Warembo wa Tanzania vs warembo wa Kenya

Warembo wa Tanzania vs warembo wa Kenya

beauty lies in the eyes of the beholder...every human being was fearfully and wonderfully made by God himself.If you take pleasure in finding fault in His work,suit yourself..
What a nice fact!! Watu wanababaika na picha za kuedit, hawajui km kazi ya Mungu haina makosa.
 
Huyu kama sio editing... ni mbovu balaaaa...
Picha za wanawake wanaosemwa ni warembo kiuhalisia hawako hivyo, make up na editing/photoshop ndio zinazowadanganya watu. Ukiona hadi mtu anajikarabati na make up na ku-edit picha anajijua mwenyewe alivyo.
 
Tulianza na wale wanaojulikana wafuatao ni wale wa kitaa (kuku wa kienyeji ) kutoka Tz.
e245c27a1396b884a02b2c86a9faee68.jpg

d73cb152fd2e88c96372c3938c0def84.jpg

9fb7938c9c1b039767ed5cad1898e757.jpg

1b13f8ef4a1f763e1e9bdd3315baf8db.jpg

a3163cdfe48940a708257074789256c2.jpg
Namfahamu huyu dogo
 
Mademu wa kikenya ni wabaya tuache utani! Nilikua apo jumapili...nimewaangalia kwa makini sana
114da3ba5a83522828af8ddf4f8241fb.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Shishi bebi in tha house...!yo yo yoooo it's ya boy Shishi bebi duh mtani kwa kuniwekea Shishi basi umemaliza hii battle hapo Tz tumeshinda mapema tu hauna haja kuleta wengine.
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
katika pita pita zangu huu jf jamaa wa kenya wamekuwa na tambo nyingi na majigambo kibao katika vitu mbalimbali wanavyojenga huko kwao.

vingine kweli wanatuzidi wabongo vingine tunawazidi pia ila wamekuwa wabishi tu kukubali bila hata sababu.

Nmeshangaa mkenya mmoja leo kaanzisha uzi wake Kwa hali hii ya reli ya Mombasa-Nairobi jiandaeni kupokea wakimbizi toka Tz.. . Eti sisi wabongo tutakimbilia kule kwako kisa wale wahudumu wao kwenye hizo train zao za mwendo kasi. Nikajiuliza tangu lini Kenya kumekuwa na Warembo kupita Tz.
Naomba tushindanishe hapa warembo wa tz vs kenya.Nawasilisha wanajukwaa.

cc Tabutupu

Naanza na Hawa wanaojulikana nitakuja na kuku wa kinyeji baadaye.

ff1e37d900f9226132ccfb6d54c94864.jpg

Flavian.

7c95a134bba4a9eafcc6c99f0913fdb4.jpg

e16a4e1740ae9446b11f581c2f6556d9.jpg

Jokate.
6d8b2f654482b18bb33909366c15b027.jpg

Vanesa Mdee
a84e5f0695703b7be2c8380096c1e788.jpg

1aaf9dcd02e7ff16e749d5ae84a64465.jpg

Lulu
fbaac1bbb08b25bb0c3e17ef513e7b93.jpg

Shilole
cc224c3080d299480eb82d3638f3b35f.jpg

Wema
e8d3b93a2472198a9d3ba3c899c059be.jpg

Tunda
QUOTE="BigBaba, post: 21264952, member: 414486"]Tulianza na wale wanaojulikana wafuatao ni wale wa kitaa (kuku wa kienyeji ) kutoka Tz.
e245c27a1396b884a02b2c86a9faee68.jpg

d73cb152fd2e88c96372c3938c0def84.jpg

9fb7938c9c1b039767ed5cad1898e757.jpg

1b13f8ef4a1f763e1e9bdd3315baf8db.jpg

a3163cdfe48940a708257074789256c2.jpg
[/QUOTE]

Warembo wa Kenya hawa hapa.
fb8554448b4f00e542230cb6811775be.jpg

50dd70b498326683ad82a6b74c2cc56c.jpg

41e09fd383afb20e865c3ba38b607534.jpg

c98cf0dd3bd35399043440d331030cea.jpg

cf66b02da3232d55601226ed288871c8.jpg


Tuangalie tu wenyewe hapo
 
Back
Top Bottom