Waraka wa wazi kwa mwanangu Koku

Mie nimeisifia, si nimesema napedna wa Mujini.
Ni nzuri sana akchwali unamfaa sana Koku maana umeshakuwa CEO.
Au Bishanga anataka mwanae apate vi-clerk vya mapenzi? Vitampasua kichwa bure maana vitaanza kwenda nje kujifunza vikiwa ndoani bora huyu wetu tunamjua, tumlea mwenyewe, tumemuona wenyewe anapata U-CEO.

TF:poa kwa Koku
msalie Mtume Kongosho,mtoto wa mwenzio ni mwanao pia,hivi kabebi kako unaweza kumpa kiwembe TF?
 
Nakunongóneza siri yako: Wanasoma ili waolewe na wajanja. teh teh , sasa shule ya nini kishampata mjanja

akipokea hiyo 'hongo' yako, wewe na yeye nawashtaki kwa 'jamuhuri'
mmeghilibu mtoto, mmemnyima haki ya elimu, na mengine ntayafremu nihakikishe mnatiwa hatiani
 
Bishanga Wosia wako mzuri sana kwa binti yako Koku ingawa una mapungufu kidogo, maana hujamueleza mila na desturi za kule kwetu. Usipoangalia akiolewa ndoa itamshinda kwa kuwa atakula senene zote bila kumuachia mme. Kwetu wa-aya hili ni kosa la jinai labda tu uwe na uhakika kwamba ataolewa na nyamaanga!
 
Duuu, hii barua tungeisambaza mashuleni, hususan kwenye masekondari kunusuru maisha ya mabinti zetu! lohhh
 
msalie Mtume Kongosho,mtoto wa mwenzio ni mwanao pia,hivi kabebi kako unaweza kumpa kiwembe TF?

Nakunongóneza siri yako: Wanasoma ili waolewe na wajanja. teh teh , sasa shule ya nini kishampata mjanja

Ona sasa unavojigamba...
nilianza kufikiria kukusamehe ila nimeahirisha

Twangu twenyewe tujanja tunatafuta akina Koku tu
Ila tumesoma mpaka Makerere
Yaani hivi kweli Bishanga yuko radhi kumpeleka Koku kwingine kuliko kuanza na mimi wa karibu....but wait unajua Bishanga huu muda Koku aliomaliza shule ingekuwa vizuri nikawa naonana nae kumpa nasaha mbili tatu...i tell you from the bottom of my heart, hands, fingers and legs..you'll see the positive change in her
 
'Kwa kifupi tunasema "Atanawiri kiakili, kimwili na kimoyo"

Yaani hivi kweli Bishanga yuko radhi kumpeleka Koku kwingine kuliko kuanza na mimi wa karibu....but wait unajua Bishanga huu muda Koku aliomaliza shule ingekuwa vizuri nikawa naonana nae kumpa nasaha mbili tatu...i tell you from the bottom of my heart, hands, fingers and legs..you'll see the positive change in her
 
The more you hate the more you love...ngoja nicheki na Bishanga atakuwa anahitaji vitu hivi vifuatavyo...Senene, Rubisi, Mwani, Omulamba...hapa lazima aniachie Koku...:eyebrows:
umepinda kweli wewe!
Nalog off(source:washawasha)
 
duuuh.......!!!!!! bishanga wewe ni kibhoko hakyamungu, haya mausia si ungesubiri hadi siku ya harusi yake ndo ukampa, sasa siku hiyo ya harusi utasema nini wakati umeshasema yoteeeeee.............????

Anyway nakuomba ni kopi na kujipesitia nami nimtunzie binti yangu shanice anayetimiza mwaka mmoja leo tangu kuzaliwa ili siku ya harusi yake miaka kadhaa ijayo nimsomee................!!!!
ndugu yangu si mpaka aoelewe,wanetu hawa wa leo si unajua mawazo yao yalivyo kuhusu ndoa,acha nimweleze tu na mapema.
 
Nitafrahi sana Bishanga niwe baba mkwe wako maana mimi sijawahi.

Fidel! Fidel!Fidel!
Unafikiri uzi wenu na Aspirin 'mimi mwanaume bana' unadhani nimeusahau?kha tena usisogee nyumbani kwangu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom