THESE!!

- SOMA GAZETI LA JAMBO LEO JUMAPILI I WILL BREAK DOWN THESE THINGS KAMA KAWAIDA WARIOBA ANATAKA NINI HASA?

Le Mutuz System

Baba yako muumini wa serikali 3 wewe nani uzipinge
 
mr william. rasimu ya katiba sio ya warioba. ni ya tume.
warioba alikuwa mwenyekiti tu.
tambua kwamba tume iliundwa na rais na tumeambiwa tume hadi kukamilisha kazi yake imetumia fedha za walipa kodi tsh 33 bilion.
tume ilifanya kazi yake kwa weledi mkubwa na kwa mujibu wa sheria.
warioba kama mwenyekiti wa tume anaamini amefanya kazi vizuri kwa mujibu wa taratibu zote.
lazima alalamike kama jinsi tulivyoshuhudia bungeni watu wamemzalilisha wakati amefanya kazi ya kitaifa.
Halafu kwa akili zako embu jiulize kwa nini warioba alipewa nishani ya utumishi uliotukuka wa kulinda muungano siku za sherehe za muungano hiyo juzi.g
bro think out of the box .
halafu sometimepost zako zimekaa kikada sana kulipo kizalendo unaudhigi kishenzi .
halafu warioba sio saizi yako amekuacha mbali sana huna uwezo wa kupingana na hoja zake za kizalendo.
wewe pia nimsakatonge
 
Mzee Warioba kama watanzania wengine ana uhuru wa kuchambua au kuwakilisha maoni yake kwa chombo chochote ndani na nje ya nchi as long as havunji sheria. SISIEMU wanajiumauma tu, Zanzibar ilishajitangaza kuwa ni nchi kamili na katiba yao inasema hivyo. If that the case, Tanganyika iko wapi? Kama kweli SISIEMU iko serious na huo so called "Muungano" basi watumie influence yao au kuwalazimisha wazinzibar wafute hicho kifungu kinachowapa uhuru zaidi wa kujiamuria mambo yako including Rais wao kupigiwa mizinga 21 mbele ya Rais wa JMT. Mmeachiwa Bunge Maalum la Katiba, fanyeni mpendavyo mapema sana kuokoa pesa za walala puu. Zaidi yao hapo Khadija Kopa anatumbuiza Buguruni, naamini una kipaji cha taarabu tofauti kabisa na Mzee Warioba.
 
ufafanuzi apo kwenye serikali tatu chi moja inakuwaje? labda ungesema serikali tatu nchi mbili ningekuelea kwa sababu uwepo wa mipaka inayokubalika watu na hostoria inayofanana tayari ni nchi hiyo.

Je umepata kuipitia Rasimu ya Katiba Mpya ya kwanza na ya pili. Kama bado fanya hivyo na utaelewa Serikali Tatu-Nchi Moja.

Jamhuri ya Muungano.
1.-(1) Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Shirikisho lenye mamlaka kamili ambayo imetokana na Muungano wa nchi mbili za Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar ambazo kabla ya Hati za Makubaliano ya Muungano ya mwaka 1964 zilikuwa nchi huru.
 
Jamaa wanaweweseka, ngoja wakati wa kura ya maoni ndio mtajua anataka nini
 
Kaka zile degrees za mamtoni vipi ukalinganisha na uelewa pamoja na usomi wa aliyewahi kuwa Mwanasheria Mkuu wa serikali ya JMT Jaji Warioba. Ni kweli uliposti hiyo kwenye blog yako kwa kukosea spelling pamoja na lugha za akina Khadika Kopa huku ukiwa kiongozi wa chama?
LeMtZ.JPG
 
- Kuna swali moja linanitatanisha sana kwamba exactly Warioba anachokitaka hasa ni nini? Ameteuliwa kuongoza tume ya kukusanya maoni na sio siri badala ya kukusanya maoni ametengeza maoni na kuwa shujaa wa kutupasua Taifa, sasa ameshakabidhi maoni lakini kila siku kwenye vyombo vya habari kushindana na wasiotaka Serikali 3 WHY? Jana kuna mahali kwa maneno yake mwenyewe amesema kuna sehemu ambazo alijua kwamba Viongozi wa CCM wamepitia kwa hiyo maoni ya wananchi wake hakuyasikiliza kwa sababu aliamini wameambiwa cha kusema, sasa huo utaalamu Warioba ameutoa wapi na ni kweli Sheria ya Tume ilimruhusu kuamua achukue maoni ya nani na aache ya nani?

