Warioba Anataka Nini Hasa?

Warioba Anataka Nini Hasa?

Basi mshauri JK aunde tume nyingine na mwenyekiti awe Nape!, ivi Marekani mlikuwa mnafanya nini uko kama hoja zenu ndo izi aisee!. sasa unalalamika ya kuwa mzee kazi yake imeisha so hasiongee? mungetaka hasiongee msingefungia tovuti ya tume ili sisi wananchi wa kawaida tupate kilichofanywa na tume, sasa tovuti mmefunga na kuongea mnataka hasiongee? kuna nini sasa hapo. hakitoa hoja zinazoitaji majibu nyie mnakurupuka kama gesi ya CHIBUKU ati huyu mzee anavuruga nchi, jibu kwanza hoja afu tuoneshe anavuruga vipi nchi, as a matter of fact nyie ma-CCM ndo mnavuruga nchi uku mmetufunga kitambaa cheusi cha utulivu ila nyie mnakiita amani. baba Riz mpaka leo hajaweza kujibu kwanini akienda zanzibar anaufyata na mwenzie ndo anapigiwa mizinga...

- Warioba anataka nini hasa sio haya uliyoandika ni hewa tupu!!

Le Mutuz System
 
Warioba yeye alipendekeza mapendekezo yake na nyie kama CCM kupitia serikali mliyapokea maana yake rasimu ipo sawa tayari kwa kujadiliwa, hivyo basi kilichotakiwa ni kujaribu kupangua hoja moja baada ya nyingine lakini nyie mnakimbilia anataka kupasua nchi sijui anataka nchi itawaliwe na jeshi mara wengine Warioba sio msafi kama mnavyodhani (kote huko kwa nini, watanzania tupo 45 million kwanini msijadiliane alafu mkatuacha tu-judge pumba zipi na mchele upi). Kwa kuwa nyie mnamjadili as ana individual na yeye anatumia haki yake kuweka mambo sawa na nina amini kwa muda ambao mjumbe mmoja alipaswa kuchangia kama sio kutumia muda kumsema Warioba yaani dakika mbili zingetosha kwa kila mjumbe kutoa hoja. Mtu anaongea mengineyo yasiyohusu katiba alafu akiambiwa bado dakika 3 ndio utasikia anazungumzia kidogo katiba na kumalizia "mimi muumini wa serikali mbili asante mwenyekiti"
 
Wewe umaarufu wako ni mdogo hata huko katika chama chenu wanachama wa Wilaya tu hawakufahamu, uulishindwa kuutumia umaarufu wa baba yako kujijenga kisiasa kama wenziyo wanavyofanya, Si unawaona walivyochangamkia fursa wewe utakesha na hautokuwa kama Baba yako na hata kufuata nyayo zake umeshindwa kabisa.

- Warioba anataka nini hasa? Ripoti amekabidhi tayari sasa si ni haki ya wengine kuichambua ripoti yake inapochambuliwa anapiga kelele sana why? Amepewa kila nafasi ya kuchambua ripoti yake sasa atulie, kadri anavyozidi kujibu atajibiwa tu afike mahali atulize boli atucahie wanachi tuamue, kura za Serikali 3 hazipo yeye mwenyewe anajua hilo,

- UKAWA wanalijua hilo kwamba hawana chance sasa yeye anakazania nini hasa sijaelewa bado!!

Le Mutuz System
 
Warioba yeye alipendekeza mapendekezo yake na nyie kama CCM kupitia serikali mliyapokea maana yake rasimu ipo sawa tayari kwa kujadiliwa, hivyo basi kilichotakiwa ni kujaribu kupangua hoja moja baada ya nyingine lakini nyie mnakimbilia anataka kupasua nchi sijui anataka nchi itawaliwe na jeshi mara wengine Warioba sio msafi kama mnavyodhani (kote huko kwa nini, watanzania tupo 45 million kwanini msijadiliane alafu mkatuacha tu-judge pumba zipi na mchele upi). Kwa kuwa nyie mnamjadili as ana individual na yeye anatumia haki yake kuweka mambo sawa na nina amini kwa muda ambao mjumbe mmoja alipaswa kuchangia kama sio kutumia muda kumsema Warioba yaani dakika mbili zingetosha kwa kila mjumbe kutoa hoja. Mtu anaongea mengineyo yasiyohusu katiba alafu akiambiwa bado dakika 3 ndio utasikia anazungumzia kidogo katiba na kumalizia "mimi muumini wa serikali mbili asante mwenyekiti"

- Sasa hivi anaharibu kaka kwenye siasa huwezi kufanya anayoyafanya sasa hivi anazidi kuipa nafasi CCM na hoja ya Serikali 2 kuimarika zaidi, the more anavyopiga kelele ni the more anatushitua wengi CCM kwamba ana agenda flani hasa knowing nyendo zake nyingi za siri na upinzani sasa huu ndio mwisho wao, aibu!!

