Tatizo hapa si muisilamu au Mkristo, cha muhimu ni kupata uongozi utakao kua responsible, visionary, creative, understanding n.k regardless ya dini yake.
ndugu yangu upo mbali kura ya mafungu unaijua
Tatizo hapa si muisilamu au Mkristo, cha muhimu ni kupata uongozi utakao kua responsible, visionary, creative, understanding n.k regardless ya dini yake.
Ule wakwenu mbona unauzwa au hulijuwi hilo?? Na mnalipia kodi kiasi gani??
Mashekh basi wekeni huo walaka wenu hapa jamvini tuutafakari, mnaogopa nini?
MIMI NADHANI HAYA YA KUTOA WARAKA YATAJAKUWA kama ni kitu cha kawaida na mazoea tu, cha muhimu nkama hawa watu nwa dini wapo serious inatakiwa KUWATENGA HAWA JAMAA KABISA,
KAMA WAKATOLIKI WAMEWEZA KUMTENGA FR NKWERA, FR KARUGENDO NA mapadre wengine inashindikana nini kumtenga MTU KAMA CHENGE AU EL
Chenge na EL siyo mapadre aisee!Hawa ni kondoo waliopotea tu kwa viongozi wa dini
The Womanofsubstance!Chenge na EL siyo mapadre aisee!Hawa ni kondoo waliopotea tu kwa viongozi wa dini
The Womanofsubstance!
Acha hizo !Huyo Kituko hujamwelewa na hii ni tabia ya watu wengi hapa jamii!
Ana maana kwamba Tedy Lowasa na Andy Chenge ni wakristo na katika makanisa yao pamoja na wizi waliofanya bado makanisa yao yanawaogopa kwani walitakiwa wawe ex-communicted au kwa lugha nyepesi watolewe kundini au watengwe kama ilivyo desturi.
Mbona mtu akizini na kupata mtoto nje ya ndoa anatolewa kundini nadhani ndiyo hoja ya Kituko!
Hayo makanisa mpaka yanatoa waraka wa kupinga ufisadi wakati mafisadi na majambazi ndio wafadhili wakubwa wa makanisa!
Sometimes ukisoma vizuri historia ya dini utakuta kwamba hata ile Vatican ilijengwa na pesa haramu. Sitaki kuingia ndani na wakatoliki wanalijua hilo St. Peter's Basilca ilijengwa na Papa mmoja aliyegubigwa na rushwa uliweza kuua na ukienda kwake na bulungutu uliloiba unasamehewa jumla as long as umetoa fungu la kumi so please at times haya makanisa yanakosa moral authority kukemea serikali kwa kuhofia kuambiwa walipe kodi any way najua mtanishukia simply because ukweli siku zote unauma...
Kama makanisa yanataka kuja in the clean waondoe kwanza boriti kwenye macho yao ili waweze kuona kibanzi kwenye macho ya serikali na jamii period!
Wala ukweli hauumi mkuu. Hata misikiti they should do the same thing because sija sikia fisadi yoyote muislamu akitengtwa. Mbona bado wanaendelea kuingia misikitini na kuendelea kutoa misaada?
By the way je unajua kuna baadhi ya misikiti imejengwa na pesa haramu? Je unajua mkuu wa polisi wa zamani mmoja alijenga msikitii kujaribu "kuosha " dhambi zkake? Anyway najua nita shukiwa hata mimi maana siku zote ukweli huuma....
By the way unajua kanuni za kuondolewa na kurudishwa kundini?
MwanaFalsafa1!
Kanuni mbona ni rahisi tu! Ukishatenda kosa ambalo linakinzana na mambo makuu kulingana na Amri kumi za Mungu kwanza unatakiwa kukiri na kuwaambia wenzako aoutomatically hutashiriki wala kuikaribia meza ya bwana I mean hutapokea holy communion au chakula cha Bwana and you are therefore nje ya kundi mpaka utakapoungama na kutubu dhambi mbele ya kanisa baada ya hapo unasamehewa na kurudi kundini huku ukishauriwa na kiongozi wa kanisa/Ibada mwenye authority kuwa enenda na usitende tena dhambi!
Kinachotokea msikitini sijawahi kuingia undani kanuni zao ila nimesoma Quoran for the purpose of knowledge amongst others including Budhiisim and Hinduism. In principle kwenye misikiti hakuna parralel procedures kwa sababu the structure depends on origin and ownership the fabric is not firm you understand what I mean na singependa kwenda kwenye specifics kwa sababu wasomaji wengi hapa hawawezi kuokota but watakurupuka na kuokota vipande kitu ambacho hakina tija.
Kuhusu hawa akina Teddy Lowasa na Andy Chenge bado mapadre na wachungaji wanazichukulia kama tuhuma as long sa wao wenyewe hawajakiri but fairness should come first as long as mtu anatuhumiwa anapaswa kukiri au kupanda jukwaani na kutubu kukaa kimya it means ni kukubali then tuwatoe mkuku kutoka kanisani na actually kundi lao ndio kubwa!! Kama ni wasafi kama theluji then wawaulize kwa nini walijiuzulu that is the un -answered question au nakosea?