Waraka wa Waislam Kuelekea Uchaguzi

Kama ni neutral mbona sehemu nyingi inasema "Maslahi ya Waislamu" badala ya "maslahi ya Taifa" au "maslahi ya Watanzania"? Mkuu unakua muongo na wakati waraka upo na maneno yake yapo? Duh! Haya what's your definition of neutral? Nilikupa challenge huko nyuma umekwepa.

Usitarajie kupata majibu ya maswali yako, the guy is totally biased!
 
Yaani umekasirika hadi umeposti the same thing mara mbili, kweli wewe ni muislam..........Anyway kwenye post yangu hakuna niliposema kuwa 20% ni wakristu, bali wakatoliki. Back to my point HOW COME 20% WAWASHINDE 80%. The 93.2% you mentined should tell you something about uwezo wa waislam na wakristu kwenye uongozi. WHY IS IT NOT THE OTHER WAY ROUND..?????

That's very useful question, lakini I bet my heart you will NEVER EVER get an answer from those guys....they'll keep beating around the bush till you get tired and leave only for them to claim victory....this is what give them pleasure!This is just another form of "MIHADHARA" for them.
 
Kwa sababu wa kikatoliki unalenga ubaguzi na wa kiislamu umeonyesha facts, facts ambazo ni muhimu kwa uhai wa taifa.

Huu ni utani au?
On Serious note Mkuu..hebu tufanyie comparative analysis ya nyaraka hizi mbili utusaidie kuelewa maana nimejaribu kulinganisha kutumia vingezo hivi ulivyotuwekea nikashindwa kupata jibu.... tafadhali okoa jahazi.
Kama watanzania tukiendekeza kufanya malumbano kama ya mashabiki wa simba na yanga tutajikuta tunajiangamiza wenyewe needlessly.Tufikirie more positively, tuwe na agenda ya pamoja ya kulilinda Taifa letu na vizazi vyetu vijavyo.Tukumbuke tuna dhamani hii hadi mwisho wa maisha yetu.
 
sasa hii shura mbona ipowazi kuwa wao wanaitetea CUF? hawa ndio mnaoifanya CUF kuwa chama cha waislamu na ndo tatizo kubwa lililopo sasa,CUF imefulia kwa kukosa mwelekeo,mnapiga domo tuu wenzenu znz wanaumizwa,kisa mumekaa kidini dini,naapa CUF haitakaa ije kushika dola kwa kosa hili!!

Kusema kweli Shura ya Maimamu na Waraka wao ni aibu tupu. Binafsi naona kama wanawazalilisha waislam kwa kuja na hoja ambazo kwa kimombo ni "litany of complains". Waraka umejaa manunguniko dhidi ya madhehebu ya kikiristo hasa wakatoliki kwa shutuma zilizo na zisizo za msingi! Hata hivyo basi wangetafuta mtaalam wa kuwaandikia hayo malalamishi. Jinsi yalivyo yamekaa kama malalamishi ya watoto wa shule ya msingi. Naamini kabisa kuna wataalam waislam ambao wangeweza kuandika waraka huu kitaalam kabisa na kujenga hoja makini sio hizi za "uke wenza" kati yao na wakatoliki.

Katika vipengele 16 ni viwili (2) tu ambavyo hawakutaja Ukiristu, navyo ni Kilimo na Muungano. Vingine vyote ni malalamishi dhidi ya Ukirstu! Katika hali ya kuishi ni hatari sana kudai haki yako kwa kufikiri kwamba unastaili kitu fulani kwa sababu mtu fulani anacho. Je unastahili? (Do you derserve it?). Unadai haki yako na utaipata kutokana na uwezo wako wa kudai sio kwa sababu fulani anayo. You do not get what you think you deserve but you get what you bargain for. Kaa chini na utawala dai haki zenu bila kuangalia wakatoliki wana nini kwa sababu wao (wakatoliki) hawadai haki zao kwa kuangalia waislam wana nini. Mfano mdogo nani kawazuia Waislam kuanzisha Benki yao. Lakini kudai Benki eti kwa sababu Wakatoliki wana Benki ya Mkombozi ni kutokuwa makini. Na mengine mengi.

Ukiusoma katikati ya mistari (between the lines) Waraka huu ni kama unataka baadhi ya Sharia zitumike hapa nchini. Utaona kwamba chama kinachopigiwa debe ni CUF ingawa CCM inatajwa lakini in negative light. Pamoja na kwamba uongozi wa juu kabisa wa nchi unashikiriwa na waislam Waraka huu ni kama unasema hawa viongozi si "waislam Safi" au ni vibaraka wa wakiristu! Ama kweli akutukanaye akuchagulii tusi.