Le Mutuz System
 
Mbona hamchambui ripoti! Badala yake mnakesha mkimtusi na kumkejeli Warioba na sijaona hata mwanaCCM yeyote akimshambulia mjumbe mwingine wa tume hapo ndipo wananchi tunajiuliza kulikoni? Na kwanini msimshambulie aliyewateua kwani naamini kila walichokifanya alikuwa akipewa taarifa na alibariki mambo yasonge, au kwa vile naye kajifanya kujitoa utadhani tume haikuwa yake?

- Warioba anataka nini hasa? Ripoti amekabidhi tayari sasa si ni haki ya wengine kuichambua ripoti yake inapochambuliwa anapiga kelele sana why? Amepewa kila nafasi ya kuchambua ripoti yake sasa atulie, kadri anavyozidi kujibu atajibiwa tu afike mahali atulize boli atucahie wanachi tuamue, kura za Serikali 3 hazipo yeye mwenyewe anajua hilo,

- UKAWA wanalijua hilo kwamba hawana chance sasa yeye anakazania nini hasa sijaelewa bado!!

Le Mutuz System
 
Kwanza kabisa natamani kuiona Zanzibar ikiwa nchi kamili, huru na yenye maamuzi yake yenyewe na nnatamani kuiona Zanzibar inarudi kuwa kitovu cha ilm katika Afrika.

Nnatamani sana kuiona nchi ya yenye Waislaam 99% inakuwa nchi ya Kiislaam kiukweli.

Kumbuka, mimi ni Mtanganyika lakini nna-undugu wa dhati kwa Uislam wetu na Wazanzibari walio wengi na hilo ni la kujivunia sana.

Inasikitisha sana kuiona Zanzibar ambayo ilikuwa kitovu cha Uislaam katika Afrika kuwa leo imekuwa ndio kisiwa cha maasi na maovu kwa jina la utalii, kimezungukwa na mahoteli ya kufanyia ufuska na kwenda uchi wazungu hususan Wataliano (Vatikan). Unafikiri ni bahati nzuri tu au mbaya tu? huo ni mpango mahsusi wa kuuangamiza Uislam kwenye hicho kisiwa. Mwenye macho haambiwi tazama.

Mimi naunga mkono S3. However, kama sababu za kuwa na S3 ndizo hizi ulizozitaja hapo juu basi ni bora ya kuwa na S1 au kila mtu aanze kivyake!

Inawezekana (finally) kumbe Lukuvi knew what he was talking about afterall.

Which makes the whole thing a sad mockery!!
 
Hoja yake mpaka sasa haina nguvu,kuna mengi ya kupambanua cku si nyingi na watanzani mtajuwa ni kwa nn tunataka serikali 2 na c 3
 
Umeuliza WARIOBA ANATAKA NINI, lakini nafikiri kuna haja ya kukuuliza wewe ndio unataka nini kwenye hii therad yako, au kipi hujaelewa kuhusu Warioba.

Hivi unaweza kusema ni yeye ndio alijipeleka mwenyewe labda pale ITV kwenye kile kpindi cha Dk 45 akaomba ahojiwe kuhusu maoni ya tume yake against upinzani anaoupata kutoka CCM? au aliitwa na hao ITV wenyewe?

Kwenye red unazungumzia report ya Rushwa kwamba mbona Warioba haishikii bango. Napata wasiwasi na uelewa wako kuhusu report ya Rushwa Biggie, maana yeye akishakabidhi report mwenye kazi ya kuendelea nayo ni alemtuma. Hata ile report ya Rushwa mfano Serikali ingeamua kuivalia njuga na kukamata wahusika, kama kuna ambae angeipinga basi Warioba angewajibika kuijibu kama anavyofanya now. But waliomtuma waliamua kuikalia baada ya kuona inawahusu watu wanaohusiana nao.

