Mpandisha mishahara
JF-Expert Member
- Mar 1, 2014
- 1,699
- 1,455
Inapendwa na wengi mno, Sikuwaza Jambo lolote.Mkuu hii ID yako nimeipenda sn.Uliwaza nn hasa?
Inapendwa na wengi mno, Sikuwaza Jambo lolote.Mkuu hii ID yako nimeipenda sn.Uliwaza nn hasa?
My crush.sidhani kama unanifikia wewe, mimi nacheka hadi naudhi. Napenda ujinga hatari. Mwanaume asiyependa kucheka simpendi
Tangu uliponiahidi kunipandishia mshahara afu hola nikaona niadimike tu mkuu😂Umeadimika.
Nice meeting yaMy crush.
MrejeshoNiko Tayari bila kupepesa macho, achague yeye sasa.. tukitoka kufunga ndoa twende kazini au twenzetu home tukapige game
Fanya figisu uwachike hapo ili uwolewe tenaNimeolewa na nilijitahidi harusi iwe ndogo iwezekanavyo na kwa kiasi flani tulifanikiwa.
Ila ningepata nafasi nyingine sitaki sherehe hata ndogo.
Wanawake wa kileo watakubali kweli? waache kuwatambia akina mwafulani?Hii inapendeza 😂😂😂 maana mgeni mualikwa ni pasta au shehe tu.