Warembo kwanini huwa hamli chakula mnapotoka nyumbani?

Warembo kwanini huwa hamli chakula mnapotoka nyumbani?

Mimi mzima kabisa. Nipo ila simu yangu haileti notifications. Sijui tatizo ni kwa vile its from chaina?? Dah
Sio kwako pekee jirani mie mpaka nishaachana na App kwa sasa natumia Web sababu mwisho wa kupata notification upande wa App ni Feb 14 hadi leo hakuna kitu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Ugogo sio kwamba hawezi makusudi tu.
Mm ndiyo nakwambia wengine kiuno kingumu hata upake mafuta ya nyoyo yanadunda hasa wanaojiona wazuri nitatizo
 
[emoji23][emoji23][emoji23] punguzeni njaa.
Wengine ndo wana bahati mbaya nao sana hao madem.
Mkishaanza mahusiano tu, atapoteza simu smartphone, anataka umnunulie mpya. Atatishiwa kufukuzwa kwenye nyumba aliyopanga kama hajalipa.
[emoji127]
Achana na wanawake sasa uone kama utapata hizo kero.
 
Na wewe unavoenda kukutana nae,fanya mapenzi kabisa,sio unafika unaanza kusema una genye sana
 
Jipange mkuu, kama hujajipanga hakuna haja ya kumuita!
 
Mi nkikutana na demu anaendekeza umaskini namkimbia fasta........ namkubili sana mbebe wangu wa sasa, akija anakua keshaminya kwao, au km hajafinya basi unapompokea lazma yuko na kamfuko ka take away na tuchupa tutatu twa castle light au kabapa kadogo[emoji39][emoji39]...... yani huwa inatokea mara chache tukitoka night ndo huwa napiga hesabu za menyu coz kwanza yeye hapend kutoka toka.

Wanaume lazima turinge bhana eboo... unakula kitu kizuri af bado kinakujali yani.

Sio unakutana na demu sawa ni mkali, lakini lina fumua mizinga kinyama, apo apo bado lina mabasha ka kumi na tatu ivi yako kwe line n active. Akija hm kwako brek ya kwanza kwe friji kabla hajakaa vizur yuko bize na wasap af unamsikia "nna njaa atari" sa mi nkishamskia ivo tu namjibu "njaa iyo veepe" namkata jicho flan iv uku naendelea kubadilisha channel ya tv au nasip fundo la value.

Sitakag ujinga kabisa.
 
Sio kwako pekee jirani mie mpaka nishaachana na App kwa sasa natumia Web sababu mwisho wa kupata notification upande wa App ni Feb 14 hadi leo hakuna kitu.
Sasa unajua raha ya chatting uwe unapata notifications. Dah.

Hili ni tatizo letu sisi wawili au ni la wote??
 
Sasa unajua raha ya chatting uwe unapata notifications. Dah.

Hili ni tatizo letu sisi wawili au ni la wote??
Na bila notifications huwa inakuwa mtihani sana aisee.

Ni wengi huwa wanalalamika hii hali sio peke yetu.
 
Back
Top Bottom