Pengine tunaupa waraka huu heshima isiyostaili hata kwa kuzungumza yaliyomo. Ni ubatili mtupu!
 
That's very useful question, lakini I bet my heart you will NEVER EVER get an answer from those guys....they'll keep beating around the bush till you get tired and leave only for them to claim victory....this is what give them pleasure!This is just another form of "MIHADHARA" for them.
Najuwa mkubwa wangu, yaani wao ni malalamiko kwa kwenda mbele, they dont answer questions....... especially Barubaru, kanda2, mzanganyika, haki etc
 
Hujawahi kuuliza swali..uliza swali lako lolote tukujibu...je huo mwongozo una kasoro gani? na kwanini? fafanua kwa kutoa ushahidi! hizo facts unazipinga au vipi? kama ndiyo tupe data...au unaendekeza UDINI..too late na hizo blah blah zenu ..oh sijui kazi kulalamika ...anayelamimika nani si wewe...mwongozo umetoa facts and political trends ya Nchi ilivyoendekeza UDINI(Ukristo) na jinsi ilivyo hatari kwa umoja wa kitaifa..inabidi wenye akili na wenye chembe ya utaifa wauzingatie na waufanyie kazi. wenye udini kama wewe kanyaboya subiri tuone!
 
Yaani umekasirika hadi umeposti the same thing mara mbili, kweli wewe ni muislam..........Anyway kwenye post yangu hakuna niliposema kuwa 20% ni wakristu, bali wakatoliki. Back to my point HOW COME 20% WAWASHINDE 80%. The 93.2% you mentined should tell you something about uwezo wa waislam na wakristu kwenye uongozi. WHY IS IT NOT THE OTHER WAY ROUND..?????

nafikiri wewe una upeo mdogo sana wa kufikiri ndio maana unajaribu kucheza na maneno badala ya kuleta hoja.

Nikuulize Je ni kiwango gani cha Elimu anachostahili kuwa nacho mbunge Huko Bunge la Tanzania ( Angalia sheria inasemaje) na angalia ni waislam wangapi wamekifikia.

Ni uwezo gani kwenye uongozi ambao wakristu wanao dhidi ya waislam. naomba ufafanuzi na kama una data nitafurahi zaidi sio kuacha maneno hewani.

nasubiri jibu lako.
 
Kusema kweli Shura ya Maimamu na Waraka wao ni aibu tupu. Binafsi naona kama wanawazalilisha waislam kwa kuja na hoja ambazo kwa kimombo ni "litany of complains". Waraka umejaa manunguniko dhidi ya madhehebu ya kikiristo hasa wakatoliki kwa shutuma zilizo na zisizo za msingi! Hata hivyo basi wangetafuta mtaalam wa kuwaandikia hayo malalamishi. Jinsi yalivyo yamekaa kama malalamishi ya watoto wa shule ya msingi. Naamini kabisa kuna wataalam waislam ambao wangeweza kuandika waraka huu kitaalam kabisa na kujenga hoja makini sio hizi za "uke wenza" kati yao na wakatoliki.

Katika vipengele 16 ni viwili (2) tu ambavyo hawakutaja Ukiristu, navyo ni Kilimo na Muungano. Vingine vyote ni malalamishi dhidi ya Ukirstu! Katika hali ya kuishi ni hatari sana kudai haki yako kwa kufikiri kwamba unastaili kitu fulani kwa sababu mtu fulani anacho. Je unastahili? (Do you derserve it?). Unadai haki yako na utaipata kutokana na uwezo wako wa kudai sio kwa sababu fulani anayo. You do not get what you think you deserve but you get what you bargain for. Kaa chini na utawala dai haki zenu bila kuangalia wakatoliki wana nini kwa sababu wao (wakatoliki) hawadai haki zao kwa kuangalia waislam wana nini. Mfano mdogo nani kawazuia Waislam kuanzisha Benki yao. Lakini kudai Benki eti kwa sababu Wakatoliki wana Benki ya Mkombozi ni kutokuwa makini. Na mengine mengi.

Ukiusoma katikati ya mistari (between the lines) Waraka huu ni kama unataka baadhi ya Sharia zitumike hapa nchini. Utaona kwamba chama kinachopigiwa debe ni CUF ingawa CCM inatajwa lakini in negative light. Pamoja na kwamba uongozi wa juu kabisa wa nchi unashikiriwa na waislam Waraka huu ni kama unasema hawa viongozi si "waislam Safi" au ni vibaraka wa wakiristu! Ama kweli akutukanaye akuchagulii tusi.

