Warembo wananikataa, sijajua nakosea wapi I'm really stressed up

Aje kwangu nitampenda. Asisahau tu hela zake..
Sasa kama mtu ana hela,then anashindwa kumiliki watoto wazuri,sijui asaidiweje huyu ndugu yetu!
Inabidi wapatikane wadada wa mujini wamsaidie kutumia hela!!
 
Sasa kama mtu ana hela,then anashindwa kumiliki watoto wazuri,sijui asaidiweje huyu ndugu yetu!
Inabidi wapatikane wadada wa mujini wamsaidie kutumia hela!!
Atakua ni MTU anaeboa pia akikaa na warembo. MTU haenjoy uwepo wake hata Kama hela IPO. Anakaa na MTU hata kumchekesha hawezi
 
Pole sana...

Umetaja sifa zako nzuri tu, weka na mapungufu yako pia... hayo ndiyo yatakua yanawakera wanawake...


Cc: mahondaw
 
Tatizo lako nilifahamu ngoja nitarudi nikushauri.
 
We unakaa na demu miezi 6 ujamtongoza c uzwazwa huo hata CIA hawawezi kuchunguza kwa muda wote huo we hata ukikutana nae cku ya kwnz mtongoze wazungu hawakukosea kusema love at the 1st sight asee
 
Tatizo lako wanawake wanakuona kwa mtizamo tofauti huna mvuto upo ka kinyago cha mwenge, tumia ndoo kuoga ukimaliza kuoga bakisha maji kidogo yasukume kwa mguu wa kushoto alafu taja jina la mwanamke ambae utamtongoza zingatia jina unalitaja mara tatu
Senior Gambler... mzee wa kubeti kumbe na ww upo upo kwenye mambo ya mahusiano mi nikajua we ni mzee wa tips tu
 
We unakaa na demu miezi 6 ujamtongoza c uzwazwa huo hata CIA hawawezi kuchunguza kwa muda wote huo we hata ukikutana nae cku ya kwnz mtongoze wazungu hawakukosea kusema love at the 1st sight asee
Ndio tatizo lake yuko too nice ndio maana mpaka mademu wanamuonea huruma wew kama mwanaume unamuweka demu miezi sita ndani ya miezi sita huyo demu kashatongozwa mara mia moja wewe bado unajivuta.
 
Ok iko hivi, wanawake wengi wenye upeo kidogo (group ambalo nahis ndo unalolizfukizia) wanataka mwanaume ambaye atamu outsmart kidoogoo sana.... kama wew uko waay beyond ina maana unamjengea hofu tayari, atakuogopa wakati yey anachohitaj ni mtu ambaye atleast they could play an equal part when it comes to building a relationship and life.
Na kama yeye ndo ataku outsmart that means she will get bored easily so no future there....
Kwa wanawake ambao wana upeo na wako mature enough na hawako desperate wanakuwaga na hesabu kali sana... which is very easy for them to spot vitu wasivyovitaka kwa mwanaume mapemaaaaa na kujua kabisa wanaku categorize wapi wew kama a potential suitor au friend zone type of a guy....
Jichunguze na jitathimn...
N:B wanawake wenye upeo are very choosy so be careful around them......
 
Wewe bwana fanya ninayokwambia halafu utakuja kunishukuru

Hakuna mkate mgumu mbele ya chai


Hahaha labda mwanaume uwe mfanyabiashara mwenye pesa nyingi kama za Reginald mengi, ndo utumie kuwapata wanawake wazuri wasiokupenda, la sivyo utafilisika na kufa muda ambao si wako..mm kwakweli kwa hali nliyo nayo mdada kama atataka kunichuna labda anichemshe aninywe supu. Shunie
 
Baadhi yetu tumekuwa tunaishi tu. Hatuna mpenzi. Hatujaribu umalaya. Hatumpendi mtu. Hakuna anayetupenda. Tunajishughulisha tu na kazi zetu, tunakula, tunalala, na kuishi maisha.
nakuja pm unifundishe kua hvi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…