- Warioba nminataka kuamini ni msomi amewakilisha maoni yake kama alivyoombwa na Taifa, sasa vita ya nini hasa na wasiokubali maoni yake? Kwa kweli ninapata taabu sana kumuelewa sijawahi kusikia wala kuona something like this before, Warioba aliongoza Kamati kama hii ya Rushwa chini ya utawala wa Mkapa, kwanza hata ile ripoti sijui iliiishia wapi na sijawahi kumsikia Warioba akilalamika au akitetea ile ripoti, sasa kwenye hili la kulilia Serikali ya Tanganyika mbona ana vita vikubwa sana na Taifa kwamba ni lazima wote tukubali mawazo yake tu?

- AT SOME POINT SASA CCM TUKAE CHINI NA KUTAFAKARI EXCATLY HUYU MZEE ANATAKA NINI KWENYE CRIMINOLOGY TUNASEMA THERE IS SOMETHING BIGGER THAT WHAT WE ARE SEEING HERE WITH OUR EYES, HAIWEZEKANI NA NINASHINDWA KUAMINI KINACHOENDELEA, Warioba ameshawakilisha maoni ya supposedly tume yake na kwamba ndio maoni ya wananchi, mjumbe wa Bakwata amesimama bungeni na kusema wazi kwamba kilichosemwa kwenye Tume ya Warioba sicho walichomwambia, tunaambiwa kwamba kuna sekta nyingi sana za Serikali ambazo zilitaka Serikali 2 Warioba wala hakuweka maoni yao kwenye Rasimu, I mean why all these from one man?

- HIVI KWELI CCM MPAKA TUMEJIRIDHISHA KWAMBA WARIOBA NI ONE MAN DOING ALL THESE OPPOSITION? HAPANA MIMI SIAMINI KABISA KUNA SOMETHING BIGGER THAN WHAT WE ARE SEEEING WITH OUR EYES WHAT IS THAT? WHAT IS THAT? WHO IS INVOLVED? WHERE? WHY? WHAT?

- I MEAN CCM NA WALE WOTE TUNAOTAKA SERIKALI 2 NI LAZIMA TUKAE CHINI NA KUTAFAKARI ZAIDI YA TUNAVYOFANYA SASA, SOMETHING IS A MISS HERE LAZIMA KUNA A BIGGER PICTURE BEHIND ALL THESE!!

- SOMA GAZETI LA JAMBO LEO JUMAPILI I WILL BREAK DOWN THESE THINGS KAMA KAWAIDA WARIOBA ANATAKA NINI HASA?

Le Mutuz System
Mkuu Warioba katoa maoni ya wananchi, na siyo ya kwake.
Ni kama kutazama kioo na usipende picha unayoiona, halafu ukakitukana kioo!
Kama kuna uongo katika ripoti yake swala ni simple, maoni yamechukuliwa kwa njia ha video,tapes na picha refer to them for clarity.
 
Huyo jamaa asipokuelewa wewe hata mimi sihangaiki naye...!
 
Mlipokuwa mkituibia kura zetu tuliumia hivyohivyo mkachekelea. Sasa mkuki kwa nguruwe.....usichanganyikiwe bro...tulia dawa iingie!!!
 
Ndiyo maana hata serikali ilimshinda wakati akiwa waziri mkuu mpaka akajiudhuru wadhifa wake ni miongoni mwa watu wa hovyo kabisa wanaopenda kulazimisha mambo hata kama hayana maana yapite.
we hufahamu, Jaji wa Rioba ni aina ya watu wanaoamini na kukisimamia kile wanachokisema. Sio kama Vasco Dagama anaengalia upepo nayeye akafuata kama bendera. Mr. dhaifu hovyo kabisa na atalitumbukiza taifa katika balaa kutoka na tabia yake ya kupenda sifa zisizokuwa na maana.
 
Mleta mada akienda chooni anakunya akili, mavi anaacha kichwani.