Pengine tunaupa waraka huu heshima isiyostaili hata kwa kuzungumza yaliyomo. Ni ubatili mtupu!

Hivi umesoma mpaka darasa la ngapi?

Siamini tena siamini kabisa. Hata mtoto wangu hapa Majjidah ambaye yupo darasa la kumi japo kiswahili hajui vizuri lakini amejitahidi kuuelewa waraka huu nilipompa ausome. sasa wewe sikuelewi.

nakushauri uusome bila jazba na utauelewa vizuri sana kwani wametumia lugha laimu sana
 
Kwa vile umezidi kutupigia kelele kuhusu uonevu wa wakristo dhidi ya waislamu niambie kuna makanisa mangapi Doha? Na Zanzibar? Na Pemba?

Amandla.......
 
nafikiri wewe una upeo mdogo sana wa kufikiri ndio maana unajaribu kucheza na maneno badala ya kuleta hoja.

Nikuulize Je ni kiwango gani cha Elimu anachostahili kuwa nacho mbunge Huko Bunge la Tanzania ( Angalia sheria inasemaje) na angalia ni waislam wangapi wamekifikia.

Ni uwezo gani kwenye uongozi ambao wakristu wanao dhidi ya waislam. naomba ufafanuzi na kama una data nitafurahi zaidi sio kuacha maneno hewani.

nasubiri jibu lako.

Wabunge si wana chaguliwa na wananchi. Na kati ya hao hao wananchi kuna idadi kubwa tu ya waislamu. Kwa hiyo kama kuna wabunge wa idadi unayo itaja wewe basi wasinge weza kushinda bila kura za waislamu. Sasa hapo napo upendeleo uko wapi?
 
Hivi umesoma mpaka darasa la ngapi?

Siamini tena siamini kabisa. Hata mtoto wangu hapa Majjidah ambaye yupo darasa la kumi japo kiswahili hajui vizuri lakini amejitahidi kuuelewa waraka huu nilipompa ausome. sasa wewe sikuelewi.

nakushauri uusome bila jazba na utauelewa vizuri sana kwani wametumia lugha laimu sana

Sasa mwanao yupo la kumi hajui kusoma vizuri baadae akija kunyimwa uongozi au nafasi uta sema ni kwa sababu ya dini yake? Kaaazi kweli.
 
ndugu yangu soma mada kisha elewa na sio kukurupuka.

Kwanza kabisa elewa Ukatoliki sio ukristo pekee, hiyo ni sehemu tu ya ukristo yaani kuna Walutheri, Waanglicana, Wasabato na wengine engi kama walokole n.k.n.k.

Ninaposema wakatoliki haazidi 20% ya waTanganika sisemi wakristu. bali nazungumzia hiki kikundi kidogo cha madhehebu ya kikatoliki ndani ya ukristu.

Sasa ninaposema 73.2% i wakatoliki pekee na sio Wakristo wote. Kama unataka kujua idadi wa wakristu wote bungeni wanaotoka tanganyika ni 93.2%. hapo nimewatoa wale wa Zanzibar ambao ni 100% waislamu.

Sasa kama una hoja leta
progress.gif

Acha Fitina wewe, Tangu lini umeteuliwa kuwa mtetea haki wa wakristo wasio wakatoliki?, Hata siku moja hujasikia Wakristo wengine wasio Wakatoliki wakilalamika kwamba wakatoliki ndio wengi katika uongozi, Ila hili lisilokuhusu unaliona wewe Barubaru?? Lazima ujue kua Hayakuhusuuuuuu. Ebo!

Pili, wewe mwenyewe unakubaliana na takwimu zilizotolewa na waraka wenu kua ratio ya waisilamu kwa wakristo katika vyuo vya elimu ya juu ni 1:10, Kwa lugha rahisi ambayo utaielewa ni kwamba katika kila (mtu aliesoma na kuwa na sifa za uongozi) msomi mmoja mwislamu kuna wasomi wakristo kumi? These are plain facts sio uchawi wala nini.

Kama Ratios zenyewe ndizo hizi na kama umesoma kidogo probability lazima ujue kuwa even in a complete randomized experiment (nadhani umesoma na utanielewa), chances za mkristo kuwa katika uongozi ni 10 times higher than a Muslim, Hii naina ubishi wala huhitaji elimu kubwa kutambua hili.