Kwenye blue sekta nyingi za serikali zimejaa watu serikali, ambao kwa wasiojua kutenganisha basi zimejaa makada wa CCM. Ubaya tu ni kua CCM ilishawa-corrupt wajumbe wa kada mbalimbali serikalini kushinikiza serikali 2. Na hata wajumbe wa serikali za mitaa ambao wengi wao ni wa CCm waliamriwa kuhakikisha wanawapitisha watu wa CCM kwenye mabaraza ya katiba ili iwe rahisi kuwarubuni. Kana kwamba haitoshi, Nape Nauye akatumia muda mwingi tu kuandaa mikutano mbalimbali na makada wenu wa CCM kuwashawishi kutokubali serikali 3. Kwa kujua hili ndio maana Warioba na Tume yake waliwapiga chenga haya makundi.

Warioba katika mahojiano yale ya jana amesisitiza kitu kimoja, kuwa iwe sample ilikua ndogo au haikutosha, iwe amechakachua au lah, wanaompinga hawasikilizi au hawajibu "contents za hoja" zilizotolewa na wananchi, bali wanatumia sababu zao binafsi zisizo na mashiko. Nawe umeenda kulekule kwamba ktika paragraph zako zote hapo juu, hakuna hata moja uliyojibu hoja za wananchi wa Zanzibar au wa Bara.

Msimlaumu ametumwa na Bulembo mzee 7class.Katumwa na jumuiya ya wazazi.kiboko yenu Butiku bora warioba analemba
 
- Soma tena mada kaka hapa sijauliza credibility ya Warioba ninauliza anataka nini maana anayoyafanya sio madogo anatafuta nini hasa?

Le Mutuz System

Good question.

Anachokiongea Warioba is akin to university material halafu watu wengine (kama wewe) ambao kwa muktadha huu ni kama bado wapo kindergarten eti wanataka kulazimisha kuelewa.

Ukikua utajua tu, so be patient.
 
Sometimes the type of argument we 'persuaded' to engage in is what my professor of logic used to call "intellectual masturbation".
 
- Sasa hivi anaharibu kaka kwenye siasa huwezi kufanya anayoyafanya sasa hivi anazidi kuipa nafasi CCM na hoja ya Serikali 2 kuimarika zaidi, the more anavyopiga kelele ni the more anatushitua wengi CCM kwamba ana agenda flani hasa knowing nyendo zake nyingi za siri na upinzani sasa huu ndio mwisho wao, aibu!!

Le Mutuz System
Kikubwa ni kupiga kazi maana kila kundi lina hoja na mwisho wa siku anaeshinda kwa hoja ndio mshindi, nilipenda hotuba ya maalimu Seif ambayo aliitoa kama Makamu wa kwanza wa raisi alijitahidi kutoa hoja akiwa neutral na kuomba kila kundi kusikilizwa pia maamuzi yatayofanyika lile kundi litakaloshindwa likubaliane. Huwa inarushwa TBC radio kwa kutoa highlight mbalimbali
 
FaizaFoxy, nakushuru kwa kumwelewa Jaji Warioba na ndiyo maana amesema kwa hali ya sasa 1+2=3. Serikali ziko mbili na nchi ni mbili; hivyo kuainisha Muungano hukwepi nchi nyingine kupata identity yake. 1+1=2 ilikuwa enzi hizo.
 
Last edited by a moderator:
- Kuna swali moja linanitatanisha sana kwamba exactly Warioba anachokitaka hasa ni nini? Ameteuliwa kuongoza tume ya kukusanya maoni na sio siri badala ya kukusanya maoni ametengeza maoni na kuwa shujaa wa kutupasua Taifa, sasa ameshakabidhi maoni lakini kila siku kwenye vyombo vya habari kushindana na wasiotaka Serikali 3 WHY? Jana kuna mahali kwa maneno yake mwenyewe amesema kuna sehemu ambazo alijua kwamba Viongozi wa CCM wamepitia kwa hiyo maoni ya wananchi wake hakuyasikiliza kwa sababu aliamini wameambiwa cha kusema, sasa huo utaalamu Warioba ameutoa wapi na ni kweli Sheria ya Tume ilimruhusu kuamua achukue maoni ya nani na aache ya nani?

- Warioba nminataka kuamini ni msomi amewakilisha maoni yake kama alivyoombwa na Taifa, sasa vita ya nini hasa na wasiokubali maoni yake? Kwa kweli ninapata taabu sana kumuelewa sijawahi kusikia wala kuona something like this before, Warioba aliongoza Kamati kama hii ya Rushwa chini ya utawala wa Mkapa, kwanza hata ile ripoti sijui iliiishia wapi na sijawahi kumsikia Warioba akilalamika au akitetea ile ripoti, sasa kwenye hili la kulilia Serikali ya Tanganyika mbona ana vita vikubwa sana na Taifa kwamba ni lazima wote tukubali mawazo yake tu?

