Waraka wa Waislam Kuelekea Uchaguzi

Mwongozo huu wa kiislamu ni mzuri sana kwa watu makini na wenye kuipenda Tanzania, umeonyesha maeneo ya kipaumbele ya kufanyia kazi haraka kwa amani ya nchi! viongozi wa serikali inabidi wausome, na kuuzingatia. Anayeupinga ni mbaguzi na mnafiki asiyetaka kusikia ukweli . bravo shura ya maimamu.

Maneno sawia kabisa naungana mkono na wewe kwa asilimia zoooooooote.

Tumaini umenena kweli. Mola akubariki kwa kuliona hilo.
 
Kwa sababu wa kikatoliki unalenga ubaguzi na wa kiislamu umeonyesha facts, facts ambazo ni muhimu kwa uhai wa taifa.

Haijalenga taifa bali imelenga waislamu na manufaa ya waislamu. Uongo wa nini na wakati waraka upo. Una taka direct quotes zinazo ongelea kuhusu uislamu na waislamu na si taifa? Na naomba utoe direct quotes toka waraka wa wakatoliki unaolenga ubaguzi. Tusiandikiane mate wakati wino upo. Naomba usikimbie maswali.
 
Hizi nyaraka za wakatoliki na Waisilamu hazitusaidii chochote kama Taifa.
Nadhani kinachoendelea hapa ni mchezo wa nani zaidi kati kati ya Waisilamu na Wakatoliki. Nachokiona ni malumbano tu ya kutunishiana misuli ambayo hayana manufaa yeyote kwa taifa hili, huku kila mmoja akijaribu kumwonyesha mwenzake kwamba yeye ndio zaidi katika nchi hii.
Kama wakatoliki na Waisilamu wana difference zao watafute jinsi ya kuzitatua sio kuburuza taifa zima katika mchezo wao.
 
Maneno sawia kabisa naungana mkono na wewe kwa asilimia zoooooooote.

Tumaini umenena kweli. Mola akubariki kwa kuliona hilo.

Mjitu mingine unatamani hata usikutane nayo.Maneno ya kwenye bao unaleta jamvini.
 
wewe unataka kukutana naye ili nini? weka mawazo yako hii si sehemu ya kuomba appointment ndugu?

Ili atumie vifaa vya kugundua suicide bomb belts. Watu kama hawa usikute wanatembea wakiwa wamevaa mabomu wanasubiria tu amri toka kwa Osama bin laden
 
Ili atumie vifaa vya kugundua suicide bomb belts. Watu kama hawa usikute wanatembea wakiwa wamevaa mabomu wanasubiria tu amri toka kwa Osama bin laden
Yaani kwa jinsi wanavyojuwa kuvaa mabomu, utadhani mabumu nayo ni MAISLAMU. Maana nadhani hadi misikitini wanaingia nayo utadhani na yenyewe yanaenda kuswali
 
hakika nimetumia muda mrefu sana takriban wiki nzima kuusoma kwa kituo na kujaribu kuelewa nini kusudio la waraka huu wa waislamu.

Kwanza kabisa nampa pongezi Mh Mfumwa kwa kutuwekea hadharani waraka huu na kutupa nafasi sisi tulio mbali na tanzania kuweza kuusoma na kuutafakuri.

Hakika waraka umeandikwa kwa busara kubwa sana. Katika taaluma ya kiandishi na kisheria mwanzoni mwa waraka wametumia mfumo wa kujenga hamasa na kukumbusha matukio kama historia na Katikati ya waraka wametumia mfumo wa Direct statements na ukisoma mwisho waraka wametumia mfumo wa busara katika kuwahasa waumini na wananchi wote kwa rai na maoni yao.

hakika nimependa sana hizi stail tatu walizotumia katika kufikisha ujumbe wao.

Sasa ni wajibu wetu kusoma vizuri bila jazba na kutafakari yote yaliyoandikwa.

nashukuru
 
Yaani kwa jinsi wanavyojuwa kuvaa mabomu, utadhani mabumu nayo ni MAISLAMU. Maana nadhani hadi misikitini wanaingia nayo utadhani na yenyewe yanaenda kuswali

Wewe fikiria hii scenario,

Waarabu ambao ni waislam wa upande mmoja wa kiislam (wa sunni), wanavaa mabomu na kisha wanakwenda kuswali kwenye msikiti wa wenzao wa upande mwingine wa islam (washia).