Sasa nyie wenzetu sijui mlitakaje, Mlitaka kuwe na upendeleo maalum wa kuwapa post Waisilamu? Kuna haja gani ya kufanya hivyo? Kama mnataka uongozi si mchukue fomu na mgombee kuna anaewazuia?

Acheni kupoteza muda kwa malalamiko yasiyowaletea tija, pelekeni watoto wenu shule wapate elimiu na hizi differences zitaisha zenyewe.
 
Hata mimi naunga mkono. Waislamu pelekeni watoto wenu shuleni na vyuoni. Mimi ni mkristu lakini nashauri hivi kama Mtanzania. Mkifanya hivyo, mtaacha kulalamika na mtaungana na wakristu katika kuijenga Tanzania bora. Na mkifanya hivyo hakutakuwa na ugomvi kwa sababu, watu walioelimika uelewana vizuri na pale wasipoelewana uamua kutofautiana bila ugomvi yaani "they agree to disagree peacefully". Tukifanya hivi siasa za udini na ukabila zitakufa na siasa za kulinda maslahi ya watanzania katika misingi ya katiba tuliyoiandika itawezekana.
 
Naweza kukubaliana na wewe lakini natishwa na ile tabia niionayo humu ya 'kumind' pale hao Waislamu wachache wanapopewa madaraka makubwa. Hivyo ni haki kuwa kila anapochaguliwa Muislamu kwenye Post kubwa kuwe na mjadala wa uchaguzi huo? Nafikiri lipo tatizo na wapo watu ndani na nje ya mfumo wa utawala ambao wanachukuwa hatuwa za makusudi kuona kuwa tofauti hii iliopo kati ya watumishi Wakristo na Waislamu unaendelea kuwepo. Watu namna hawa ndio wanaosababisha malalamiko hayo.
 
Hata mimi nakubaliana na wewe. Kila mara hawa ndugu zetu wakishika madaraka basi mijadala ya udini inaanza. Kipindi cha awamu ya pili lilizuka la misikiti maofisini na hata (majina ya vigogo wale wananchi wanayo) hatujayasahau. Vipaza sauti vya misikiti vilianza kuonyesha hali ya wasiwasi wakati mwingine. Na yameanza kujirudia tena katika awamu ya nne. Na tunadhani katika kipindi cha pili cha awamu ya nne, hali itazidi kuwa mbaya. Angalia awamu ya kwanza, mijadala ya udini haikuwepo, angalia hata awamu ya Mkapa mambo ya udini hayakuwepo. Sasa mbona wenzetu wanapenda kuyumbisha nchi kwa kutumia udini? Je tunarudi kule kule kwenye siasa za mkoloni za "divide and rule"? Yaani divide waislamu na wakristu ili tutawale, je kina Kingunge wanayajua hayo? Of course the Kingunges know this ndio maana comments zao zinalenga upande mmoja ili kuibua upande mwingine ili kupata arguments za kisiasa za kutawala! Lakini wajue kuwa Watanzania si ma bumbumbu yote hayo tunayaona na tunayafahamu.

Sasa kwa mfano, wote tunajua kuwa mkusanyaji wa kodi ya kituo cha basi cha ubungo alikuwa akiilipa serikali shilingi milioni moja tu ya kodi kwa siku. Je ni mabasi mangapi kwa siku yanaingia na kutoka katika kituo cha mabasi cha Ubungo? Je thamani ile ya shillingi millioni moja na mapato ya pale kweli ilikuwa na maana gani? Sasa mbona serikali ilikaa kimya katika ufisadi ule? Ndio maana waraka wa wakatoliki ulipopinga ufisadi waliupinga mpaka kesho, lakini leo wenzetu waislamu wametoa waraka wao wamekaa kimya, maana vile vile ulipinga ukatoliki na ukatoliki ni adui wa ufisadi, ndio maana wakina ... wamekaa kimya na wanaendelea tu kukusanya kodi katika kituo cha mabasi ya Ubungo kama sikosei. Serikali na wananchi mpo hapo?
 
Huwezi kukubaliana na mimim kwa vile kama alivyosema Ibrahim Hussein wewe unapanda ngazi mimi ninashuka ngazi.
Unajuwa hiyo awamu yako ya kwanza ndiyo iliyoleta udini kwa kuleta upendeleo kwa dini moja, kwa kuvunja misingi ya dini nyengina (kwa kuondowa mahakama ya Kadhi) na kudidimiza mikoa iliyokuwa na Wafuasi wa dini fulani( Pwani, Kigoma. Mtwara, Lindi na mengineyo).

Isitoshe Katibu na taratibu zote za kuendesha Serikali zikawekwa kidini fulani (mapunziko Sunday, Friday ni siku ya kazi muhimu) na mambo chungu nzima.
Unachosema kuwa udini unaoletwa kwa awamu zinazoongozwa na watu wa dini nyengine si chengine bali ni harakati za kudai haki tuliyokuwa tukihubiriwa na Ki8ongozi wa awamu ya kwanza aliyekuwa mdini mkubwa wa vitendo huku akilainisha kwa maneno.
Waislamu na Wakirsto ni Watanzania na wote wana haki ya kuabudu kwa mujibu wa Katiba, sasa kwa mmoja iwe wa dini ya pili ndio ampangie kiasi cha kufanya ibada huoni kuwa huwa ni mushkeli. Elewa dini haifanywi nusunusu au kwa matakwa ya binaadamyu bali tunafuata tuliowekewa na imani zetu, sasa iwapo dini mo0ja haina uhuru wa kuabudu kwa mujibu wa imani yao na badala yake waabudu kwa Katiba iliyowekwa kwa shindikizo la dini nyengine, ujue upo mushkeli.
Mwisho babaangu, kama unavyowaona Walimu wanavyoichachafya Serikali kwa kudai haki yao hali hiyo haitakuwa tofauti kwa Waislamu katika kudai haki zao
 
Hiyo Mikoa uliyoitaja kimsingi Waislamu ndiyo walikuwa na wapo wengi hadi hivi leo. Na huko ndiko waarabu walianza na kuingia. Na kwa vile MADRASA NDIYO ILIKUWA MBELE kuliko "ILIMU" DUNIA, hali ndiyo imewafikisha hapo. Na kuondoa mahakama ya kadhi haiukuwa udini bali ilikuwa ni kuweka mzani sawa kwamba kusiwe na dini ambayo mahakama yake inatambuliwa na serikali na hii ni kwa msingi kuwa serikali haina dini. JAribu kuskani Tanzania nzima huku ukiangalia sehemu ambazo wamisionari walianza kuingi, wao walihakikisha kuwa kila walipo pana vitu vitatu muhimu kwa binadamu SHULE, HOSPITALI NA KANISA. THIS COMBINATION, YOU WILL NEVER FIND IT ANYWHERE MWARABU ALIPOANZA KUINGIA. (eti shule hospitali na msikiti.. NOOOOOOOOOOOO). Wao ilikuwa MSIKITI NA MADRASA NA BAO. Ndiyo maana ilikuwa ngumu sana kukuta bao linachezwa MOSHI, MBEYA, IRINGA, RUVUMA etc. Unless Muislamu ahamie huko. Nenda Zenji, Tanga, Pwani.........etc ni barrraaaaaaa
 
Naam nashukuru kwa kunielewesha lakini tunachokizungumza hapa si Mwarabu au Mjerumani, tunazungumza harakati za maendeleo ya nchi chini ya nchi iliyo huru. Hivyo kwa kuwa sehemu fulani walikuwa nyuma kimaendeleo na serikali ikakaa kimya bila kuchukua jitihada ya kuondosha tofauti ndio unaona kuwa ni utawala bora wa kujisifia?
Hivyo utawalaumu vipi Shura ya Maimamu iwapo mawanzo yako ndio msingi wa utawala bora unaouona kuwa unafaa? Sasa nini utasifia kusema KUWA KIONGOZI WA NCHI SI MDINI WAKATI ANAKUWA NA MAWANZO KAMA YAKO KWA KUSEMA " tO HELL WITH THOSE WHO THOUGHT MOSQUES ARE MORE IMPORTANT THAN SCHOOLS"?
Ivyo kwanini Serikali inajitahidi kuelimisha wananchi wake kujitafutia elimu iwapo tunajuwa kuwa historia inatosha kuwa kigezo cha utawala bora? Inasikitisha kuhalalisha kuwekwa nyuma tabaka fulani kwa sababu ya historia iliyokuwa na upendeleo, na kusikia kauli kama yako ikihalalisha jambo hilo katika nchi kama ya Tanzania ni kichekesho kikubwa,kwani si tunalaumu udini?
Kuhusu suala la kuweka sawa matumizi ya rasimali ya Taifa kuwa ndio sababu ya kuondowa mahakama ya kadhi naona huko serious. Hivyo toka lini tukaweka usawa katika matumizi kama hayo? Unajifanya huelewi kiasi gani misamaha ya kodi inavyofaidiwa na watu wa dini moja kulinganisha na dini nyengine? Unasahau misaada na ruzuku zinazovunwa na dini moja kulingana na dini nyengine katika mambo ya Taasis za elimu?
Hapana ukweli ni mchungu lakini tofauti ya manufaa yanayovunwa na dini moja kuliko nyengine ni wazi na ni haki ya wengine kudai kuwa nao wanufaike katika nchi yao sawa na wengine na dini isiwe kigezo.
 
