Warembo wananikataa, sijajua nakosea wapi I'm really stressed up

Warembo wananikataa, sijajua nakosea wapi I'm really stressed up

"They like bad boys"
Hii kitu pia nimewahi kusikia, sijui kama ni kweli. Ati ukiwa good boy unakua sio adventurous

Rafiki yangu mmoja mdada amewahi nishambulia kua I'm too kind, too reasonable. Sasa vitu vingine ni mtu unazaliwa hivyo, nikamuuliza nianze kua bandidu, aggressive to everything akakataa kua my kids watapata shida......but yet she said NO afterwards. It's disheartening
 
Jibebe ahaaa jibebeew
Ahsante kwa ushauri, nitauzingatia

Kwa sasa hali niliofikia ni mbaya, hofu ya kukataliwa ni kubwa sana zaidi ya hofu ya kupoteza muda ( na pesa pia ). Naweza kua close sana kwa mdada ila naogopa kumwambia , wish yeye ndie aseme.
 
Hii kitu pia nimewahi kusikia, sijui kama ni kweli. Ati ukiwa good boy unakua sio adventurous

Rafiki yangu mmoja mdada amewahi nishambulia kua I'm too kind, too reasonable. Sasa vitu vingine ni mtu unazaliwa hivyo, nikamuuliza nianze kua bandidu, aggressive to everything akakataa kua my kids watapata shida......but yet she said NO afterwards. It's disheartening
Just come to me u will enjoy trust me
 
Kwa sasa subiri tu waku seduce, wewe uwe mshuhudiaji tu maana ukiwaanza wewe mna end up ku break up.
 
Hbr JF,

Naombeni msaada wenu wa mawazo. Kwa zaidi ya miaka sita sasa nimeshindwa kupata relationship inayoeleweka, nyingi zinakufa hata kabla hazijaanza. Relationship yangu ya kwanza ilikufa kwa kua gf alitaka ndoa na mie ndio nilikua nimetoka chuo sina mbele wala nyuma akaamua tuachane. Baadhi ya wadada ambao niliwasihi sana waniambie kwa nini wanahisi hawawezi kua na mimi wameishia kusema "I'm too good to them", "I 'm too kind" wanaogopa kuniharibia....hivo. etc

My last attempt ilikua weekend iliyopita, nilitoswa baada ya kufukuzia kwa muda mrefu sana. Yaani naambiwa tu kama ni urafiki wa kawaida it's ok ila sio mahusiano na mdada ambae anakiri kua hana mtu na tumekua marafiki kwa miezi zaidi ya 6. Katika urafiki wetu huo nimejitahidi kua karibu nae, zawadi zawadi hata outings kwa sana tu hadi najiuliza nifanye nini zaidi na hawa viumbe.

Binafsi sio mbahili na pesa sio tatizo sana namshukuru Mungu kwa hilo, ila pia kutokana na shughuli zangu nakua busy mno kwa hiyo inaniuma vile navyoweza ku sacrifice muda wangu kua karibu na mtu nikiamini kuna kitu nakijenga kumbe nampigia mbuzi gitaa. Imefikia hatua nawaogopa wadada wa kibongo, natamani labda nitafute raia wa nchi nyingine / mzungu etc.

Wiki hii nzima nimekua nikiwaza na kuwazua nakosea wapi. Umri nao unasonga, hakuna gf wala mchumba inanipa stress sana sana. Kijana ukishafika miaka 30+ , shule umeenda na una ajira/shughuli za kukuingizia kipato cha kutosha kila mtu anatarajia kuona unakua na familia, maswali ya unaoa lini yamekua mengi hadi wakati mwingine napanic vibaya sana.

Kama kuna mdau anaemfahamu mwanasaikolojia wa mahusiano , naomba aniunge nae nipate na ushauri wa kitaalamu pia.
ITAKUWA UNAJINI MAIMUNA KAKA
 
Cheza ligi zako acha ligi zilizokuzidi kila kitu.

1. kuna wanaume ambao kwenye mapenzi hawana mchango wowote zaidi ya kuwa waaminifu kwenye mapenzi... hawa sio wa kuwa nao.

2. Kuna wanawake kwenye mahusiano hawawezi kuleta lolote zaidi ya kupanua miguu hawa nao sio wa kuwa nao.
 
Usikate tamaa muombe Mungu atakupa haja ya moyo wako, kila jambo lina wakati wake, wakati wa Bwana ukifika atakupatia wa kufanana nae.
 
