Yimakatso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,037
- 12,102
Umempa jawabu murua tena na mifano hai kabisa.Shida ni wajinga kujiamini kuliko werevu.
Hoja ya baridi ni takataka,Africa Kusini mwa jangwa la Sahara ndiyo inaongoza kwa maambuki na vifo vitokanavyo na UKIMWI duniani.
Mna baridi gani kuzidi Ulaya ama Urusi? Huko si kusingekuwepo watu?
Kuna ujinga mwingi sana watu kuamini eti kabila fulani ni malaya sijui na ujinga mwingine.
Wanaojiuza majiji makubwa huwezi kusikia kuna warangi wanatajwa lakini hao wanaojiuza makabila yao yanajulikana lakini hatuwezi kujumuisha kabila zima kwasababu watu fulani wanajiuza.