Sent from my iPad using JamiiForums mobile app
 
- Kuna swali moja linanitatanisha sana kwamba exactly Warioba anachokitaka hasa ni nini? Ameteuliwa kuongoza tume ya kukusanya maoni na sio siri badala ya kukusanya maoni ametengeza maoni na kuwa shujaa wa kutupasua Taifa, sasa ameshakabidhi maoni lakini kila siku kwenye vyombo vya habari kushindana na wasiotaka Serikali 3 WHY? Jana kuna mahali kwa maneno yake mwenyewe amesema kuna sehemu ambazo alijua kwamba Viongozi wa CCM wamepitia kwa hiyo maoni ya wananchi wake hakuyasikiliza kwa sababu aliamini wameambiwa cha kusema, sasa huo utaalamu Warioba ameutoa wapi na ni kweli Sheria ya Tume ilimruhusu kuamua achukue maoni ya nani na aache ya nani?

- Warioba nminataka kuamini ni msomi amewakilisha maoni yake kama alivyoombwa na Taifa, sasa vita ya nini hasa na wasiokubali maoni yake? Kwa kweli ninapata taabu sana kumuelewa sijawahi kusikia wala kuona something like this before, Warioba aliongoza Kamati kama hii ya Rushwa chini ya utawala wa Mkapa, kwanza hata ile ripoti sijui iliiishia wapi na sijawahi kumsikia Warioba akilalamika au akitetea ile ripoti, sasa kwenye hili la kulilia Serikali ya Tanganyika mbona ana vita vikubwa sana na Taifa kwamba ni lazima wote tukubali mawazo yake tu?

- AT SOME POINT SASA CCM TUKAE CHINI NA KUTAFAKARI EXCATLY HUYU MZEE ANATAKA NINI KWENYE CRIMINOLOGY TUNASEMA THERE IS SOMETHING BIGGER THAT WHAT WE ARE SEEING HERE WITH OUR EYES, HAIWEZEKANI NA NINASHINDWA KUAMINI KINACHOENDELEA, Warioba ameshawakilisha maoni ya supposedly tume yake na kwamba ndio maoni ya wananchi, mjumbe wa Bakwata amesimama bungeni na kusema wazi kwamba kilichosemwa kwenye Tume ya Warioba sicho walichomwambia, tunaambiwa kwamba kuna sekta nyingi sana za Serikali ambazo zilitaka Serikali 2 Warioba wala hakuweka maoni yao kwenye Rasimu, I mean why all these from one man?

- HIVI KWELI CCM MPAKA TUMEJIRIDHISHA KWAMBA WARIOBA NI ONE MAN DOING ALL THESE OPPOSITION? HAPANA MIMI SIAMINI KABISA KUNA SOMETHING BIGGER THAN WHAT WE ARE SEEEING WITH OUR EYES WHAT IS THAT? WHAT IS THAT? WHO IS INVOLVED? WHERE? WHY? WHAT?

- I MEAN CCM NA WALE WOTE TUNAOTAKA SERIKALI 2 NI LAZIMA TUKAE CHINI NA KUTAFAKARI ZAIDI YA TUNAVYOFANYA SASA, SOMETHING IS A MISS HERE LAZIMA KUNA A BIGGER PICTURE BEHIND ALL THESE!!

- SOMA GAZETI LA JAMBO LEO JUMAPILI I WILL BREAK DOWN THESE THINGS KAMA KAWAIDA WARIOBA ANATAKA NINI HASA?

Le Mutuz System
...Eeeh!...hivi wewe kwa akili yako na uwezo wako wa kufikiri unajiona una ubavu wa kubishana au kumkosoa Mh Jaji Joseph Sinde Warioba? Baba yako mwenyewe, Mzee wetu Mheshimiwa John Malecela anamheshimu Jaji Warioba...ukiwa huna cha kuandika ukaage kimya, vinginevyo ni kujitia aibu tu mzee mzima kama wewe.. BE OF YOUR AGE!
 
- Warioba anajua kwamba bungeni kwenye uamuzi hakuna kura za Serikali 3 sasa anapigania nini hasa? Mimi naomba kusema wazi bila kuficha sina heshima na kiongozi yoyote anayeshauri kuvunja Muungano, ili u-replace na nini hasa?

Le Mutuz System

Darasa la Warioba ni gumu sana kwa vichwa vya nazi. Ndiyo maana mnaelewa kinyumenyume...
 
Back
Top Bottom