Waraka wa wazi kwa mwanangu Koku

Mie nimeisifia, si nimesema napedna wa Mujini.
Ni nzuri sana akchwali unamfaa sana Koku maana umeshakuwa CEO.
Au Bishanga anataka mwanae apate vi-clerk vya mapenzi? Vitampasua kichwa bure maana vitaanza kwenda nje kujifunza vikiwa ndoani bora huyu wetu tunamjua, tumlea mwenyewe, tumemuona wenyewe anapata U-CEO.

TF:poa kwa Koku

Kuwa upande wangu basi yaani nilikuwa nategemea Kongosho angekuwa upande wangu naye kanigeuka
 
umeanza utapeli mimi siwezi kukupa sapoti kabisa....'umeniuzi'i kwanza
The more you hate the more you love...ngoja nicheki na Bishanga atakuwa anahitaji vitu hivi vifuatavyo...Senene, Rubisi, Mwani, Omulamba...hapa lazima aniachie Koku...:eyebrows:
 
The more you hate the more you love...ngoja nicheki na Bishanga atakuwa anahitaji vitu hivi vifuatavyo...Senene, Rubisi, Mwani, Omulamba...hapa lazima aniachie Koku...:eyebrows:

akipokea hiyo 'hongo' yako, wewe na yeye nawashtaki kwa 'jamuhuri'
mmeghilibu mtoto, mmemnyima haki ya elimu, na mengine ntayafremu nihakikishe mnatiwa hatiani
 
akipokea hiyo 'hongo' yako, wewe na yeye nawashtaki kwa 'jamuhuri'
mmeghilibu mtoto, mmemnyima haki ya elimu, na mengine ntayafremu nihakikishe mnatiwa hatiani
Khaaaaa!!! Koku haendi tena Form 5 nampeleka straight Stanford au Harvard University.....:poa:eyebrows:
 
duuuh.......!!!!!! bishanga wewe ni kibhoko hakyamungu, haya mausia si ungesubiri hadi siku ya harusi yake ndo ukampa, sasa siku hiyo ya harusi utasema nini wakati umeshasema yoteeeeee.............????

Anyway nakuomba ni kopi na kujipesitia nami nimtunzie binti yangu shanice anayetimiza mwaka mmoja leo tangu kuzaliwa ili siku ya harusi yake miaka kadhaa ijayo nimsomee................!!!!
 
hii nondo imekamilika ... umetusaidia kutupa muongozo pia kwa wanetu na koku pekee
 
Orait.....kwa hiyo bishanga umemshauri mwanao "koku" asiuzie utu wake kwa ajili ya pesa?:A S-coffee:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom