Warioba Anataka Nini Hasa?

Warioba Anataka Nini Hasa?

- Kuna swali moja linanitatanisha sana kwamba exactly Warioba anachokitaka hasa ni nini? Ameteuliwa kuongoza tume ya kukusanya maoni na sio siri badala ya kukusanya maoni ametengeza maoni na kuwa shujaa wa kutupasua Taifa, sasa ameshakabidhi maoni lakini kila siku kwenye vyombo vya habari kushindana na wasiotaka Serikali 3 WHY? Jana kuna mahali kwa maneno yake mwenyewe amesema kuna sehemu ambazo alijua kwamba Viongozi wa CCM wamepitia kwa hiyo maoni ya wananchi wake hakuyasikiliza kwa sababu aliamini wameambiwa cha kusema, sasa huo utaalamu Warioba ameutoa wapi na ni kweli Sheria ya Tume ilimruhusu kuamua achukue maoni ya nani na aache ya nani?

- Warioba nminataka kuamini ni msomi amewakilisha maoni yake kama alivyoombwa na Taifa, sasa vita ya nini hasa na wasiokubali maoni yake? Kwa kweli ninapata taabu sana kumuelewa sijawahi kusikia wala kuona something like this before, Warioba aliongoza Kamati kama hii ya Rushwa chini ya utawala wa Mkapa, kwanza hata ile ripoti sijui iliiishia wapi na sijawahi kumsikia Warioba akilalamika au akitetea ile ripoti, sasa kwenye hili la kulilia Serikali ya Tanganyika mbona ana vita vikubwa sana na Taifa kwamba ni lazima wote tukubali mawazo yake tu?

- AT SOME POINT SASA CCM TUKAE CHINI NA KUTAFAKARI EXCATLY HUYU MZEE ANATAKA NINI KWENYE CRIMINOLOGY TUNASEMA THERE IS SOMETHING BIGGER THAT WHAT WE ARE SEEING HERE WITH OUR EYES, HAIWEZEKANI NA NINASHINDWA KUAMINI KINACHOENDELEA, Warioba ameshawakilisha maoni ya supposedly tume yake na kwamba ndio maoni ya wananchi, mjumbe wa Bakwata amesimama bungeni na kusema wazi kwamba kilichosemwa kwenye Tume ya Warioba sicho walichomwambia, tunaambiwa kwamba kuna sekta nyingi sana za Serikali ambazo zilitaka Serikali 2 Warioba wala hakuweka maoni yao kwenye Rasimu, I mean why all these from one man?

- HIVI KWELI CCM MPAKA TUMEJIRIDHISHA KWAMBA WARIOBA NI ONE MAN DOING ALL THESE OPPOSITION? HAPANA MIMI SIAMINI KABISA KUNA SOMETHING BIGGER THAN WHAT WE ARE SEEEING WITH OUR EYES WHAT IS THAT? WHAT IS THAT? WHO IS INVOLVED? WHERE? WHY? WHAT?

- I MEAN CCM NA WALE WOTE TUNAOTAKA SERIKALI 2 NI LAZIMA TUKAE CHINI NA KUTAFAKARI ZAIDI YA TUNAVYOFANYA SASA, SOMETHING IS A MISS HERE LAZIMA KUNA A BIGGER PICTURE BEHIND ALL THESE!!

- SOMA GAZETI LA JAMBO LEO JUMAPILI I WILL BREAK DOWN THESE THINGS KAMA KAWAIDA WARIOBA ANATAKA NINI HASA?

Le Mutuz System

Katiba haimruhusu kutoa maoni yake ili mradi havunji sheria? Kelele za chura hazizuii ngo'ombe kunywa maji I guess!!!
 
Malecela upo Sahihi Warioba sio Mungu ni wapotofu wanaosema Huwezi kumkosoa Asokoselewa ni MUNGU PEKEE , Wengine wote wanakosolewa tu JAPO ni KWA HOJA NA SI MATUSI.
Misingi wa Hoja ya Serikali 3 ni Kuwa eti ni Maoni ya Watanzania Wengi,TAKWIMU ZAO WENYEWE ZINAWAUMBUA KUWA HILI SI SAHIHI.
HITIMISHO linalotokana na TAKWIMU ZA "KUPIKA" haliwezi Kuwa HITIMISHO SAHIHI ni BATILI TOKEA AWALI Lugha ya Kisheria "VOID AB INITIO"
CCM walipita,CDM ,CUF nk nk Lakini akachagua CCM tu why???? kaons CCM tu.....????
Ukweli alijua JK Mbaya wao(MWALIMU NYERERE FOUNDATION) atabaki ktk Historia Kama Kiongozi aliyewezesha KATIBA ya Wananchi WENYEWE.
Wao wakaona ni sehemu ya KU SETTLE SCORES kwa Kuanzisha Mchakato wa UASI SERIKALI 3 ili JK aonekane amevunja LULU YA MUUNGANO kupitia NIA Njema ya Mchakato wa KATIBA.
WARIOBA na Baadhi ya Watu Ndani ya Timu Yake SI wote Hawakuwa na NIA Njema na JK binafsi kwa a Wachambuzi Makini Wanajua Hilo!!
Taasisi Yao ikimshambulia Mfululizo Miaka ya mwanzo wa Kipindi Cha Pili wa Miaka 5 ya mwisho, Airport akirejea toka USA alipohojiwa kuhusu Mashambulizi ya Taasisi ya Nyerere Foundation ikiongozwa na BUTIKU,SALIM,WARIOBA wote Wajumbe WAANDAMIZI WA TUME YA KATIBA ALIMJIBU MUANDISHI Yule aliyeuliza Swali Nanukuu "wewe hujui kwa NINI wananishambulia mimi na Serikali Yangu???, Hakika Ningeshangaa Saana Kama Wangenisifia, katika Dunia Hii Huwezi Kusifiwa/kupendwa na watu wote Hatua Ungekuwa Mwema kiasi Gani ,Asilimia 15 watakupenda,15%watakuchukia,60% watafuata upepo" mwisho wa kumnukuu JK.
JK Alitumia Busara ya Wazee "Mchawi Mpe Mwanao Akulelee" Ila Mchawi Huyu AKAMPA SUMU MTOTO WA JK Hakumlea Vema.
Ukweli utajulikana tu
William upo Sahihi Kabisa


Acheni akili k i c h a a, hivi mlitaka Tume iwahoji watanzania wote kwa muda mfupi kama huo, mnaijua Tanzania kweli au mnaongozwa na akili za bange. Hivi mna habari wanaosafiri kwa basi mwendo mdundo kuelekea Bukoba lazima walale njiani?

Aliowahoji wanatosha kwa sampling. Halafu mkae mkijua kama mnatoka mikoa isiyokuwa na upinzani kwa CCM, hamuwezi kuwa na akili ya kukabili changamoto za mageuzi.

Nawasilisha hoja mpate akili nzuri, muondokane na k i c h a a
 
Napata ukakasi huko tunapokwenda. naona kabisa CCM huo ndio mwisho wao wa kufikiri. Lakini chochote chenye mwanzo kina mwisho.Fanyeni yote mnayotaka kufanya lakini Dunia isipowahukumu basi Mbingu itawahukumu kwani hata uwe mtu wa namna gani lazima uingie futi 6 chini ya ardhi. Kuna watu hatuna maji, tunateseka sana na shida ya maji hapahapa Dar ambapo wengine maji ni masaa 24 majumbani mwao. Ipo siku wananchi tutashindwa kuvumilia tutawafuata huko huko mnapoishi. kwani inaonekana kabisa hizi shida muhimu za binadanu wote wengine hamzijui, mnakaa bungeni mnaongea pumba, mnabishana pumba, halafu serikali inawapa laki 3 kwa siku. Kwani huo muungano lazima uwepo, futilia mbali kabisa, mimi sitaki hata kuusikia, kwasababu mimi kama mtanzania wa kawaida haunisaidii chochote. Nchi hii inanuka, watu mnanuka, mlaaniwe.
 
Nyie CCM mnamtukana Warioba kiasi cha kumzushia kwamba aliwahi kutoa rushwa na kufungiwa kugombea wakati sio kweli. Yeye anyamaze tu!! Wacha aseme kama mna hoja mjibuni sio kutikana na kumkashifu. Judge Kisanga alinyamaza lakini aliumia Warioba hataki yamtokee yale. He is a fighter.
 
- Kuna swali moja linanitatanisha sana kwamba exactly Warioba anachokitaka hasa ni nini? Ameteuliwa kuongoza tume ya kukusanya maoni na sio siri badala ya kukusanya maoni ametengeza maoni na kuwa shujaa wa kutupasua Taifa, sasa ameshakabidhi maoni lakini kila siku kwenye vyombo vya habari kushindana na wasiotaka Serikali 3 WHY? Jana kuna mahali kwa maneno yake mwenyewe amesema kuna sehemu ambazo alijua kwamba Viongozi wa CCM wamepitia kwa hiyo maoni ya wananchi wake hakuyasikiliza kwa sababu aliamini wameambiwa cha kusema, sasa huo utaalamu Warioba ameutoa wapi na ni kweli Sheria ya Tume ilimruhusu kuamua achukue maoni ya nani na aache ya nani?


Le Mutuz System


Mnahamngaika nini?

Itisheni kura ya Maoni -TANGANYIKA NA ZANZIBAR na msichague wapiga kura!
Kuanzia age 18yrs ilimradi ni mtanzania apige kura kusema YES AU NO KWA AINA YA MUUNGANO.

1.SERIKALI MOJA NCHI MOJA

2.SERIKALI MBILI NCHI MOJA

3.SERIKALI MBILI NCHI MBILI

3.SERIKALI TATU NCHI MOJA.

Vijembe vyenu kwa Jaji Warioba haitawasaidia zaidi ya kuwa mtaumbuka.

Ni wazi kuwa mmewanunua baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba na hasa wasiojitambua na mmejisahau na kudhani Nchi hii CCM ina hati nayo.
 
Nimekaa na nimetafakari hasa ni kitu gani huyu warioba anakitafuta na nimekuja kugundua kuwa anachokitaka hasa si chochote ila ni kuvunja muungano.Ukifuatilia kwa makini kazi yake rasmi ilishakwisha wakati wa tume ilipowasilisha ripoti kwa rais lakini ni kwa nini yeye amekuwa ndo kihelehele haswa kushinda wengine kutaka kujibishana na kila mtanzania dhidi ya upotofu wa mawazo yake na kutaka kila mtanzania afikiri kama anavyofikiri yeye!! hii inamaanisha kuwa akiwaambia watanzania kuwa bangi ni nzuri tu iruhusiwe basi anataka wazazi wote wamkubalie na atakaye pingana naye basi ujue ni ugomvi!! ndio mambo anayotaka kutuletea huyu mzee hapa kwetu na hizi pilika pilika zake za kutaka kuvunja muungano sa sijui ana ndoto za kugombea urais baadae kwa hii publicity stunt anayoifanya sasa??
Anakasirika sana pale anapoambiwa kuwa mawazo yake siyo yale ya watz kwani kwenye ripoti inaonyesha kuwa zaidi ya 60% ya watz wote waliopiga kura hawakuzungumzia suala la muungano hii inamaanisha kuwa walilidhika nao na ni % chache tu waliotaka serkali 3 na ya mkataba sasa hawa waliowengi ambao wameridhika na mfumo uliopo mbona unawalishia maneno ambayo hawakuyasema??
Kwa kweli huyu mzee mi ananichefua kabisa na hizi itikadi zake wakati mwingine nasikia tetesi kuwa eti anataka salim awe ndo rais wa muungano baada ya kukosa mwaka 85 kiti hicho kwa hiyo anataka kumpa kiti hicho kupitia mlango wa nyuma,maajabu ya musa haya!!
Pia anatabia ya kuwasemea waznzbr mi nachotaka kumwambia kuwa mi ni mbara lakini nimekaa znznbr miaka 6 na nimerudi mwaka jana tu nataka nimweleweshe kuwa waznzbr ambao hasa ni waunguja wao wanataka muundo huu uliopo bali uboreshwe tu hao anaowasema yeye wanataka serkali 3 ni wapemba wa kwao huko pemba ila wanaishi pale znzbr na ndio wanaopiga makelele na ndio ambao kwao ni masikini kushinda wote,na umasikini wao haukusababishwa na bara huku bali ni wakihistoria kwani wao waliyakataa mapinduzi na adhabu yao karume aliyowapa ndio hiyo ya kutokuwaendeleza sasa kikwete kaja kawapa rais mpemba,makamu wa rais,umeme labda wataridhika lakini wapi!! kumbe ni kweli yale maneno yasemwayo na waunguja kuwa hata umtendee wema mpemba kiasi gani hana shukrani.
Kwa hiyo warioba aache polojo zake waunguja ambao ni wengi na ambao asili yao ni bara wanataka muundo huu uendelee ila uboreshwe tu bado wanawataka ndugu zao wa bara hao wapemba kwanza wengi wao walishaukana uafrka na wanajiconsider wao ni waarabu ndo wanaotaka kujitenga wajiunge na nchi za kiarabu kwa hiyo warioba dont be pawn in a chess game which you dont even know father.
 