Wanasubiria watu wanaingia msikitini, wanalipua mabomu hayo na kuua maelfu ya waumini wenzao waliokwenda kuswali (imani ya mauaji). Cha kushangaza ni kuwa, hao maboko haramu wa Tanzania hawakuandamana kukemea hicho kitendo.

Just imagine kama hicho kitendo kingefanywa na watu wa dini nyingine au makafiri tusio na dini. Moto ungewaka kuanzia Asmara hadi Antananarivo - yaani waafrika wangepagawa kuwa waarabu wamevamia.
 
Nimejitahidi kuusoma waraka huu kwa haraka haraka kwa kuwa sikuvutia kutumua muda wangu mwingi. Waraka unaonyesha uwezo mdogo walionao waandaaji hasa katika masuala ya siasa, dini na ushawishi kwa ujumala.

Waraka huu umekaa kama mhadhara wa kawaida kama ile ambayo huwa inatolewa ktk baadhi ya misikiti hapa bongo. Waraka umetumia kurasa nyingi kumlaumu Nyerere, Kanisa katoliki na ukristo kuliko mlengwa ambae ni Serikali.

Waraka haukujikita kuchambua sera bali umeonyesha baadhi ya yale yanayoonekana ni kero hasa kutokana na kutofuata sheria zilizopo. 35% unaongelea Kanisa Katoliki, 35% Uislam na waislam, 20% wakristo na 10% tu ndo inaongelea Serikali, Sera na uchaguzi 2010.

Binafsi waraka huu umenionyesha 'uwezo' wa wahusika katika kuyajua na kuchambua mambo.
Nakubaliana nawe mtoa hoja kwa bahati mbaya Waislam wengi hatutaki kukubali mapungufu yetu inafahamika wazi katika nchi yetu na nchi nyingine za kiislam hawakutilia maanani elimu utakuta katika sehemu nyingi ambapo dini yetu ilikita sana wako nyuma kielimu na inafahamika wazi katika ulimwengu wa sasa.Wenzetu wakristu ili swala walilitazama ukiangalia sehemu ambazo zimeendelea kielimu shule nyingi zilijengwa na wao na wengi tumepata elimu ktk shule hizo.Waislam tulipokuruka kuanzisha shule nyingi zilikua au ziko katika kiwango dhaifu na matokeo ya mitiahani ktk shule hizi yanaeleweka.Sawa tanzania kuna wakristu (Wakatoliki n.k)Kazi au mchango wa madhehebu katika huduma za jamii inafahamika Shule,mahospitali n.k.Sisi waislam tunapo jenga shulea au zahanati tunafanya hivyo kwa kuiga na bila kujiandaa.Na huo walaka wetu tumeiga na wala hautoki rohoni tunafanya hivyo kwa sababu tu ya kuwa wakristo wamefanya hivyo.Tunawalaumu wakristo!Somalia,Jibut,Sudan,Palestina n.k.Na huko vikwazo vya maendeleo yao ni wakristu?!!!!.NI MUHIMU KWETU SISI WAISLAM KUYAELEWA MAPUNGU YETU NA KUYATAFUTIA UFUMBUZI NA SIO KUPOTEZA MUDA KUTOA SHUTUMA ZA KUJIRIWADHA ZISIZO NA NGUVU YA HOJA.HOJA HIZO ZINAPWAYA KATIKA JAMII KWANI HAZINA NGUVU-HEKAYA YA ABUNWASI!
 
Mwongozo hauna shida yeyote ile..ila ule wa kikristo ungekuwa neutra kama huu basi inabidi watu muusome bila kuwa na hiden agenda na chuki zenu.
 
Mwongozo hauna shida yeyote ile..ila ule wa kikristo ungekuwa neutra kama huu basi inabidi watu muusome bila kuwa na hiden agenda na chuki zenu.

Watu wenyewe hata shule hampendi mtaweza kusoma kweli? Dini zingine balaa tu
 
Back
Top Bottom