Mwongozo huu wa kiislamu ni mzuri sana kwa watu makini na wenye kuipenda Tanzania, umeonyesha maeneo ya kipaumbele ya kufanyia kazi haraka kwa amani ya nchi! viongozi wa serikali inabidi wausome, na kuuzingatia. Anayeupinga ni mbaguzi na mnafiki asiyetaka kusikia ukweli . bravo shura ya maimamu.
Maneno sawia kabisa naungana mkono na wewe kwa asilimia zoooooooote.
Tumaini umenena kweli. Mola akubariki kwa kuliona hilo.