BigBaba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,908
- 9,040
katika pita pita zangu huu jf jamaa wa kenya wamekuwa na tambo nyingi na majigambo kibao katika vitu mbalimbali wanavyojenga huko kwao.
vingine kweli wanatuzidi wabongo vingine tunawazidi pia ila wamekuwa wabishi tu kukubali bila hata sababu.
Nmeshangaa mkenya mmoja leo kaanzisha uzi wake Kwa hali hii ya reli ya Mombasa-Nairobi jiandaeni kupokea wakimbizi toka Tz.. . Eti sisi wabongo tutakimbilia kule kwako kisa wale wahudumu wao kwenye hizo train zao za mwendo kasi. Nikajiuliza tangu lini Kenya kumekuwa na Warembo kupita Tz.
Naomba tushindanishe hapa warembo wa tz vs kenya.Nawasilisha wanajukwaa.
cc Tabutupu
Naanza na Hawa wanaojulikana nitakuja na kuku wa kinyeji baadaye.
Flavian.
Jokate.
Vanesa Mdee
Lulu
Shilole
Wema
Tunda
QUOTE="BigBaba, post: 21264952, member: 414486"]Tulianza na wale wanaojulikana wafuatao ni wale wa kitaa (kuku wa kienyeji ) kutoka Tz.
[/QUOTE]