Huwezi kukubaliana na mimim kwa vile kama alivyosema Ibrahim Hussein wewe unapanda ngazi mimi ninashuka ngazi.
Unajuwa hiyo awamu yako ya kwanza ndiyo iliyoleta udini kwa kuleta upendeleo kwa dini moja, kwa kuvunja misingi ya dini nyengina (kwa kuondowa mahakama ya Kadhi) na kudidimiza mikoa iliyokuwa na Wafuasi wa dini fulani( Pwani, Kigoma. Mtwara, Lindi na mengineyo).

Isitoshe Katibu na taratibu zote za kuendesha Serikali zikawekwa kidini fulani (mapunziko Sunday, Friday ni siku ya kazi muhimu) na mambo chungu nzima.

Unachosema kuwa udini unaoletwa kwa awamu zinazoongozwa na watu wa dini nyengine si chengine bali ni harakati za kudai haki tuliyokuwa tukihubiriwa na Ki8ongozi wa awamu ya kwanza aliyekuwa mdini mkubwa wa vitendo huku akilainisha kwa maneno.
Waislamu na Wakirsto ni Watanzania na wote wana haki ya kuabudu kwa mujibu wa Katiba, sasa kwa mmoja iwe wa dini ya pili ndio ampangie kiasi cha kufanya ibada huoni kuwa huwa ni mushkeli. Elewa dini haifanywi nusunusu au kwa matakwa ya binaadamyu bali tunafuata tuliowekewa na imani zetu, sasa iwapo dini mo0ja haina uhuru wa kuabudu kwa mujibu wa imani yao na badala yake waabudu kwa Katiba iliyowekwa kwa shindikizo la dini nyengine, ujue upo mushkeli.
Mwisho babaangu, kama unavyowaona Walimu wanavyoichachafya Serikali kwa kudai haki yao hali hiyo haitakuwa tofauti kwa Waislamu katika kudai haki zao

Mbona hata walikotoka wakuu, Mara( Nyerere) na Ruvuma (Kawawa) kulidumaa? Na huko nako walifanya hivyo kwa sababu kuna waislamu kibao? Hivi Nyerere angeachia kila dini iendeshe shule zake na hospitali zake kwa wafuasi wake, waislamu mngeona ndani? Si huyu huyu mnaemwita mdini aliyetaifisha shule zote ( nyingi zikiwa za wamisheni na chache za waislamu wa kiismailia ambako weusi msingeona ndani) ili tuwe na level playing ground? Hamna hata aibu wala shukrani!

Msitake kulazimisha mambo. Tuonyesheeni wapi waislamu wameagizwa waswali Ijumaa ( au siku nyingine yeyote) na KUPUMZIKA. Mbona hata huko Zanzibar ambako ni de facto serikali ya kiislamu maduka hayafungwi Darajani siku ya ijumaa. Msilazimishe jambo kwa sababu wenzenu wanacho. Ukienda soko mjinga wachinja kuku wote ni waislamu. Tuseme huo nao ni ubaguzi au ishara ya jinsi tunavyoheshimiana. Mkristu kwa kuelewa kuwa rafiki yake au ndugu yake wa kiislamu hataweza kula kuku aliyechinja yeye basi hana hiyana kuwapelekea waislamu wamchinjie. Si kwa sababu hawezi lakini ni kukubali ukweli kuwa katika jamii yetu tumechanganyikana. Huko makazini waislamu wanaruhusiwa kuondoka mapema Ijumaa kwenda kuabudu maana hicho ndicho kitu muhimu na wala si kupumzika. Kama vile mkristu anavyotafuta muislamu kumchinjia kuku basi muislamu nae inabidi amvumilie mkristu kwa kupumzika nae jumapili na kukubali kufanya wote kazi ijumaa ambako wote hawakatazwi.

Ni nyinyi mnaotaka kutuchanganya kwa kuingiza udini kila mahali. Watu wa hatari sana, nyie.

Amandla.......
 
Back
Top Bottom