Fanya jaribio moja, tafuta mwanamke mmoja na mwanaume mmoja, wapeleke wakaishi kwenye eneo la ekari 50, na wawe wanaonana wao tu; baada ya wiki moja kawatembelee, kama hujakuta walishabaiolojiana.
Hata mimi nimeshangaa, ndo maana nimerudi juu kwenye uzi kuangalia mwanzilishi! Kukutana na equation X nimehuzunika sana! Hajawahi kuandika hivi, hata replies zake sio za hivi!
Mbona wamejaa tele Magomeni na Kariako, ILa kama huna hela huwezi kupata hata deserts. Jaribu kwenda Tabora, Shinyanga, Tanga au Zanzbar. huko unaweza pata kiwepesi kama ni mlala hoi.
Mbona wamejaa tele Magomeni na Kariako, ILa kama huna hela huwezi kupata hata deserts. Jaribu kwenda Tabora, Shinyanga, Tanga au Zanzbar. huko unaweza pata kiwepesi kama ni mlala hoi.