- AT SOME POINT SASA CCM TUKAE CHINI NA KUTAFAKARI EXCATLY HUYU MZEE ANATAKA NINI KWENYE CRIMINOLOGY TUNASEMA THERE IS SOMETHING BIGGER THAT WHAT WE ARE SEEING HERE WITH OUR EYES, HAIWEZEKANI NA NINASHINDWA KUAMINI KINACHOENDELEA, Warioba ameshawakilisha maoni ya supposedly tume yake na kwamba ndio maoni ya wananchi, mjumbe wa Bakwata amesimama bungeni na kusema wazi kwamba kilichosemwa kwenye Tume ya Warioba sicho walichomwambia, tunaambiwa kwamba kuna sekta nyingi sana za Serikali ambazo zilitaka Serikali 2 Warioba wala hakuweka maoni yao kwenye Rasimu, I mean why all these from one man?

- HIVI KWELI CCM MPAKA TUMEJIRIDHISHA KWAMBA WARIOBA NI ONE MAN DOING ALL THESE OPPOSITION? HAPANA MIMI SIAMINI KABISA KUNA SOMETHING BIGGER THAN WHAT WE ARE SEEEING WITH OUR EYES WHAT IS THAT? WHAT IS THAT? WHO IS INVOLVED? WHERE? WHY? WHAT?

- I MEAN CCM NA WALE WOTE TUNAOTAKA SERIKALI 2 NI LAZIMA TUKAE CHINI NA KUTAFAKARI ZAIDI YA TUNAVYOFANYA SASA, SOMETHING IS A MISS HERE LAZIMA KUNA A BIGGER PICTURE BEHIND ALL THESE!!

- SOMA GAZETI LA JAMBO LEO JUMAPILI I WILL BREAK DOWN THESE THINGS KAMA KAWAIDA WARIOBA ANATAKA NINI HASA?

Le Mutuz System

....kati ya wazushi wajingajinga huko ccm wanaomwandama mzee Warioba nawe juha umo....hivi wewe na Warioba nani wa kumwongoza mwenzake??...nyie wazushi njaa ni janga kubwa hata huko ccm....Msikilize kwa makini babu yako Kingunge alichosema bungeni ili upate akili ya kujadili anayosimamia Warioba.....huyu mzee si mnafiki kama nyie wengine...ndio maana mnamuona adui.....maana hata hatima yenu hamuijui...endapo uchafu uliomo umo ccm utafanyiwa kazi....kama Warioba anavyawaambia bila unafiki....Kabla hujaanza kumjadili Warioba....jiangalie kwanza wewe mwenyewe na mchango wako huko ccm...alafu ndio umseme Warioba...idiot!!
 
Hoja yake mpaka sasa haina nguvu,kuna mengi ya kupambanua cku si nyingi na watanzani mtajuwa ni kwa nn tunataka serikali 2 na c 3

Hivi ni hoja yake au ni hoja ya watanzania? Mnataka serikali 2 ni akina nani nyie?
 
....kati ya wazushi wajingajinga huko ccm wanaomwandama mzee Warioba nawe juha umo....hivi wewe na Warioba nani wa kumwongoza mwenzake??...nyie wazushi njaa ni janga kubwa hata huko ccm....Msikilize kwa makini babu yako Kingunge alichosema bungeni ili upate akili ya kujadili anayosimamia Warioba.....huyu mzee si mnafiki kama nyie wengine...ndio maana mnamuona adui.....maana hata hatima yenu hamuijui...endapo uchafu uliomo umo ccm utafanyiwa kazi....kama Warioba anavyawaambia bila unafiki....Kabla hujaanza kumjadili Warioba....jiangalie kwanza wewe mwenyewe na mchango wako huko ccm...alafu ndio umseme Warioba...idiot!!

- Nimeuliza Warioba anataka nini hasa? Kaka unasema una elimu kubwa na hizi nonsense ulizoandika ndio jibu lake? ha! ha1

Le Mutuz System
 
Good question.

Anachokiongea Warioba is akin to university material halafu watu wengine (kama wewe) ambao kwa muktadha huu ni kama bado wapo kindergarten eti wanataka kulazimisha kuelewa.

Ukikua utajua tu, so be patient.

- Warioba anajua kwamba bungeni kwenye uamuzi hakuna kura za Serikali 3 sasa anapigania nini hasa? Mimi naomba kusema wazi bila kuficha sina heshima na kiongozi yoyote anayeshauri kuvunja Muungano, ili u-replace na nini hasa?

Le Mutuz System
 
Back
Top Bottom