Huyu mzee kama sio shoga ntashangaa sana ..dume zima linabinua binua midomo wakati wa kuongea si upunga huu
 
Kabla hujaandika yote hayo ungejibu kwanza maswali yake saba vinginevyo usitafute huruma ?
 
Hili suala la kuvunja muungano kwa Warioba limetoka wapi?kwenye rasimu ya katiba sijaona kitu kama hicho au mimi sijui kusoma.
 
Hvi wale makomandoo wenu waliosomea kung'oa kucha na meno hawapo tena? Inamana wamesahau majukumu yao wale wote wanaikosoa ccm kucha na macho halali yao. Mbona mnapenda kulalamika kama mmeshikwa kwenye tigo. Poor ccm.
 
Hataki kuvunja muungano. katiba imechakachuliwa, katiba ya znz imeizidi nguvu ya muungano, Bunge la tanzania liko chini ya Baraza la wawakilishi, Amani karume.katiba hiyo inakipengele ili kuibadili lazima ipigwe kura ya maoni kwa wananchi wote na ipatikane 2/3 ya waliopiga kura ndio ibadilishwe. hilo litawezekanaje wakati unguja ni ccm na cuf kidogo na pemba ni cuf watupu?

wakati haya yakifanyika kikwete alikuwa wapi kama kiongozi wa nchi na kiongozi wa ccm.

Je unajua Amani Karume alikuwa akisusia vikao vya baraza la mawaziri kwa kigezo kuwa yeye sio waziri bali ni rais? unajua sababu ya amani karume kuzomewa na wanaccm dodoma akiachia nafasi yake ya umakamu mwenyekiti?unajua sababu ya Amani karume kutokuhudhuria kikao chochote cha ccm akiwa na shati la ccm na badala yake alikuwa anavaa kaunda suti.

Sasa kama ni hivyo kwa nini kumlaumu warioba? kama watanganyika wanaishi kama wageni znz na hakuna uwezekano wa kubadili hilo ni sawa ya tanganyika waishi kama wakiwa kwao znz?Grand Master Dulla
 
Hivi mtoa mada Unataka nini hasa?

.
Hata mimi nashindwa kumuelewa achotaka.
Ati anauliza Warioba anataka nini na anatarajia sisi ndio tumpe jibu la anachotaka Warioba.
Sijaona kingine anachotaka Warioba zaidi ya kusisitiza maoni ya wananchi walio wengi yaheshimiwe. Hivyo ndivyo tu tunaweza kumsaidia Malesela.
Halafu kwa nyongeza ni kwamba waliomwita Warioba kuja ktk vyombo vya habari kufafanua ni ciciem wenyewe kwa kitendo chao cha akili ndogo ya kuacha kujadili hoja na kuanza kumshambullia mtu kibinagsi.
.
 
Upotoshwaji wowote lazima ujibiwe naona inawauma sana akiwajibu, msije tu mkampeleka kwenye ule msitu wenu, halafu kwa taarifa yako wananchi hawakupiga kura walitoa maoni yao! Warioba endelea kuclear kila upotoshaji unaotolewa,

Halafu mkuu deni la taifa limefika tirioni 40 unasemaje hapa? achana na Warioba!
 
We grand master Dulla ndo si mtu mzuri. Ile kichwa ya Wrioba iko vizuri huwezi ukalinganisha uwezo wake nawewe kichwa cha Nazi.
 
Back
Top Bottom