Warembo wangu, upo tayari kufunga ndoa bila sherehe?

Hahhaa yaani kaka angu akiwa na function yoyote kwake, anatoa taarifa usiku wa kuamkia siku ya tukio. Mwenyewe anakwambia kabisa "nikiwaambia mapema, nawajua nyie wanyaki hamnaga shughuli ndogo kabisa". Sasa pamoja na kupewa taarifa late, na kwa uchache wetu subiri hilo vibe lake sasa teh.

Ila kwa tunavyoliaga misibani vile, wacha tu kwenye jambo la furaha tuserebuke kwa raha zetu

Yaani huwezi kututenganisha na sherehe kabisa! Mfano sahivi ndugu zangu wanajisemesha "hivi mwaka huu hatuna sherehe/harusi yoyote jamani, we financial services huolewi tu tusherekee"
 
Hahhaa yaani kaka angu akiwa na function yoyote kwake, anatoa taarifa usiku wa kuamkia siku ya tukio. Mwenyewe anakwambia kabisa "nikiwaambia mapema, nawajua nyie wanyaki hamnaga shughuli ndogo kabisa". Sasa pamoja na kupewa taarifa late, na kwa uchache wetu subiri hilo vibe lake sasa teh.

Ila kwa tunavyoliaga misibani vile, wacha tu kwenye jambo la furaha tuserebuke kwa raha zetu

Wanyaki wanapatikana mkoa gani mkuu?
 
Hakuna tena heshima ya ndoa. Siku hizi watu wanaanza kubanduana na kuishi kama wapo kwenye ndoa, wanafanya ya kwenye ndoa kabla ya ndoa.

Ndoa yenye heshima ni ile tu ambayo ambayo wahusika wanakuwa hawajabanduana, hao pekee ndio wana stahili hata sherehe, ila hao wengine wapige kimya kimya tu

Mtu anaishi na binti hadi kuzaanae ilihali bado hawajafunga ndoa. Huo ni upumbavu
 
Wote tunafahamu kuwa suala la ndoa ni jambo la heshima na baraka katika misingi ya kijamii na kiimani.

Swala la kufanya ndoa kama sherehe kubwa liko katika maamuzi na mapenzi ya wanandoa wenyewe japo linaweza chagizwa na wazazi ama walezi pia.

Leo nataka nipate tathmini kutoka kwa wachumba esp. wadada je, wewe upo tayari kufunga ndoa bila kuinvolve sherehe?
Yes my true story.,mm nishafanya ya ivo bila sherehe wala kumchangisha mtu and am happy na ndoa yang,ni iv mmewangu yy hana wazaz na alizaliwa pekee ake na ndugu aliyenae ni shangaz na nae ndio hana upendo ,sherehe nayo lazima ndugu zako wahusike kwa kias wote tunajua,mme wangu alisema naomba tusifanye sherehe,sina ndugu marafk pia wachache ninao,bas wakt ananiambia akasema katafakar utanipa jibu..mm nikamjibu hapo hapo tufunge tu haina shida..hakuamin coz hapo nilikuwa binti tu miaka 23,tulifanya matangazo ya ndoa kwa kanisa..zen tukafunga ila mme wangu alijichanga pesa tukaenda tu honeymoon kwa week mbili sehem nzur tu..namshukuru Mungu tunaishi vzr mwez wa sita tunatimiza miaka3 ya ndoa..lkn kuna changamoto ya maneno nilisemwa ndugu zangu wa pemben marafk waliniona huyu vip kias cousin wangu alisema iv ww binti mdg kwann unaolewa bila sherehe wakat ndugu zako tupo eeh kwani tumeshindwa kuchanga,pia nashukuru aliyekuwa anatusupport ni Baba yangu alimuita mmewangu akasema km mpo na furaha na mwanangu ana furaha mm nawafurahia pia,ndio maana Baba angu na mme wangu ni marafiki wazuri hadi ivi,nawapenda mno na ndoa yetu inafuraha na kumbukumbu ya picha ipo maisha yanaenda.
 
Back
Top Bottom