Truth is unaonekana upo too perfect ...
Kuwa mtu too perfect yawezekana ukawa too complicated kwa baadhi ya watu wa umri fulani

Pengine unataka kuwa na watoto wazuri uliowazidi umri wakati wao hawana malengo makubwa kwa sasa kutokana na umri na ndo maana wanakuona kuwa upo too perfect kwao.. aidha uchague mtu aliyepevuka sana na anaeweza kuendana na wewe..
Hayo mambo ya kuonekana unamiliki mtoto mkare na hauna furaha ni upuuzi..

Kingine acha ubinafsi... just because you sacrifise your time for them it doesnt give you the guarantee of having them in your life..kumbuka hata kwao wewe hauna tofauti kubwa na wengine wanaowatongoza..

acha kujihisi TOO SPECIAL na upunguze pia kuwa TOO PERFECT na uache kabisa kuwa TOO DESPERATE..
 
Cheza ligi zako acha ligi zilizokuzidi kila kitu.

1. kuna wanaume ambao kwenye mapenzi hawana mchango wowote zaidi ya kuwa waaminifu kwenye mapenzi... hawa sio wa kuwa nao.

2. Kuna wanawake kwenye mahusiano hawawezi kuleta lolote zaidi ya kupanua miguu hawa nao sio wa kuwa nao.
ahahaaaaa hyo namba 1 ndo nimeona, namba 2 sioni vizuri.
 
Nimepitia michango ya wadau humu nimegundua na wao hawajalijua tatizo lako.

Mkuu mbali na elimu, kipato na mwonekano, ambavyo bila shaka umekidhi, wanawake hupenda mtu mwenye mtazamo, mtu ambae kauli zake zina mashiko, kitu pekee ambacho mimi nafikiri ndicho unachokikosa na ndio kinachopelekea wewe ku-suffer kiasi hiki.

Ingelikuwa inawezekana ningelikushauri wakati uko na girlfriend mnapiga stori zenu, urekodi mazungumzo yenu halafu unitumie nisikilize ama tusikilize ili kosa lijulikane/libainike.

Hebu jitafakari upya mkuu kisha fanya mabadiliko.
Mkuu nimemshauri vizuri, ni muhimu sana kupima kauli zako kwa mwanamke unaemtaka. Lazima ujue unazungumza na girl wa aje? Hadi post zako kwenye whatsup status, quote zako lazima uweke kulingana na huyo girl...Ko cha msingi unapokuwa kwenye preliminary stage ya urafiki jaribu kumsoma huyo girl ni mtu wa namna gani, usipende kuanza ku disclose sana mambo zako kabla yake.... mdadisi... Hope kwa umr wako unahitaji visionary girl, kama ndio basi hata story zako lazima ziwe postive sana!!!! Wanawake siku hizi wanajifanya wanajitambua sana ko nenda nao kwa strategic kali sanaa!!!
 
Write your reply...jamaa kamata 50000 mkononi mtafute demu yeyote yule mwambie nina ukame nataka nikutomb hii hela ya kwako!.. ndo mapenzi yanaanzia hapo.. ikiwezekana unapiga mimba kabisa,
hao hujifanyaga hawakubali kirahisi!!..fanya hivyo!
 
Naona tatizo liko katika aina ya wanawake unao kuna nao,wengine unakuta wana watu wao,pia wanaona huja match kuwa husband kwao kutokana na status zao,maan wanawake wanaojiona wa status huwa wanaangalia juu,kupata wa status zaidi yao,Pia hata kama sivyo,ukipata huyo msichana,wengi huwa wanapend kukataa,nawe wakishakataa unakata tamaa nao. ,wanawake wanapenda kusotewa au ung'ang'anizi,wakimaanisha wanapima userious wako wewe,.mwanaume ndio anayeweza kuamua uhusiano uendelee au uvunjike.au awe na huyu au asiwe naye,Fanya kitu cha utofauti,outings, caring hata wanaume wakware huwa wanafanya,tena hasa huyo alosema alikua single, ni alitaka relation ila alivyosema no ukampotezea,aply hii theory ya kufuatilia kuonyesha u seriousness
 
Wewe tafuta mwanamke mwenye sifa za kuoa hao ma cctadu,mnapelekana kwenye Cinemax na kula baga watakusumbua sana,umesoma,una kazi umejinadi una ela kwa karne hii mademu kibao wanatafuta chance ya kuwa na mtu kama wewe
 
Back
Top Bottom